Hivi ninayechukizwa sana na tabia hizi zifuatazo niko peke yangu au?

Mkuu Gentamycine ngoja nikujibu, without fear or favor;

1. Nachukia Mtu ambaye haendi na muda na anajifanyia tu Mambo yake Kienyeji Kienyeji.
Inakuhusu nini kama mambo anayojifanyia hayakuathiri wewe binafsi?

2. Nachukia Mtu ambaye hajui Kujipanga Kiratiba na yupo yupo kama Zombie fulani hivi duniani
Inakuhusu nini kama hajui kujipangia ratiba na ratiba yake haikuathiri wewe binafsi?

3. Nachukia Mtu ambaye akiamka asubuhi hajui hata atafanya nini Siku nzima
Inakuhusu nini kama mambo atakayofanya siku nzima hayakuhusu wewe binafsi?

4. Nachukia Mtu ambaye hayuko Up to date kwa Taarifa za Ndani na Nje ya nchi
Inakuhusu nini kama kutokuwa kwake up to date na taarifa za ndani na nje haikuathiri wewe binafsi?

5. Nachukia Mtu ambaye najua kuwa Yeye ni Mpumbavu halafu Yeye anaona yuko sahihi kwa alifanyalo
Acha kubishana au kuongea na mtu huyo, hutakuwa na haja ya kuchukia

6. Nachukia Mtu ambaye hajui Kujichanganya na Watu wa kila rika
Acha kujichanganya nae, hutakuwa na haja ya kuchukia

7. Nachukia Mtu ambaye hapendi kuwa Mdadisi Mdadisi na Mpenda Kujisomea Magazeti na Vitabu
Inakuhusu nini kama mtu huyu kutojisomea magazeti na vitabu haiakuathiri wewe binafsi?

Sasa Mkuu, unaona hapa mwenye tatizo ni wewe, sio hao watu unaowachukia. Labda ni bora kafuta msaada psychiatrists kabla mambo hayajaharibika zaidi
 
Matatizo yote unayo yachukia unayo mwenyewe likiwepo na hilo namba 5 la kuwa mpumbavu alafu unajiona uko sahihi
 
1. Nachukia tabia ya mtu kutopenda kwenda na muda na anajifanyia tu Mambo yake Kienyeji Kienyeji.

2. Nachukia tabia ya mtu ambaye hajui Kujipanga Kiratiba na yupo yupo kama Zombie fulani hivi duniani

3. Nachukia tabia ya Mtu kuamka asubuhi akiwa hajui hata atafanya nini Siku nzima

4. Nachukia tabia ya Mtu kutokuwa Up to date kwa Taarifa za Ndani na Nje ya nchi

5. Nachukia tabia ya Mtu ambaye najua kuwa Yeye ni Mpumbavu halafu Yeye anaona yuko sahihi kwa alifanyalo

6. Nachukia tabia ya Mtu ya kutojichanganya na Watu wa kila rika

7. Nachukia tabia ya Mtu kutopenda kuwa Mdadisi Mdadisi na Mpenda Kujisomea Magazeti na Vitabu

Ongezea zako ila ukitaka kuwa Rafiki wa GENTAMYCINE uwe na Sifa zangu tajwa hapa juu huwezi Kafie zako mbele tu Oky?
Nachukia mtu ana hela nyingi halafu bado ananyonya wasio nacho ili aheshimiwe sana.
 
Nachukia wanaolalamika kutoa pesa kwa mademu huku wanataka kunyandua.
Nachukia watu wanaojifanya hii nchi ni mali ya mama zao.
 
1. Nachukia tabia ya mtu kutopenda kwenda na muda na anajifanyia tu Mambo yake Kienyeji Kienyeji.
2. Nachukia tabia ya mtu ambaye hajui Kujipanga Kiratiba na yupo yupo kama Zombie fulani hivi duniani
3. Nachukia tabia ya Mtu kuamka asubuhi akiwa hajui hata atafanya nini Siku nzima
4. Nachukia tabia ya Mtu kutokuwa Up to date kwa Taarifa za Ndani na Nje ya nchi
5. Nachukia tabia ya Mtu ambaye najua kuwa Yeye ni Mpumbavu halafu Yeye anaona yuko sahihi kwa alifanyalo
6. Nachukia tabia ya Mtu ya kutojichanganya na Watu wa kila rika
7. Nachukia tabia ya Mtu kutopenda kuwa Mdadisi Mdadisi na Mpenda Kujisomea Magazeti na Vitabu

Ongezea zako ila ukitaka kuwa Rafiki wa GENTAMYCINE uwe na Sifa zangu tajwa hapa juu huwezi Kafie zako mbele tu Oky?
Naunga mkono hoja
 
Huyo mtu tajwa hapo juu ni bogus yupo yupo tu kama lisanamu yaani.Mvivu wa fikira asiyependa kutafuta changamoto mpya na mwisho anapenda kusifiwa kila mara
 
Nachukia kiongozi ambaye anaona timu inafanya vibaya zaidi ya miaka miwili chini ya uwongozi wake lakini bado anangangania nafasi hiyo kama timu ni yake.
 
