Search results

  1. Mkurugenzi Wa Mashirika

    Jinsi ya kusimamia Shirika ili lijiendeshe kibiashara na kupata faida

    Sehemu ya 1: Kuelewa Msingi wa Uendeshaji wa Biashara 1.1 Ufafanuzi wa Malengo na Mkakati Kuanzia na msingi wa biashara, ni muhimu kuweka malengo wazi na mkakati wa kufikia malengo hayo. Weka malengo ya shirika lako kwa muda mfupi na mrefu, na hakikisha kuwa yanaambatana na maono yako. Panga...
  2. Mkurugenzi Wa Mashirika

    Huu ndio ukweli kuhusu Israeli

    Israeli ya Kale ni jina la watu au taifa walioitwa taifa teule katika Tanakh au Biblia ya Kiebrania (kwa hiyo pia katika Agano la Kale lililo sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo. Kihistoria waliishi katika nchi iliyoitwa Kanaani, halafu Israeli (baadaye pia Palestina) kuanzia mnamo 1200 KK...
  3. Mkurugenzi Wa Mashirika

    Unapokosea lazima Mungu akuhukumu ili kuleta haki kwa viumbe wake

    Yaani wewe uue wenzako Mungu akuache tu! Yaani wewe uonee wenzako Mungu akuache tu! Kwani wewe ukiwa umejifugia kuku wako huwezi kuwachinja? Kwani kama kuku mmoja ana mdomo wa kula mayai ya kuku wengine, utakuwa unamwacha tu aendelee kusababisha madhara? Mungu ndio hakimu wa viumbe vyake...
  4. Mkurugenzi Wa Mashirika

    Wanaoajiriwa kwa njia ya connection kwa kupachikwa wanaingia na nundu mgongoni

    Ndio maana hata wakiwa kazini hawafanyi kazi kwa bidii muda wao mwingi wanatumia kuwaza kubebwa hata wakiharibu kazi. Wakiharibu kazi hawaogopi maana wanajua watabebwa.
  5. Mkurugenzi Wa Mashirika

    Barua ya wazi kwa Waziri wa Afya: Umuhimu wa kuanzishwa kwa Bodi ya Wakemia (Chemists Registration Board)

    Mheshimiwa Waziri, Natumai barua hii inakupata ukiwa katika afya njema. Napenda kutumia fursa hii kuelezea umuhimu wa kuanzishwa kwa Bodi ya Wakemia (Chemists Registration Board) nchini Tanzania. Wakemia ni wataalamu muhimu katika sekta ya afya na viwanda, na wana jukumu kubwa la kuhakikisha...
  6. Mkurugenzi Wa Mashirika

    Ni nani alishauri kuanzishwa kwa kozi za mafuta na gesi hapa nchini

    Nina mtoto wa kaka yangu amesoma kozi inaitwa oil and gas engineering pale DIT huu ni mwaka wa tano hana kazi. Wakati anaanza alimwambia mzazi wake ni kozi yenye fursa kwasababu serikali imeanzisha. Ni nani alishauri kuanzishwa kwa kozi za mafuta na gesi hapa nchini
  7. Mkurugenzi Wa Mashirika

    Ujio wa kozi ya Digital Chemistry

    Digital chemistry, au kemia ya kidijitali, inahusu matumizi ya teknolojia ya digitali kuchunguza na kuelewa mifumo ya kikemia. Hii inaweza kujumuisha utumiaji wa programu za kompyuta, algorithms, na teknolojia zingine za digitali kusaidia katika uchambuzi wa kimatibabu, maendeleo ya dawa, na...
  8. Mkurugenzi Wa Mashirika

    Matatizo yote ya taifa letu yanatokana na kutokujua kiingereza vizuri na msingi mbovu wa kiingereza

    Matatizo yote ya taifa letu yanatokana na kutokujua kiingereza vizuri na msingi mbovu wa kiingereza. Huo ndio ukweli lazima tuuseme. Ukiingalia mataifa yote yanayotumia kiingereza kama official language yanatuzidi sana kwenye maendeleo na kutekeleza mambo muhimu. Watu wao wako very seriously...
  9. Mkurugenzi Wa Mashirika

    Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Riverside Dar es Salaam

    Habari wakuu, Natafuta nyumba ya kupanga iwe na sifa zifuatazo; 1. Iwe maeneo ya Riverside Dar es Salaam 2. Isiwe mbali sana na stendi ya Riverside 2. Iwe na chumba kimoja master na sebure 3. Iwe na Tiles na madirisha ya Aluminium Nipo tayari kwa bei yoyote.
  10. Mkurugenzi Wa Mashirika

    Lenovo Xiaoxin 700-15ISK ya CORE 7 yenye NVIDIA GEFORCE GTX imezima natafuta fundi anitengenezee nipo DAR

    Habari wakuu, Lenovo Xiaoxin 700-15ISK ya CORE 7 yenye NVIDIA GEFORCE GTX imezima natafuta fundi anitengenezee nipo DAR. . Taa inawaka vizuri kabisa. . Tatizo screen ndio haiwaki .. Niliipeleka kwa mafundi wakatest screen ni nzuri kabisa, wakatest RAM zote haizikubali .N.K
  11. Mkurugenzi Wa Mashirika

    Mwongozo kwa Vyama vya Upinzani katika Kulinda Haki za Wananchi

    Acheni janjajanja za kisiasa Acheni janjajanja za kisiasa na badala yake jikite katika masuala ya msingi na maendeleo ya wananchi. Epusheni siasa za matusi, ugomvi wa kibinafsi, na uzushi ambao hauchochei maendeleo na umoja wa taifa. Jitahidini kuwa wabunifu, na wajibika katika kuwasilisha...
  12. Mkurugenzi Wa Mashirika

    Usaili wa Kuandika kwa Nafasi ya Afisa Utamaduni II (Cultural Officer grade II)

    Habari wapendwa, Kuna ndugu yangu ameitwa kwenye usaili nafasi ya Afisa Utamaduni II (Cultural Officer Grade II) anauliza kama kuna yeyote alishawahi kuitwa kwenye usaili wa kuandika kwa nafasi hiyo ni maswali gani yanapendelewa kuulizwa kwenye mtihani wa kuandika?. Natanguliza shukrani huku...
  13. Mkurugenzi Wa Mashirika

    REF: Application for Physics and Chemistry teaching position at your school

    Dear Headmaster, REF: Application for Physics and Chemistry teaching position at your school. I am writing to express my strong interest in the physics and chemistry teaching position at your esteemed school. As a highly qualified and dedicated teacher, I am confident that my skills and...
  14. Mkurugenzi Wa Mashirika

    Interview Laboratory Scientist Physical Chemistry II Open University

    Nimefanikiwa kuitwa kwenye nafasi ya Laboratory Scientist, Physical Chemistry, Open University. Nilitaka kufaham kwenye nafasi kama hiyo kunawezakuwa na maswali ya namna gani Nawasilisha
  15. Mkurugenzi Wa Mashirika

    Natafuta laptop Used aina ya Lenovo corei 7

    Habari wakuu, Natafuta laptop Used aina ya Lenovo corei 7
  16. Mkurugenzi Wa Mashirika

    Tuziache taasisi za serikali ziajiri zenyewe kama zamani

    Ili kuokoa muda na gharama za kuajiri, tuziache taasisi za serikali ziajiri zenyewe kama zamani. Utaratibu wa kuitumia Sekretarieti ya Ajira kushughulikia ajira za taasisi zote zilizopo Tanzania ni kupoteza muda wa kuajiri na kuita watu kwenye usaili. Kuajiri kunachukua muda mrefu sana.
  17. Mkurugenzi Wa Mashirika

    Ni muda wakuziacha taasisi ziajiri zenyewe ili kuokoa muda wa kuajiri

    Kumekua na utaratibu ambao unazilazimisha taasisi zote za serikali kuwatumia sekretarieti ya ajira kufanya mchakato mzima wa kuajiri kila wakati ambao taasisi hizo zinahitaji kuajiri. Lakini mfumo huu una mapungufu makubwa sana. Kwanza unachelewa sana kuajiri wafanyakazi wapya kwasababu...
  18. Mkurugenzi Wa Mashirika

    Nimebobea kwenye masomo ya Physics na Chemistry. Natafuta kazi

    Mambo zenu wakubwa, Naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Mimi ni kijana mwezenu nina shahada ya fizikia na kemia. Shahada yangu nilifaulu vizuri sana kwa GPA ya 4. A-level nilifaulu vizuri masomo ya PCM yaani Physics, Chemistry na Mathematics. Nimebobea vizuri sana katika masomo ya Physics...
Back
Top Bottom