Kinachowapelekea watu kujireko video za utupu wawapo faragha ni kitu gan? Tena ikitokea mmeachana mmoja taamua kuachilia picha hizo kwanini tusitiriane?
Kwanza najiuliza unapokuwa na UPWIRU wako hivi nguvu ya kuanza kujirekodi unaitolea wapi? Maana najua utakuwa na KIMUHEMUHE cha kukata na...
Najaribu kuwaza nakosa majibu sahihi, ni kitu gani kinapeleka wanaume kusave wanawake zao majina ya kiume kwenye simu na wanawake pia halikadhalika.
Kwani hata kama mnachepukiana si usave jina lake tu halisi badala ya kuweka majina maalum ya kuonesha uhusiano wenu? kama babe, honey, sweetiee...
Mahitaji
Maini ya kuku 1/2 kilo
Vitunguu vikubwa 2
Hoho 1
Pilipil 1
Limao 1/2
Swaum/tangawizi 1 kijiko cha chai
Curry powder 1/2 kijiko cha chai
Mafuta ya kupikia
Matayarisho
Safisha maini weka pembeni. Baada ya hapo kaanga vitunguu,swaum na tangawizi pamoja (hakikisha vitunguu visiwe vya...
Wadau mwezi huu mwishoni Mungu akipenda navuna nyanya shambani kwangu Nimejaaliwa kulima heka 3 na zimebeba vizuri. Shamba lipo morogoro eneo la Dakawa. Ninachojivunai zaidi nimejifunzia humu humu Jamii forum kilimo hiki. Heko kwa wote ambao mmekuwa mskijitolea kutoa mafunzo mbali mbali...
Choroko ni moja kati ya nafaka zenye kiwango kikubwa cha protini, madini ya phosphorus na calcium. Ukiachilia mbali faida nyingine, virutubisho hivi ni muhimu sana kwa ustawi wa afya ya ubongo.
Wataalam mbalimbali wamenukuliwa na mtandao wa kesehatan.123.com wakielezea umuhimu wa ulaji wa...
Jamani ndugu zangu wa Tanga kwani alietuloga nani? fursa tunazisikia ila hata hatushtuki wanakuja walowezi wanajizolea fursa na sisi tupo hapa hapa kweli, zinatangazwa zabuni mpo kimya mnakuja kukurupuka dakika za majeruhi watu wameshasafirikutoka mikoani mbali huko kukimbilia fursa.
Na hata...
Kuna haja ya serikali kuvipa vipaumbele vitu muhimu ambavyo vitahitajika katika miradi tarajiwa.
Serikali inasiaid mikataba mikubwa ambayo ilipitisha muundo na bajeti ya mradi fulani bila kuzingatia mahitaji na vipaumbele vitakavyoleta tija nchini mwetu matokeo yake Fedha za kufanyia shuguli...
Binafsi sikuwahi kufikiria kabisa kuhusu ndoto. Nilikuwa nachukulia kama mauza uzaza ya uchovu na mawazo ya siku nzima. Ila kuna kitu nimekuja kukigundua kwa namna mbili kwanza ni kuwa sina kawaida ya kuota ota kila wakati na ikitokea naota basi hiyo ndoto inakuwa kweli. Mfano nikiota mtu...
Uzi wa mapishi umedoda jamani watu sijui tupo kwenye mifungo mikavu, rudini kundini tuanzae madigo diko mapya. Mtag mwana mapishi wako pendwa umualike arudi uzini tushee mapishi mapya na kukumbusha ya zamani pia. Kuna lishe za afya na za watoto pia ni vyema tunaukaza uzi wa mekoni.
Kumekuwa na taratibu zisizo rasmi ktk kutoa ajira kwenye miradi mbali mbali ya maendeleo nchini mwetu, licha ya kuwa serikali inataka baadhi ya nafasi kupewa wazawa ili nao wapate ajira na kuendeleza ustawi wa nchi.
Badala yake hata nafasi wanazoweza kufanya watanzania wanapewa wageni kwa...
1. Papara
Wanaume wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu.mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba yake.mjomba hata akikupa ujue utasumbuka sana kumpata coz atakufikiria sana juu ya uharaka wako.
2...
MAPENZI raha yake ni kupendana. Yananoga zaidi wapendanao wanapopendana kwa asilimia mia. Mwanaume ampende mwanamke kwa kiasi hicho, vivyo hivyo mwanamke ampende mwanaume. Hapo ndipo utaiona tamu ya penzi. Wataalamu wa masuala ya uhusiano wanakuambia pendo la kweli halifi (true love never die)...
Kuja na vimada mpk home na kumuacha ndani ya gari
Kuingia ndani na viatu vya matope wakati kumeshadekiwa
Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo.
Kumtambulisha mtoto wako kwa kimada wako.
Kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa taarifa.
Kumsifia rafiki au ndugu wa...
MAPENZI ni matamu, mapenzi yana raha yake haswa ukimpata mtu anayekupenda kama ambavyo wewe unampenda. Kinyume chake, mapenzi hugeuka kuwa shubiri. Yanaumiza lakini suala la msingi, hupaswi kukata tamaa pindi unapokutana na penzi kuwa chungu. Chukulia ni changamoto, usikubali kuishi kwenye...
WATANZANIA TUACHE KUWEKA MASLAHI MBELE TUANGALIE HATMA YA JANGA HILI YARABI AU NDIO KUFA KUFAANA?, JE UNAJUA NA WEWE UTABAKI SALAMA?, SANITIZER KUTOKA 3500 MPK 20,000 KWELI? HATA HOFU YA MUNGU HATUNA KUONA HATMA YA JANGA TUNATAZAMA MATUMBO YETU KWAKWELI WE HAVE TO CHANGE
Suala la uaminifu katika mapenzi kwa karne hii limekuwa kikwazo kikubwa kwa watu wengi sana, wengi wemekuwa si waaminifu wakati mwingine kupelekea mahusiano hayo kufa.
Hivyo uaminifu ni muhimu sana katika mapenzi kwa kuwa katika mahusiano ya kimapenzi kuna faida nyingi kwa mwili na akili. Watu...
Msichana mdogo wa miaka 18 aliwahi kuja kwangu na kuniomba msaada. Hakuhitaji msaada mkubwa sana kama mwenyewe alivyosema, kwani alitaka kusaidiwa kupata jibu la swali ambalo lilikuwa likimtatiza kwa muda mrefu.
“Nataka kujua maana ya kupenda.” ilikuwa ndiyo kauli yake, fupi na inayoeleweka...
Wanaume wengi wanashindwa kutambua wanawake kwa haraka hasa katika sekta ya tongozo. MWanamke ni kiumbe mmoja ambae ni makini sana na ni mgumu kuonesha hisia zake haraka. Unaweza ukamtongoza akakutukana kabisa au akakupa maneno ya kuumiza ila unatakiwa kumsoma kwanza kabla hujafanya maamuzi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.