SoC03 Threads

  • Suggestion
UTANGULIZI Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la vitendo viovu vya kulawiti, ama kuwabaka watoto wadogo, na vitendo hivyo vimekuwa vikifanywa na watu wa karibu walioaminiwa na kupewa...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Suggestion
Utangulizi. Matharani kundi kubwa la vijana wa kike ndilo linaongoza kwa utoaji wa mimba katika jamii nyingi za kiafrika. 𝚄𝚝𝚘𝚊𝚓𝚒 𝚠𝚊 𝚖𝚒𝚖𝚋𝚊,Hiki nikitendo cha kutoa kijusi,uteute unao wezesha...
1 Reactions
2 Replies
721 Views
  • Suggestion
Maisha ya kawaida ya mtanzania ni pamoja na uwakala wa bidhaa na huduma au maarufu kama ujulikanavyo "udalali". Tangu kupanda kwa jua mpaka machweo yake, watu wanatafuta masoko ya bidhaa zao ama...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Suggestion
Uhai maana yake ni Yenye pumzi ,katika maisha ya Mwanadamu uhai upo ndani ya nafsi ambapo Kuna Akili ,hisia na roho ,na kwa namna ya nje Mwanadamu Amebeba mwili . Ili Mwanadamu awe na uhai ni...
2 Reactions
7 Replies
947 Views
  • Suggestion
ELIMU YENYE MANUFAA 1.0 UTANGULIZI Mfumo wa elimu nchini Tanzania anakabiliwa na chngamoto nyingi kama vile matumizi ya muda mrefu katika kutafuta elimu, mrundikano wa masomo na mada zisizo akisi...
14 Reactions
34 Replies
3K Views
  • Suggestion
Utawala-wa-sheria unahitaji kuwa mihimili mikuu, serikali, bunge na mahakama inatenganishwa. Kutenganishwa huko hakuna maana kuwa madaraka haya yanatumiwa na asasi mbalimbali tu ( kwamfano...
2 Reactions
4 Replies
547 Views
  • Suggestion
Mahitaji ya utawala-wa-sheria hayana maandishi kama vile meupe/meusi lakini ni suala-la-kiasi. Hakuna viwango visivyobadilika vinvyoashiria ikiwa mahitaji hayo yamefikiwa/hayakufikiwa. Kwamfano...
2 Reactions
3 Replies
724 Views
  • Suggestion
Siku moja nitamwambia Rais. Anaandika Mwl. Makungu m.s 0743781910 Anayecheka kupita kiasi na anayelia kupita kiasi wote hutoa machozi... Kwahiyo uamuzi ni wake, " Anazika au Anasafirisha" ...
25 Reactions
59 Replies
6K Views
  • Suggestion
Kulingana na utaratibu uliopo hivi sasa, mwanafunzi anapo hitimu elimu ya sekondari (kidato cha nne) na kufikisha alama zinazohitajika anaweza kuchaguliwa kuendelea na elimu ya kidato cha tano na...
20 Reactions
152 Replies
8K Views
  • Suggestion
Kimsingi, shule zote (za msingi na za sekondari) zilizosajiliwa, zipo chini ya serikali, na hivyo zinasimamiwa na Ofisi ya Rais, Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, pamoja na Wizara ya...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Suggestion
Habari wana jukwaa Leo ningependa nizungumuzie mada tajwa apo juu. (Photo)www.ipp media. com Malezi ni jukumu la kumuandaa mtoto jinsi gani aweze kuishi Katika Jamii ,hii...
50 Reactions
28 Replies
3K Views
  • Suggestion
Ripoti iliyotolewa hivi karibuni na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wa Tanzania imebainisha masuala kadhaa ya uwajibikaji mbovu na udhaifu katika utawala katika taasisi za...
1 Reactions
1 Replies
402 Views
  • Suggestion
Zaidi ya Miongo mitano imepita baada ya mataifa mengi ya Kiafrika kupata uhuru wao kutoka Kwa wakoloni . Lakini Bado hali ya maendeleo katika sekta mbali mbali kama vile elimu, afya, miundombinu...
2 Reactions
5 Replies
958 Views
  • Suggestion
Mke mwenye moyo mweupe ni mke mwema kupita kawaida. Ni mke ambaye yupo tayari kusaidia mtu aliyekimbiwa na ndugu kwa sababu ya changamoto ya maradhi. Ni mke mwenye upendo, utu wema na furaha kwa...
8 Reactions
13 Replies
2K Views
  • Suggestion
UTANGULIZI. Ninashauri uundwe mfumo maalumu utakao beba taarifa zote muhimu za wananchi kuanzia pale mtu anapozaliwa mpaka kufariki. Mfumo huu uwe wa kielektroniki utakaosimamiwa na mamlaka...
5 Reactions
45 Replies
3K Views
  • Suggestion
Tunachukua hatua kubwa kuelekea hatua endelevu .pamoja tunaweza kufanya tofauti.Leo tunapoisherehekea siku hii maalium, Hebu tutafakari juu ya uzuri na umuhimu wa ulimwengu wa asili unaotuzunguka...
0 Reactions
1 Replies
528 Views
  • Suggestion
Mwanangu usipofanya hii homework kesho darasani utamfanya mwalimu ashindwe kuelewa aanzie wapi kupima uelewa wako.Somo lenyewe ni aina za matunda mbalimbali. Na hapo tulikuwa tumenunua...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Suggestion
Changamoto za Upelelezi ,dhana duni za kutunzia ushahidi,kutokuwajibika kwa baadhi ya polisii na mahakama na kushindwa kuyalinda maeneo yalipotokea matukio kwa ajili ya ushahidi ni baadhi ya...
2 Reactions
2 Replies
632 Views
  • Suggestion
Msingi wa kikatiba wa maliasili ni usemi unaotumika kuelezea jambo ambalo mambo yanayohusu maliasili yanashughulikiwa chini ya katiba ya nchi. Kiwango cha mgawanyo kinaanzia katiba moja hadi...
1 Reactions
3 Replies
848 Views
  • Suggestion
Ingawa watoto wanatofautiana kimalezi kulingana na maendeleo ya kiuchumi na kijamii ya eneo husika .Watoto wetu wanakua katika enzi ya kidijitali. Wapo ambao wanatumia vifaa kwa kila kitu, kuanzia...
0 Reactions
1 Replies
446 Views
Back
Top Bottom