ANDRE THE GIANT.... bingwa wa kunywa bia duniani

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
75,016
156,381
1715259012582.jpg

Andre Rene Roussimoff ni mwanamieleka wa kfaransa na pia ni muigizaji

Amezaliwa mwaka 1946 na amefariki mwaka 1993

Huyu bwana anashikilia rekodi ya dunia kwa kunywa bia 119 ndani ya masaa sita tu..... Tunaweza kusema kila baada ya dakika 3 amekunywa bia moja bila kupumzika

Pia vyanzo vyengine vinasema amekunywa bia 153 bila kupumzika

Lakini mpaka sasa Hakuna mtu yoyote aliyefanikiwa kunywa bia nyingi kiasi hicho kwa wakati mmoja

Mtag bingwa wa kupiga bia hapa JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom