Yote yamesalia kuwa historia sasa, usichoke kupambanašŸ™

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
75,015
156,372
SADIO MANE MTOTO WA SHEIKH, FUKARA ALIYEAGWA KWA MAJI YA MTO CASAMANCE
.
Takribani 383 kilometa kutoka Dakar mji Mkuu wa Senegal mpaka Sedhiou kijiji cha Bambali, kwa UBER ni masaa sita na dakika 30, ila mpaka ufike Bambali lazima upande Kivuko kama MV Kilombero kukatiza mto Casamance, ng'ambo yake ndipo kijijini kwa Sadio Mane huko Kusini mwa nchi
.
Miaka ya 2000 ukifka pale ukitaka umpate Mane unapaswa kusema Ronaldinho, wao walikua wanamuamini sana na kuheshimu kipaji chake, lakini mioyo ya Wazazi wake walitaka ajikite zaidi Madrasa asome Quran na maisha yake yaishie hivyo, licha ya kusoma Diin ila kipaji chake kilizidi kuwashawishi watu
.
Ufukara mkubwa wa familia yake uliwafanya wasiwe na nguvu kifedha kumpa nguvu kijana wao, waliuza baadhi ya mazao yao kwa ajili ya nauli kijana kuelekea Dakar akiwa na miaka 15 tu, bado ili mlazimu atembee mpaka kijiji jirani kwa rafiki yake amuongeze pesa kidogo ili afike mjini
.
Mane kwenye kivuko anageuka nyuma kukitazama Kijiji chake cha Bambali, anaenda kwenye safari ambayo hajui hatma yake, hajui atarudi na roho yake au atarudi maiti, anaviacha nyuma vijumba vya nyasi na Maswahiba zake wanaomuaga kwa macho, Dinho aliebeba matumaini yao anaondoka kupambana
.
Pale Jijini Dakar mambo hayakuwa rahisi, siku ya majaribio kuingia Academy ya Generation Foot haikuwa rahisi, Mane ana viatu na jezi chakavu, Makocha walimsema sana "hichi ndicho nimebarikiwa kuwa nacho" aliwajibu, wakampa nafasi kuonesha uwezo wake kila mtu alimpenda sana na kumpa nafasi kwenye Academy ya nchi
.
Aliendelea kuonesha kipaji kikubwa sana, Maskauti kutoka Metz ya Ufaransa walimuona na kumpa tiketi ya kuelekea barani Ulaya, hakumuaga mtu yoyote mpaka anafika nchini Ufaransa, siku ya pili alimpigia Mama yake mzazi, kumwambia kuwa yupo Ufaransa, Mama yake alimuona kachanganyikiwa sanašŸ˜‚ japo alikubali baadae
.
Moja kati ya vitu vilivyowavutia watu pale ni busara zake, kila mtu alikua anamsalimia kwa kuinamisha kichwa, ikumbukwe pia aliomba apigwe picha kisha alimpa mpiga picha Email ya klabu amtumie picha zake, alimuomba tu ampige bure hana pesa
.
Yote yamesalia kuwa historia sasa, usichoke kupambanašŸ™

1714830256203.jpg
 
View attachment 2980632
Dah let's keep on fighting!
 
Mane ni mstaarabu sana na very humble person. Licha ya hii pia ni mtu wa ibada sana. Alipokuwa Bayern alikuwa anasifisha vyoo vya msikiti kwa kujitolea.

Kingine Mane hana nidhamu ya uwoga. Nakubali kuonewa na kuyumbishwa. Anakula makavu usoni hakuonei aibu hata kama wewe ni rafiki yake.
 
SADIO MANE MTOTO WA SHEIKH, FUKARA ALIYEAGWA KWA MAJI YA MTO CASAMANCE
.
Takribani 383 kilometa kutoka Dakar mji Mkuu wa Senegal mpaka Sedhiou kijiji cha Bambali, kwa UBER ni masaa sita na dakika 30, ila mpaka ufike Bambali lazima upande Kivuko kama MV Kilombero kukatiza mto Casamance, ng'ambo yake ndipo kijijini kwa Sadio Mane huko Kusini mwa nchi
.
Miaka ya 2000 ukifka pale ukitaka umpate Mane unapaswa kusema Ronaldinho, wao walikua wanamuamini sana na kuheshimu kipaji chake, lakini mioyo ya Wazazi wake walitaka ajikite zaidi Madrasa asome Quran na maisha yake yaishie hivyo, licha ya kusoma Diin ila kipaji chake kilizidi kuwashawishi watu
.
Ufukara mkubwa wa familia yake uliwafanya wasiwe na nguvu kifedha kumpa nguvu kijana wao, waliuza baadhi ya mazao yao kwa ajili ya nauli kijana kuelekea Dakar akiwa na miaka 15 tu, bado ili mlazimu atembee mpaka kijiji jirani kwa rafiki yake amuongeze pesa kidogo ili afike mjini
.
Mane kwenye kivuko anageuka nyuma kukitazama Kijiji chake cha Bambali, anaenda kwenye safari ambayo hajui hatma yake, hajui atarudi na roho yake au atarudi maiti, anaviacha nyuma vijumba vya nyasi na Maswahiba zake wanaomuaga kwa macho, Dinho aliebeba matumaini yao anaondoka kupambana
.
Pale Jijini Dakar mambo hayakuwa rahisi, siku ya majaribio kuingia Academy ya Generation Foot haikuwa rahisi, Mane ana viatu na jezi chakavu, Makocha walimsema sana "hichi ndicho nimebarikiwa kuwa nacho" aliwajibu, wakampa nafasi kuonesha uwezo wake kila mtu alimpenda sana na kumpa nafasi kwenye Academy ya nchi
.
Aliendelea kuonesha kipaji kikubwa sana, Maskauti kutoka Metz ya Ufaransa walimuona na kumpa tiketi ya kuelekea barani Ulaya, hakumuaga mtu yoyote mpaka anafika nchini Ufaransa, siku ya pili alimpigia Mama yake mzazi, kumwambia kuwa yupo Ufaransa, Mama yake alimuona kachanganyikiwa sanašŸ˜‚ japo alikubali baadae
.
Moja kati ya vitu vilivyowavutia watu pale ni busara zake, kila mtu alikua anamsalimia kwa kuinamisha kichwa, ikumbukwe pia aliomba apigwe picha kisha alimpa mpiga picha Email ya klabu amtumie picha zake, alimuomba tu ampige bure hana pesa
.
Yote yamesalia kuwa historia sasa, usichoke kupambanašŸ™

View attachment 2980632
AsantešŸ™
 
Back
Top Bottom