Kwanini malaika wana majina ya Kizungu na majini (mapepo) yana majina ya Kiarabu?

UMMY SUBIAN
ummy subian ni jini wa kike ni malkia wa jide chini ya bahari mavazi yake mekundu Pete zake nyekundu ni moja kati ya majini wakorofi akiwa kwako harafu hujatafuta Pete yake atakuadabisha huyu ummy subian yupo chini ya utawala wa sharif sultan bin daud subian ni miongoni mwa maruhaniyat wa kisharifu apa nazungumzia subian mwema kwanza jini huyu ummy subian ukiwa nae huwez kosa jini kama ruhan hizi ni koo kubwa za kijini zinazoelewana sana ummy subian ni miongoni mwa majini wenye cheo ujinini na Wana Mali sana wakikutunuku kitu shida utakisikia Kwa jirani tu na kama yupo Kwa mwanaume basi mwanaume huyo atakua na mvuto mkali sana Kwa wanawake ila jini uyu anapenda uwe msafi ujipende apo mtaendana arafu ukiwa wapenda nguo nyekundu utamfurahisha ummy subian ana uwezo wa kubadilika zaidi ya mara Tano mtu MWENYE jini huyu ukimkorofisha kimbia subian hapend mtu wake aonewe ni jini mwenye Mali ila mkorofi Mali zake zikitumiwa vibaya ukiwa nae huwez kosa jini kama ruhan ila ruhan yeye Mpore mara nyingi utakuta yeye anakutawala sana kuliko ruhani japo ruhani ni mkubwa Kwa subiani ruhan yeye anatoa tu amri subian anatekeleza ruhan ni kiongoz wake subian yupo Kwa ulinzi ila ruhan ni bosi mtoa amri labda itokee jambo zito apo ruhan ataingilia kutetea ila mara nyingi utakuta yeye ametulia tu anampa amli subian ukienda nao sana Kila kitu kwako kitakua mtelemko ukiona wateseka ujue wamefungwa au wanadai Pete yao ili wakutumikie na sio Kila mtu anao Kuna baadhi ya wanadamu Wana nyota Kali kiasi Cha kuwavutia Hawa viumbe mara nyingi wanakuja kwako Kwa kuvutiwa na nyota yako ili wakupe kile walichojaaliwa na muumba wao na kukuwekea ulinzi ili wanadam na majini wabaya wasikudhuru hiyo ni Pete ya ummy subian
FB_IMG_1714638532319.jpg
 
Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc
Jini Sharif, Maimuna, etc

Kwanini?
Malaika hawana majina Ya kizungu ila Ni Majina ya Kiyahudi na Majinu yameanza kufahamika Story zake kutoka kwa Waarabu so Kabla ya Hapo hakukuwa na Story za MAJINI...
KWAHYO WAANZILISHI WA Story za Malaika ni wayahudi na ndo maana Malaika wana majina ya kitahudi na WAANZILISHI WA MAJINA YA Majini ni WAARABU ndo maana wana majina ya Kiarabu
 
UMMY SUBIAN
ummy subian ni jini wa kike ni malkia wa jide chini ya bahari mavazi yake mekundu Pete zake nyekundu ni moja kati ya majini wakorofi akiwa kwako harafu hujatafuta Pete yake atakuadabisha huyu ummy subian yupo chini ya utawala wa sharif sultan bin daud subian ni miongoni mwa maruhaniyat wa kisharifu apa nazungumzia subian mwema kwanza jini huyu ummy subian ukiwa nae huwez kosa jini kama ruhan hizi ni koo kubwa za kijini zinazoelewana sana ummy subian ni miongoni mwa majini wenye cheo ujinini na Wana Mali sana wakikutunuku kitu shida utakisikia Kwa jirani tu na kama yupo Kwa mwanaume basi mwanaume huyo atakua na mvuto mkali sana Kwa wanawake ila jini uyu anapenda uwe msafi ujipende apo mtaendana arafu ukiwa wapenda nguo nyekundu utamfurahisha ummy subian ana uwezo wa kubadilika zaidi ya mara Tano mtu MWENYE jini huyu ukimkorofisha kimbia subian hapend mtu wake aonewe ni jini mwenye Mali ila mkorofi Mali zake zikitumiwa vibaya ukiwa nae huwez kosa jini kama ruhan ila ruhan yeye Mpore mara nyingi utakuta yeye anakutawala sana kuliko ruhani japo ruhani ni mkubwa Kwa subiani ruhan yeye anatoa tu amri subian anatekeleza ruhan ni kiongoz wake subian yupo Kwa ulinzi ila ruhan ni bosi mtoa amri labda itokee jambo zito apo ruhan ataingilia kutetea ila mara nyingi utakuta yeye ametulia tu anampa amli subian ukienda nao sana Kila kitu kwako kitakua mtelemko ukiona wateseka ujue wamefungwa au wanadai Pete yao ili wakutumikie na sio Kila mtu anao Kuna baadhi ya wanadamu Wana nyota Kali kiasi Cha kuwavutia Hawa viumbe mara nyingi wanakuja kwako Kwa kuvutiwa na nyota yako ili wakupe kile walichojaaliwa na muumba wao na kukuwekea ulinzi ili wanadam na majini wabaya wasikudhuru hiyo ni Pete ya ummy subian
View attachment 2978858
Weka uzi mkuu unahusiana na hao viumbe umetiririka vyema!
 
Hizo ni lugha tu, ni kama mtu aseme Grace halafu aulize kwa kiswahili ni nini na mtu amjibu ni Neema
Makata, Gabriel etc yote yana maana kwa kiswahili
Shida imekuja Waafrika tunapenda kutumia vya watu kuliko vyetu

Muhimu ni Bakita watupe kiswahili chake, hizo ni lugha za kiingereza na Kiarabu kiswahili chake hakiwezi kukosekana
 
Kati ya Waebrania na biblia/Malaika kipi kilianza? Hivyo kipi kimetoka kwa mwenzake?
Biblia Ni hadithi za Waebrania kuhusu Mungu wa Waebrania..

Kwa kukueleza Zaidi Waebrania walianza Lini..
Baada ya Gharika Ya dunia Nzima Walibaki watu Nane Duniani..

Wakiwemo watoto watatu wa Nuhu ambao ni Shem, Ham na Yafeth..

Na hao Ndo Dunia Yote kwa Mujibu wa Biblia..

  • Watoto wa Hamu ni Kushi (Ethiopia na waafrika wengine) Misri, na Putu, na Kanaani..
  • Shem ndo alimzaa Eberi...
SAsa Huyo Eberi ndo uzao wa Ebrani wote Duniani na hapo ndo wakapatikana wayahudi na makabila 12 ya Israel..

na kupitia makabila Hayo ndo Tukapata Kujua Hadithi/Story za Malaika na Biblia Kuandikwa..

Umeanielewa??
Kwanini Neno kipi Kilianza Nitakujibu Kuw Walianza waebrania Ambao ndiyo waliandika Habari kwenye Biblia
 
Back
Top Bottom