Kwann si salama kwa afya yangu waijuaEneo hili si salama kwa afya yako,baki huko please.
Vuta picha usiku wa manane nakimbia kwa boulevard,wanakijiji wakiniita mwizi si nitafungwa mimi rafiki yako unikose jf? baridi inachoma hadi nakosa balance.
Huko kwenye tope linalonata kama gundi hapanaNjoo Hai Kilimanjaro Kijiji cha masama machame siha mvua inanyesha full barid hadi tunataman kuhamia huko mjin
Kizuri gani unataka nikupatie tena?😅Kwann si salama kwa afya yangu waijua
vizur kula na wenzio
Acha kujitoa ufahamu basi khaa 😅 mwanaume unamamboKizuri gani unataka nikupatie tena?😅
Sikunyimi chochote ..karibuuu
Ndio unanisema mbele za watu?Acha kujitoa ufahamu basi khaa 😅 mwanaume unamambo
Punguza vibweka
Najua unafahamu fika nazungumzia nin ila umeamua kwa makusudi kuyumbisha dishi lako
But kisababishi ni wew u mchokonozNdio unanisema mbele za watu?
Kwenye kadamnasi ya wana jf?😅
Sawa.
You good lakini?
Masama ng'uni miliman dah umenikumbusha mbal sana aiseeeNjoo Hai Kilimanjaro Kijiji cha masama machame siha mvua inanyesha full barid hadi tunataman kuhamia huko mjin
Hili jua la chuga ni lingine kabisaHapana hata Arusha
Kwani kuna aliyeongelea joto?ngoja nizime ac nitokenje nione kama kweli kunajoto au mnajilegeza tuu
Msamaha haujapita ,Mwanaume nina kinyongo ..tafta njia nyingine ya kuomba msamaha🤣.But kisababishi ni wew u mchokonoz
Nisamehe mimi🤐
Nashukuru Niko poa 🙏
Huna hela! Ukiwa na hela jua hulioni!Aisee jua linapiga dar hii
Jua lina waka aiseeAisee jua linapiga dar hii
Dar ipo jirani sana na jua kuliko MercuryAisee jua linapiga dar hii
Kwa madai yako upo kwenye mnuno🤣🤣🤣 Agiza kinywaji baridi chochote nitalipiaMsamaha haujapita ,Mwanaume nina kinyongo ..tafta njia nyingine ya kuomba msamaha🤣.
Kijijini lini sasa?