Recent content by White party

  1. White party

    Nebukadneza: Mbabe wa vita, muabudu sanamu aliyekula majani kama ng’ombe (part 2)

    Asante kwa maarifa,ukileta nyingine unitag
  2. White party

    Hivi ninayechukizwa sana na tabia hizi zifuatazo niko peke yangu au?

    Nachukia mtu mmbea mmbea anayejificha kwenye kivuli cha udadisi
  3. White party

    Nambari zinazorudiwa zinamaanisha nini? Nambari ya Uchawi, 222, 333, 666

    Asante sana kwa uzi huu, nilikua natafuta sana kwa kiswahili hatimae nimepata
  4. White party

    Serikali haoni haja ya kutimua walimu wote waliounga unga elimu zao?

    Wewe ndio kilaza namba moja,kijana mwenye nguvu na misuli uko unajitolea na kufuatilia walioajiriwa na kulipwa mishahara wanafanya nini badala ya kufanya kazi za kiuanaume ukwamue maisha yako...shame!
  5. White party

    Sakata la Walimu kufukuzwa kule Tunduma kisa wimbo wa Zuchu "Honey" ni Kipimo cha Mawaziri Vilaza wa Nyakati za Sasa

    Wimbo ungekuwa haufai serikali ingeufungia kama inavyofunga za Roma mkatoliki na Ney wa mitego, kila mtaa sasa hivi ni hanii hanii pengine hadi watoto wake huko nyumbani wanaimba,kazi kuonea walimu tu. Naungana na wewe huyu waziri ni kilaza!!
  6. White party

    Adhabu ya viboko kidato cha tano na sita ifutwe

    CA hazifanyi kazi yoyote,zaidi zitauliziwa necta ikionekana mwanafunzi kafeli sana form 4 ili wamu upgrade kidogo
  7. White party

    Hata bila kumchukia wala kubishana na wateuzi wake, nafasi ya Katibu Mwenezi haimfai Makonda

    Nilichonote ni kwamba unaandika na kueleza vizuri mambo, mengine tuwaachie CCM wenyewe na lichama lao
  8. White party

    Adhabu ya viboko kidato cha tano na sita ifutwe

    Kwa siasa zilivyovamia mashuleni,acha viboko viendelee, utaratibu wa sekondari uwe kama vyuo,kuwe na course work,sup na disco kiufupi waondoe mtihani wa taifa hapo ndio itajulikana anaetaka shule atabaki na asiyetaka ataondoka na sio kuwachosha walimu.
  9. White party

    Namuona Mchengerwa akifika mbali sana kiuongozi kutokana na uchapa kazi wake

    Ungetaja na wilaya unayopendelea kwenda
  10. White party

    Nani mwenye kaliba ya "Kimagufuli" tumpe nchi 2025?

    Wanachoniacha hoi CCM ni kuwa wanatuchoraaa siku ya mwisho wanatoa jina waTZ wote tunasema hewala! Chuma hicho!!
  11. White party

    Watu hawataki kutembeleana siku hizi, kila mmoja yuko bize kusaka shilingi

    Too late maisha yashabadilika,nani arudi kwenye vibatari?? Acha tuendelee kusaka pesa za Luku
Back
Top Bottom