Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako

Nimetoka kusoma Biblia sasa hivi

Dah, kupunguziwa Miaka 5 nayo mbaya.

Imagine Mungu alikuandikia kuishi Duniani Miaka 100, lakini ukazini na mwanamke nje ya ndoa kama 10 ivi ina maana wewe tuko nawe Kwa Miaka 50 tu.

Jamani ACHENI uzinzi, tuishi milele

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

View attachment 2727635
Hapa ni kuzini generally, not necessarily na mke wa mtu.

All in all, uzinzi kwa ujumla wake ni dhambi mbaya sana, hii ni dhambi ya mauti.

1 Wakorintho 6:15-16
[15]Je! Hamjui ya kuwa miili yenu ni viungo vya Kristo? Basi nivitwae viungo vya Kristo na kuvifanya viungo vya kahaba? Hasha!

[16]Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja.

Mungu atusaidie sana kwakweli.
 
King Kong III una lolote la nyongeza?

Ndoa zina mambo mengi sana...Cha msingi ni kuomba Mungu tu ili atupe hofu yake.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote ,kama aziniye na mwanamke hana akili ,vipi(M/ke) aziniye na mwanamme?

Mwanahabari Zembwela alishwahi kusema Wanawake wapo wa aina 3:-

1. Mke Mkeo
2.Mke Jina
3.Mke Wetu

Mwanamme akipata aina ya kwanza(Mke Mkeo) ndoa inakuwa na amani otherwise ni Majanga.
 
Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;
Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

Wagane NI wachache kuliko WAJANE
Tafakari
Tofauti ya umri kati ya mume na mke unaijua?
Mume kaoa mke aiyemzidi 10yrs, mathematically nani ataanza kufa?

Wewe mumeo kakuzidi miaka mingapi ili upate hitimisho?
Hoja yako ya mgane na mjane haina mashiko.
 
Ndoa zina mambo mengi sana...Cha msingi ni kuomba Mungu tu ili atupe hofu yake.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote ,kama aziniye na mwanamke hana akili ,vipi(M/ke) aziniye na mwanamme?

Mwanahabari Zembwela alishwahi kusema Wanawake wapo wa aina 3:-

1. Mke Mkeo
2.Mke Jina
3.Mke Wetu

Mwanamme akipata aina ya kwanza(Mke Mkeo) ndoa inakuwa na amani otherwise ni Majanga.
Hivi kumbe zembelwa ni mwanahabari, nilikuwa sijui
 
Wagane NI wachache kuliko WAJANE
Tafakari chukua hatua

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;
Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Wajane sawa ni wengi na wagane wachache ila hata hii inaweza changia

1. Wanaume tunapitia mengi tuwapo kwenye ndoa mfano kuuawa pengne hata bila hatai unategwa sumu na mkeo habari inaishia hapo

2. Kazi tunazozifanya ni hatari kwa maisha yetu mfano wanaoendesha vyombo vya moto au ushawah kuskia boda amegongana na gari na huyo boda awe wa kike? wengi huwa ni wakiume na nyumban wanakuwa wameacha familia matokeo ni mjane mwingne kaongezeka

3. Hapa ni kwa wale wanaume wenye mwanamke zaidi ya mmoja mfanyo unakuta ana wake 3 ko mmoja akifa bado atabaki na wawili sio rahis kumuita mgane au anaweza kuwa na mke mmoja akifa lazima ataoa sio kama wanawake wanaweza kuolewa au asiolewe ila mwanaume sio rahis kukaa bila mke boss wangu HOPE NIMEELEWEKA kwa machache hayo

NAWASILISHA :D:D
 
Solomon ufalme wake ulikatishwa akarithi mwanae mcha Mungu, Mungu alimkasirikia
Kasome Biblia vizuri
Wagane NI wachache kuliko WAJANE
Tafakari chukua hatua

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;
Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
We umesema 5 years zinapungua. Ndio maana nakwambia mbona solomoni hakufa mapema. Ishu ya kuondolewa ufalme. Ni nyingine but about 5 years hapo umemlisha Mungu maneno maana Hakuna kifungu hiko.
 
Nimetoka kusoma Biblia sasa hivi

Dah, kupunguziwa Miaka 5 nayo mbaya.

Imagine Mungu alikuandikia kuishi Duniani Miaka 100, lakini ukazini na mwanamke nje ya ndoa kama 10 ivi ina maana wewe tuko nawe Kwa Miaka 50 tu.

Jamani ACHENI uzinzi, tuishi milele

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

View attachment 2727635
Asee kwenye hili kuna watu wana Negative
 
Ana punguza kivipi??kwani tulikubaliana kabla??nitahitaji ushahidi wa hili kutoka Kwa Baba Muumba Wa Mbingu na nchi!!Tuonyeshane ushahidi wa hayo makubaliano.###KivumbiSikuHiyoHukoMbinguni###Kuliko cha kina Mdude na mwambukusi hapa ulimwenguni Tz!!
 
Back
Top Bottom