Ijue mila ya kubadilishana wake ili kuukwepa uchawi

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
75,015
156,373
1714893378372.jpg


JE UNAJUA??
Mashariki mwa nchi ya Siberia wanaume wanabadilishana wake zao ili kuepuka mambo ya imani ya kishirikina??

Kwa imani yao wanaamini Ukifanya hivyo una mchanganya mtu mwenye nia ya uchawi au kufanyiwa vitendo vya kishirikina

Je wewe unaweza kubadilishana mke na mwanaume mwenzio kwa sababu yoyote ile??
 
Hiyo isije bongo, ngoma itaenea sana
Mbona kuna kabila zinahalalisha kushiriki mke mfano wagogo, hasa makabila ya wafugaji. Chunguza mengine unaruhusiwa mke wa kaka zako nawe wadogo zako mke wako halali yao. Makabila yana mila tofauti.
 
Back
Top Bottom