Search results

  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    Wakenya mnaitia aibu Africa. Hivi ndivyo Dunia inavyofahamu kuhusu Kenya 🇰🇪

    WELCOME TO KENYA WHERE:- 1. Girls handbags carry everything necessary for sleepover except their fare back home 2. When you are served little chips in a restaurant, you drink their Tomato Sauce like Pepsi 3. Youths don't pray before eating but take pictures of the meal first then post it on...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    Vatican City ni zaidi ya uijuavyo, ni zaidi ya utata wa historia tata

    Vatican City: Nchi? Mji? Serikali au Kampuni? Nadhani moja kati ya maeneo ambayo yamekuwa tata zaidi kuyaelewa basi ni mji wa Vatican… tukiachilia mbali kuhusu utata/ugumu wa kuelewa mfumo wake wa uendeshaji na historia yake lakini swali jepesi zaidi ambalo kila mtu huwa anahisi analifahamu...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    Vatican City ni zaidi ya uijuavyo, ni zaidi ya utata wa historia tata

    Vatican City: Nchi? Mji? Serikali au Kampuni? Nadhani moja kati ya maeneo ambayo yamekuwa tata zaidi kuyaelewa basi ni mji wa Vatican… tukiachilia mbali kuhusu utata/ugumu wa kuelewa mfumo wake wa uendeshaji na historia yake lakini swali jepesi zaidi ambalo kila mtu huwa anahisi analifahamu...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    Aposto, Kuna muujiza huku, watu wote hawa wamewezaje kujazana kwenye Kandege kadogo hivi?

    REKODI YA DUNIA ya abiria wengi kupanda kwenye ndege moja iliandikwa mwaka 1991 baada ya abiria 1086 Waethiopia wenye asili ya Uyahudi kupakizwa kwenye ndege aina ya Boeing 747 kutoka Ethiopia kwenda Jerusalem nchini Israel...... Baada ya kufika Jerusalem abiria waliongezeka kutoka 1086 hadi...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    Elimu ya vimondo

    Kuna mdau kauliza swali kuhusu Vimondo kikiwemo na kile kinachopatikana Jijini Mbeya katika wilaya ya Mbozi. Nitajibu kwa ufupi tu, ili na wengine wapate kuelewa kuhusu Vimondo na chimbuko lake. Ipo hivii.........kijiografia chimbuko la vimondo vingi vilivyopo huko angani (outer space) vimetoka...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    Wajue Ben C. Padilla na John M. Muntu, wezi wa ndege waliotokomea kusikojulikana na ndege waliyoiiba

    Mnamo mwaka wa 2003, wanaume wawili Ben C. Padilla na John M. Muntu, waliiba Boeing 727-223 iliyokuwa imeegeshwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Luanda (nchini Angola) na kuruka kusikojulikana. Hadi hii leo hakuna ndege wala mmoja wao aliyepatikana. Padilla alikuwa rubani ambaye...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    ANDRE THE GIANT.... bingwa wa kunywa bia duniani

    Andre Rene Roussimoff ni mwanamieleka wa kfaransa na pia ni muigizaji Amezaliwa mwaka 1946 na amefariki mwaka 1993 Huyu bwana anashikilia rekodi ya dunia kwa kunywa bia 119 ndani ya masaa sita tu..... Tunaweza kusema kila baada ya dakika 3 amekunywa bia moja bila kupumzika Pia vyanzo...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    Huyu mwanamke ana balaa aisee ufuska gani huu jamani?

    REKODI YA NGONO DUNIANI LISA SPARKS raia wa Poland ndio anashika rekodi ya mwanamke aliyefanya mapenzi na wanaume wengi duniani Raia huyo alifanya mapenzi na wanaume 919 ndani ya masaa 12 ambapo kwa kila mwanaume alitumia sekunde 45 tu kimahesabu Lisa amevunja rekodi ya mwanamke...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    RockBitch BAND: Kundi la wasanii wa kike lililofanya mapenzi na mashabiki zao

    ROCKBITCH BAND : kundi la wasanii wa kike linalofanya mapenzi na mashabiki zao Wasanii hao wakike ambapo katikati ya show huwa wanarusha vitu maalum kwa mashabiki wao .....wenyeewe wanaviita kondom ya dhahabu ambapo mtu yoyote atakayeweza kudaka kimojawapo iwe mwanamke au mwanaume basi...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    FRANE SELAK jitu lenye bahati ya mtende

    Huyu pia ni miongoni mwa watu wenye bahati za juu duniani Frane Selak alizaliwa tar 14/6/1929 nchini Croatia kitaaluma ni mwalimu wa mziki .....kwanini ameingia kwenye orodha ya kuwa ni miongoni mwa watu wenye bahati -Mwaka 1962 alipata ajali ya treni baada ya treni alioipanda kukosea njia na...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    Ijue mila ya kubadilishana wake ili kuukwepa uchawi

    JE UNAJUA?? Mashariki mwa nchi ya Siberia wanaume wanabadilishana wake zao ili kuepuka mambo ya imani ya kishirikina?? Kwa imani yao wanaamini Ukifanya hivyo una mchanganya mtu mwenye nia ya uchawi au kufanyiwa vitendo vya kishirikina Je wewe unaweza kubadilishana mke na mwanaume mwenzio kwa...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kutana na Bwana Edwin E Robinson miongoni mwa watu wachache wenye bahati zaidi Duniani

    Alizaliwa akiwa mzima wa afya na mwenye viungo vilivyotimia Kazi yake ilikuwa ni dereva wa malori, mwaka 1971 alipata ajali mbaya sana ya gari hali iliyompelekea kupata ukipofu na ukiziwi. Ikawa haoni kabisa wala kusikia chochote kile cha duniani hapo alikuwa na miaka 53. Mwaka 1980, akiwa na...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    Yote yamesalia kuwa historia sasa, usichoke kupambana🙏

    SADIO MANE MTOTO WA SHEIKH, FUKARA ALIYEAGWA KWA MAJI YA MTO CASAMANCE . Takribani 383 kilometa kutoka Dakar mji Mkuu wa Senegal mpaka Sedhiou kijiji cha Bambali, kwa UBER ni masaa sita na dakika 30, ila mpaka ufike Bambali lazima upande Kivuko kama MV Kilombero kukatiza mto Casamance, ng'ambo...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    Bado yuko fresh, baada ya miaka mia moja ya kifo chake

    UNAWEZA KUDHANI AMELALA, KUMBE AMEKUFA. Ni miaka mingi toka afariki dunia, lakini hakuzikwa. Badala yake serikali iliamua kuuhifadhi mwili wake ili uwe ukumbusho kwa vizazi vijavyo. Hiyo ni kutokana na umuhimu na mchango mkubwa aliokuwa nao mtu huyu katika taifa lake. Ni miaka 100 sasa, mwili...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    Ujue ugonjwa huu hatari sana kwa maumbile yako.

    TERATOMA ni aina mojawapo ya ugonjwa ambapo nywele, meno na aina nyengine za rushing kuota Mahali pasipo kawaida Kwa mfano mwanamke mwenye ugonjwa huu anaweza akatokea kwa kitu mfano meno kwenye uke au kumea kwa nywele kwenye ovari Japo sio kitu kinachompa maumivu muhusika na hili...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    Malkia wa Baharini alivyookoa watu 16 kwa kuwanyonyesha maziwa yake

    Katika Miaka ya 2000 Raia wengi kutoka Jamhuri ya Dominika walikuwa wanakimbia nchi yao kuelekea katika nchi ya marekani na Puerto Rico kwa ajili ya kutafuta maisha mazuri. Kwahiyo haikuwa jambo la kushangaza kusikia watu wamefariki baharini wakiwa katika safari ya kuelekea katiak nchi hizo...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    Hivi ni kwanini jua linapochomoza na linapokaribia kuzama sio kali sana kama linavyokuwa muda wa mchana?

    Hivi ni kwanini jua linapochomoza na linapokaribia kuzama sio kali sana kama linavyokuwa muda wa mchana? Wajuzi karibuni. Asante sana.
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    MJUE STUNT:- Mungu akusaidie usiwe Stunt.

    Muigizaji maarufu Anorld Swazenegger akiwa katika picha ya pamoja na stunt man wake. Stunt ni mtu mwenye ufanano anaecheza vipengele hatari kwa niaba ya mhusika mkuu Hawa ma stunt ni watu wenye uwezo mkubwa kimedani (katika kupambana au kufanya matukio ya kibabe) kuliko waigizaji wakuu...
Back
Top Bottom