Nachukia Mtu ambaye haendi na muda na anajifanyia tu Mambo yake Kienyeji Kienyeji.
Mimi namuonea huruma sana mtu anayechukia watu wasioenda na muda,kwa nini achukie jambo ambalo halifanyi yeye ?
Nachukia Mtu ambaye hajui Kujipanga Kiratiba na yupo yupo kama Zombie fulani hivi duniani
Mimi namuonea huruma sana mtu ambaye anajenga chuki kuwachukia watu ambao hawajui kujipangilia kimuda.
Nachukia Mtu ambaye akiamka asubuhi hajui hata atafanya nini Siku nzima
Namhurumia sana mtu ambaye anajenga chuki kumchukia mtu ambaye hajui akiamka asubuhi atafanya nini.
Nachukia Mtu ambaye najua kuwa Yeye ni Mpumbavu halafu Yeye anaona yuko sahihi kwa alifanyalo
Namsikitikia sana mtu ambaye anaweka chuki rohoni kumchukia mpumbavu yaani yeye anatunza chuki alafu mwenziwe anatunza upumbavu.
Nachukia Mtu ambaye hapendi kuwa Mdadisi Mdadisi na Mpenda Kujisomea Magazeti na Vitabu
Namhurumia sana mtu ambaye eti anachukia mtu mwingine kutokuwa mdadisi wakati huo yeye ni mdadisi tayari ila hatosheki anataka wengine wawe wadadisi na bado hatisheki pia wasipokuwa wadadisi ati anachukia,hakika nawaonea huruma sana hawa watu
 
1. Nachukia tabia ya mtu kutopenda kwenda na muda na anajifanyia tu Mambo yake Kienyeji Kienyeji.
2. Nachukia tabia ya mtu ambaye hajui Kujipanga Kiratiba na yupo yupo kama Zombie fulani hivi duniani
3. Nachukia tabia ya Mtu kuamka asubuhi akiwa hajui hata atafanya nini Siku nzima
4. Nachukia tabia ya Mtu kutokuwa Up to date kwa Taarifa za Ndani na Nje ya nchi
5. Nachukia tabia ya Mtu ambaye najua kuwa Yeye ni Mpumbavu halafu Yeye anaona yuko sahihi kwa alifanyalo
6. Nachukia tabia ya Mtu ya kutojichanganya na Watu wa kila rika
7. Nachukia tabia ya Mtu kutopenda kuwa Mdadisi Mdadisi na Mpenda Kujisomea Magazeti na Vitabu

Ongezea zako ila ukitaka kuwa Rafiki wa GENTAMYCINE uwe na Sifa zangu tajwa hapa juu huwezi Kafie zako mbele tu Oky?
Una maanisha ndio tabia zako, au sijaelewa hapo ulipomalizia uzi wako?
 
Hyo namba 1-3 ilinifanya nikosane na fundi alokua ananifundisha kazi. Yan anaweza kufungua ofisi sa 4, ikifika mchana anaenda kucheza draft!! Nkaona hapa napoteza mda wangu.
 
Kwanini uchukie kwanini uwe na hasira? Kila mtu anaishi kwa nafsi yake ameamua kujipangia utaratibu wa namna ya kuifurahisha nafsi yake katika siku za safar yake hapa dunian. Ndio maana Bible inasema chuki hukaa kifuan kwa mpumbavu. Pia hutakiw kuwa na hasira maana ni kujiumiza kwa ujinga wa mtu mwingine. Be flexible dunia ni ya Mungu hii timiza wajibu wako kikamilifu then usubir cku zako uwaachie wengine nao waishi.
 
1. Nachukia tabia ya mtu kutopenda kwenda na muda na anajifanyia tu Mambo yake Kienyeji Kienyeji.
2. Nachukia tabia ya mtu ambaye hajui Kujipanga Kiratiba na yupo yupo kama Zombie fulani hivi duniani
3. Nachukia tabia ya Mtu kuamka asubuhi akiwa hajui hata atafanya nini Siku nzima
4. Nachukia tabia ya Mtu kutokuwa Up to date kwa Taarifa za Ndani na Nje ya nchi
5. Nachukia tabia ya Mtu ambaye najua kuwa Yeye ni Mpumbavu halafu Yeye anaona yuko sahihi kwa alifanyalo
6. Nachukia tabia ya Mtu ya kutojichanganya na Watu wa kila rika
7. Nachukia tabia ya Mtu kutopenda kuwa Mdadisi Mdadisi na Mpenda Kujisomea Magazeti na Vitabu

Ongezea zako ila ukitaka kuwa Rafiki wa GENTAMYCINE uwe na Sifa zangu tajwa hapa juu huwezi Kafie zako mbele tu Oky?
Namba moja hadi nne ni mimi mtupu. Nachukizwa mno na mtu wa aina hizo mkuu.
 
Nachukia sana watu hawa ndugu Zangu wanaohubiriwa kila siku kuhusu chanzo cha matatizo yao Na namna bora ya kuyatatua halafu wao wanabungaa tu kila siku wakifikiri kwamba hayo matatizo yatajiondosha yenyewe bila wao kuchukua hatua, halafu kila siku Ni kukinga bakuri Na kutaka mjadara ule ule ambao tayari nimekwisha waambia Na wao bado wanabungaa tu... sijui hii hali itakwisha lini. Ndugu zangu hawa Ni Kama team ya mazezeta, ipo ipo tu... inapenda sana habari lojolojo...

Na hapo number tano ndio imesababisha niwaandike ndugu zangu.
*ndugu zangu- yeyote ambaye anataka kuwa professional tegemezi, hachukii hali yake, yeye kila siku anataka nimkwamulie tu mambo yake, nikimuomba anikwamulie yangu - jibu lake Ni “ si unanijua hali yangu”... Na hataki kujikwamua hata akipewa mchongo wa maana Na maokoto marefu. Yeye Ni kukinga tu...
 
Back
Top Bottom