SoC03 Threads

  • Suggestion
NAKATAA KUWA MTUMWA, SASA NAJITUMA! Mchana huu ulivyoangaza jua lake kwa ghadhabu, nilisimama kwenye kona ya barabara, nikisimuliwa na mazingira yaliyoniathiri kwa muda mrefu. Maisha ya mjini...
8 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Suggestion
UTANGULIZI Suala la usalama wa abiria ndani ya vyombo vya usafiri ni muhimu sana na linapaswa kupewa kipaumbele zaidi tofauti na jinsi ambavyo limekuwa likisimamiwa na mamlaka husika (Road traffic...
6 Reactions
23 Replies
4K Views
  • Suggestion
Mabadiliko yanayoweza kufanyika katika sekta ya afya ili kuchochea utawala bora na uwajibikaji ni muhimu sana katika kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora za afya kwa wananchi. Hapa chini...
28 Reactions
27 Replies
3K Views
  • Suggestion
Mamba anajulikana kwa kuwa na machozi ya kinafiki sana, unaweza muona analia machozi yanatoka kumbe ana zuga. Sasa na sisi kwenye Kupambana na uharibifu wa Mazingira ni bora tukaacha unafiki kama...
2 Reactions
2 Replies
668 Views
  • Suggestion
Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania (TISS) Ni Idara ambayo inamajukumu ya kukusanya, kuchunguza na kuchambua Taarifa na shughuli zote zinazohusiana na Usalama wa Taifa. Ikiwa ni pamoja na kubaini...
9 Reactions
102 Replies
7K Views
  • Suggestion
Kwa Hapa nchini Tanzania ambayo Ili kuwa na mfumo wa kijamaa, kutoka TANU mpaka CCM. CCM Bado Ina urafiki na nchini ambazo zilikuwa na mfumo wa kijamaa kama washirika wake wakaribu. Na china...
6 Reactions
38 Replies
5K Views
  • Suggestion
Mabadiliko yanayoweza kufanyika katika sekta ya michezo ili kuchochea utawala bora na uwajibikaji ni muhimu sana katika kuhakikisha maendeleo na mafanikio ya sekta hii. Hapa chini, nitaelezea...
29 Reactions
17 Replies
2K Views
  • Suggestion
UTANGULIZI. Hatupaswi kulalama kuhusu ajenda ya uchumi wa viwanda na mchango wa kisekta ikiwa tunu ya utamaduni ya muziki adhimu wa Singeli haujengewi mpangokazi mahsusi ili kuboresha katika...
1 Reactions
4 Replies
974 Views
  • Suggestion
Mfumo wa uteuzi wa viongozi wa serikali umekuwa na changamoto kubwa nchini kwetu. Mara nyingi, uteuzi hufanywa kwa misingi ya uhusiano wa kisiasa au urafiki badala ya uwezo na uzoefu wa mgombea...
3 Reactions
3 Replies
655 Views
  • Suggestion
UTANGULIZI Dunia ya sasa na inakoelekea kuna kukua na kuenea kwa sayansi na teknolojia kwakuwa ina umuhimu sana katika kuleta mafanikio na maendeleo, mambo mengi yanatatuliwa kupitia teknolojia...
8 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Suggestion
Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) ulianza kufanya kazi Julai, 2001 kwa waajiriwa wa serikali kuchangia 3% ya mishahara yao na mwajiri kuchangia 3%. Mpaka kufikia Desemba 2019, mfuko wa Bima ya afya...
6 Reactions
18 Replies
3K Views
  • Suggestion
Tunahitaji maji katika shughuli za kila siku za kibinadamu (kunywa, upishi na usafi), kiuchumi (kilimo na ufugaji, uvuvi, ujenzi, kuzalisha nishati, utalii, viwandani n.k) na mazingira. Katika...
6 Reactions
13 Replies
3K Views
  • Suggestion
Ugonjwa wa UKIMWI sambamba na maambukizi ya VVU kwa dunia ya sasa siyo tishio kubwa sana kama ilivyokuwa miaka ya themanini kipindi ugonjwa huo ulivyoingia. Hii imekuja baada ya ujio wa ARV ambazo...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Suggestion
Zaidi ya mara moja tumeona Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ikionesha kuwa imekusanya mapato Zaidi ya maalengo yao. Hali ambayo kwa haraka inaweza kuonesha kuwa TRA wako vizuri kwenye ukusanyaji...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
  • Suggestion
Haki ya kuandamana mara nyingi hukutana na jeshi la polisi, na kusababisha vurugu na kukamatwa bila sababu. Mamlaka na viongozi wa kisiasa pia wanayachora maandamano kama, vitendo vya makusudi vya...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
  • Suggestion
Maisha ya uchakarikaji na utafutaji kuleta mkate wa kila siku katika familia ni hitaji lisilo na ukomo katika maisha ya mwanadamu. Hali hii imesababisha mgawanyo wa majukumu katika malezi na...
0 Reactions
1 Replies
601 Views
  • Suggestion
Habari wapendwa wana Jf wenzangu. Awali ya yote nipende kusema, Watanzania sio waaminifu (na mimi nikiwemo). Hili tatizo sijui limesababishwa na nini lakini imani yangu inanituma kuamini ya kuwa...
15 Reactions
22 Replies
3K Views
  • Suggestion
Teknolojia imekuwa na faida kubwa katika maendeleo ya jamii na uchumi wa dunia nzima. Sasa hivi, teknolojia imeendelea kuboresha maeneo mengi, ikiwa ni pamoja na utawala bora na uwajibikaji katika...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Suggestion
Mapenzi na pesa Mapenzi na pesa, ni vitu vilivyokaribiana sana Ni viwili tofauti, lakini vinavyokuzana. Mapenzi huchochea moyo, huufanya uchome moto, Pesa huleta faraja, huyapamba maisha Mapenzi...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom