FRANE SELAK jitu lenye bahati ya mtende

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
75,015
156,377
1714893626217.jpg

Huyu pia ni miongoni mwa watu wenye bahati za juu duniani

Frane Selak alizaliwa tar 14/6/1929 nchini Croatia kitaaluma ni mwalimu wa mziki .....kwanini ameingia kwenye orodha ya kuwa ni miongoni mwa watu wenye bahati

-Mwaka 1962 alipata ajali ya treni baada ya treni alioipanda kukosea njia na kudumbukia kwenye ziwa.....zaidi ya abiria 17 walifariki lakini yeye alinusurika akiwa amevunjika bega.

- Mwaka 1963 ikiwa ndio mara ya kwanza kwa yeye kupanda ndege ndege ilipata ajali....alidondoshwa na ndege ikiwa angani kwa bahati nzuri alidondokea kwenye mzigo wa majani makavu yaliokaushwa kwa ajili ya kuwalisha wanyama (haystack). Katika ajali hiyo zaidi ya watu 19 walifariki

-Mwaka 1966 akiwa kwenye busi......busi lilipata ajali kwa kuserereka na kutumbukia kwenye ziwa ... Katika ajali hiyo watu 4 walifariki ....lakini Frane Selak alifanikiwa kuogelea na kutoka akiwa mzima japokuwa alikuwa na majeraha ya kukatwa katwa

- Mwaka 1970 akiwa anaendesha gari lake ...alipata ajali tena baada ya gari lake kushika moto

-Mwaka 1973 alipata ajali nyengine ya gari baada ya gari yake kupata hitilafu katika injini haliiliyopelekea gari lake kushika moto... alifanikiwa kukimbia kabla ya gari kulipuka katika ajali hii aliungua nywele tu

-Mwaka 1975 alipata ajali ya busi huko Zagreb lakin akapata majeraha madogo madoog

-Mwaka 1996 alinusurika ajali ya gari nyengine kubwa ambapo alishuhudia gari alilokuwa analiendesha likidumbukia kwenye bonde lenye urefy wa zaidi ya futi 300....

-Mwaka 2003 akiwa amebakiza siku mbili tu kabla ya kusheherekea birthday yake ya kutimiza miaka 73 alishinda bahati nasibu na kupewa dola za kimarekani (1110000) Milion moja na laki moja na elfu kumi ambazo ukizichange kwa hela ya tanzania ya sasa unapata shilingi ( 2559105000) Bilion 2 na milion mia tano hamsini na tisa na laki moja na elfu tano

- Baada ya kushinda hela hizo alinunua nyumba mbili na boti kisha akaoa mke. .....hela zilizobaki akawagawia ndugu zake na kuamua kuishi maisha ya kawaida.....

-Sasa hivi ana miaka 90
 
View attachment 2981113

Hyo Jamaa ana Nyota ya Ajali
 
Mtu mwenye mikosi mingi duniani ndo huyu
 
Hana bahati zaidi ya tundu lisu.
 
Hapo kwenye kushinda bahati na sibu ndio kitu pekee cha kusema ni bahati,vingine ni gundu na mikosi
 
Huyu angekuwa mchungaji kwenye hizi zetu nchi, angekuwa tajiri zaidi.
Mazombi yanapenda sana shuhuda za hivi.
 
View attachment 2981113

Huyu pia ni miongoni mwa watu wenye bahati za juu duniani

Frane Selak alizaliwa tar 14/6/1929 nchini Croatia kitaaluma ni mwalimu wa mziki .....kwanini ameingia kwenye orodha ya kuwa ni miongoni mwa watu wenye bahati

-Mwaka 1962 alipata ajali ya treni baada ya treni alioipanda kukosea njia na kudumbukia kwenye ziwa.....zaidi ya abiria 17 walifariki lakini yeye alinusurika akiwa amevunjika bega.

- Mwaka 1963 ikiwa ndio mara ya kwanza kwa yeye kupanda ndege ndege ilipata ajali....alidondoshwa na ndege ikiwa angani kwa bahati nzuri alidondokea kwenye mzigo wa majani makavu yaliokaushwa kwa ajili ya kuwalisha wanyama (haystack). Katika ajali hiyo zaidi ya watu 19 walifariki

-Mwaka 1966 akiwa kwenye busi......busi lilipata ajali kwa kuserereka na kutumbukia kwenye ziwa ... Katika ajali hiyo watu 4 walifariki ....lakini Frane Selak alifanikiwa kuogelea na kutoka akiwa mzima japokuwa alikuwa na majeraha ya kukatwa katwa

- Mwaka 1970 akiwa anaendesha gari lake ...alipata ajali tena baada ya gari lake kushika moto

-Mwaka 1973 alipata ajali nyengine ya gari baada ya gari yake kupata hitilafu katika injini haliiliyopelekea gari lake kushika moto... alifanikiwa kukimbia kabla ya gari kulipuka katika ajali hii aliungua nywele tu

-Mwaka 1975 alipata ajali ya busi huko Zagreb lakin akapata majeraha madogo madoog

-Mwaka 1996 alinusurika ajali ya gari nyengine kubwa ambapo alishuhudia gari alilokuwa analiendesha likidumbukia kwenye bonde lenye urefy wa zaidi ya futi 300....

-Mwaka 2003 akiwa amebakiza siku mbili tu kabla ya kusheherekea birthday yake ya kutimiza miaka 73 alishinda bahati nasibu na kupewa dola za kimarekani (1110000) Milion moja na laki moja na elfu kumi ambazo ukizichange kwa hela ya tanzania ya sasa unapata shilingi ( 2559105000) Bilion 2 na milion mia tano hamsini na tisa na laki moja na elfu tano

- Baada ya kushinda hela hizo alinunua nyumba mbili na boti kisha akaoa mke. .....hela zilizobaki akawagawia ndugu zake na kuamua kuishi maisha ya kawaida.....

-Sasa hivi ana miaka 90
Alikuwa ni mtu mwenye mikosi au bahati mbaya Sema kwenye bahati mbaya hizo alikuwa ananusurika ili aje kusimulia. Hapo kwenye bahati nasibu ndio bahati yake ikaonekana kuwa nzuri zaidi
 
Good chap!Siyo kama mcheza wushu na karate!
 
Back
Top Bottom