Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 27,728
- 35,105
Pascal Mayalla jibuHivi cheo cha naibu waziri mkuu huwa kipo

Hahahaha hahahaha ndo kati ya majimbo 300 mkabalansiwa kajimbo Ka nkasi tu?Bongo watu mnapenda ubishi kiasi mtu anatunga kitu halafu anabijibishia mwenyewe. Wewe nanga kwani nimekuambia hatapata? Ni hivi: Hata kama CCM wanaiba au kubadilisha washindi lakini hujitahidi sana kufanya kura zao ziwe nyingi kadiri iwezekanavyo. Kadiri zinavyokuwa nyingi ndivyo wizi unavyokuwa mrahisi kufanya na uwezekano wa kutokea fujo kupungua.
1. Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Doto Biteko (MKRISTO)kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Awali alikuwa Waziri wa Madini.
2. Amemteua January Makamba (MUISLAM) kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali alikuwa Waziri wa Nishati.
3. Amemhamisha Balozi Pindi Chana (MKRISTO) kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Awali alikuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
4. Amemhamisha Steven Byabato (MKRISTO)kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali, Byabato alikuwa Naibu Waziri wa Nishati.
5. Amemteua Jerry Silaa (MKRISTO)kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Silaa ni Mbunge wa Ukonga, Dar es Salaam.
6. Rais amemteua Anthony Mavunde(MKRISTO) kuwa waziri wa madini, mwanzo alikuwa naibu waziri wa kilimo.
7. Prof Makame Mbarawa (MUISLAM) aliyekuwa waziri wa ujenzi na uchukuzi amekuwa waziri wa uchukuzi.
8. Innocent Bashungwa (MRISTO)amekuwa waziri wa ujenzi, mwanzo alikuwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa.
9. Godfrey Kasekenya (MKRISTO) aliyekuwa Naibu waziri wa Ujenzi na uchukuzi ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Ujenzi
10. Alexander Mnyeti (MKRISTO) ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Kilimo
11. David Mwakiposa (MKRISTO)Kihenzile ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Uchukuzi. Ni mbunge wa Jimbo la Mufindi
12. Judith Kapinga (MKRISTO) ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa nishati, ni mbunge wa viti maalum Ruvuma.
13. Dunstan Kitandula (MKRISTO)ameteuliwa Naibu Waziri wa maliasili na Utalii, ni mbunge wa Mkinga
14. Stergomena Tax (MKRISTO)amehamishwa wizara ya mambo ya Nje kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
15. Angellah Kairuki (MKRISTO)amehamishwa kutoka TAMISEMI na kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii
16. Dkt. Damas Ndumbaro (MKRISTO) amehamishwa kutoka Wizara ya Katiba ba Sheria na kuwa Waziri wa Utamaduni
Kipo kikatiba au utashi tu wa mteuaji ?Hiki cheo cha unaibu waziri mkuu kilianzia wakati wa mzee Rukhsa, mama sasa kakirudisha tena. Kuna sababu za muhimu sana tena sana, kuliko unavyofikiria.
Vilembwe wa kijakazi wana shida sana hao.Nimeishia hapo ulipoandika "ujui"
Maswali ya msingi sana haya!!Katiba yetu haisemi chochote........
-Majukumu ya Naibu waziri mkuu?
-Anareport Kwa nani?
-Mafao yake na Mshahara wake utakuwaje?
Anyway ngoja tuone siku atakayo waapisha
I have also been wondering,hii ni invention mpya ya Samia.It seems Biteko is on his way out na hilo ni changa la macho.Naibu waziri mkuu ni cheo gani hicho?
Tatizo letu Tanzania si Uislam wala Ukristo bali ni CCMHongera sana kwa kuwa na moyo wa ujasiri na uthubutu.
Wanafiki nyie wakristo, ngojea teuzi ijayo mtakavyopiga kelekeDini ya mtu haihusiki kabisa kwenye uteuzi!! Usituingizie uharibifu!! Dini ya mtu haimpi sifa ya kushika wadhifa wowote!! Hao wote wameteuliwa kwa mujibu wa taaluma zao!! Lakini pia jina halina uhusiano na dini ya mtu!! Nina jamaa yangu anaitwa Salum lakini ni Mkristo!!
Wanafiki nyie wakristo, ngojea teuzi ijayo mtakavyopiga keleke
Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko na teuzi za sura mpya kwenye baraza la mawaziri. Uapisho utafanyika September 1, Ikulu ndogo Zanzibar saa tano kamili asubuhi.
1. Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Awali alikuwa Waziri wa Madini.
2. Amemteua January Makamba kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali alikuwa Waziri wa Nishati.
3. Amemhamisha Balozi Pindi Chana kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Awali alikuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
4. Amemhamisha Steven Byabato kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali, Byabato alikuwa Naibu Waziri wa Nishati.
5. Amemteua Jerry Silaa kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Silaa ni Mbunge wa Ukonga, Dar es Salaam.
6. Rais amemteua Anthony Mavunde kuwa waziri wa madini, mwanzo alikuwa naibu waziri wa kilimo.
7. Prof Makame Mbarawa aliyekuwa waziri wa ujenzi na uchukuzi amekuwa waziri wa uchukuzi.
8. Innocent Bashungwa amekuwa waziri wa ujenzi, mwanzo alikuwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa.
9. Godfrey Kasekenya aliyekuwa Naibu waziri wa Ujenzi na uchukuzi ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Ujenzi
10. Alexander Mnyeti ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Kilimo
11. David Mwakiposa Kihenzile ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Uchukuzi. Ni mbunge wa Jimbo la Mufindi
12. Judith Kapinga ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa nishati, ni mbunge wa viti maalum Ruvuma.
13. Dunstan Kitandula ameteuliwa Naibu Waziri wa maliasili na Utalii, ni mbunge wa Mkinga
14. Stergomena Tax amehamishwa wizara ya mambo ya Nje kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
15. Angellah Kairuki amehamishwa kutoka TAMISEMI na kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii
16. Dkt. Damas Ndumbaro amehamishwa kutoka Wizara ya Katiba ba Sheria na kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
View: https://www.youtube.com/watch?v=7bLEuvgVGG4
======
View attachment 2733279
View attachment 2733280
View attachment 2733281
View attachment 2733282
Naughty by nature na mwenzako MACHIRIKA yaani nyie mkiwa mnamshabikia mtu kwa misingi ya dini yake itakuwa taabu sana.Wakiwa wao wanasema suala la udini halina nafasi,wakiwa waislam wanapiga kelele na kueneza chuki za udini na matusi,sasa tunawaeleza ukweli wanune wachukie shauri yao.
Mtu anayejikosha anajulikana tu, bi hadija ni mdini fullstop!Katika Teuzi na haya mabadiliko yako uliyoyatangaza,Nafasi ziko 16,waislam ni wawili tuh na wakristo wako 14.
Nawahakikishia laiti hili lingekuwa vice versa hii nchi kila kona ungeskia kelele na kusingekalika.
1. Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Doto Biteko (MKRISTO)kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Awali alikuwa Waziri wa Madini.
2. Amemteua January Makamba (MUISLAM) kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali alikuwa Waziri wa Nishati.
3. Amemhamisha Balozi Pindi Chana (MKRISTO) kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Awali alikuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
4. Amemhamisha Steven Byabato (MKRISTO)kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali, Byabato alikuwa Naibu Waziri wa Nishati.
5. Amemteua Jerry Silaa (MKRISTO)kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Silaa ni Mbunge wa Ukonga, Dar es Salaam.
6. Rais amemteua Anthony Mavunde(MKRISTO) kuwa waziri wa madini, mwanzo alikuwa naibu waziri wa kilimo.
7. Prof Makame Mbarawa (MUISLAM) aliyekuwa waziri wa ujenzi na uchukuzi amekuwa waziri wa uchukuzi.
8. Innocent Bashungwa (MRISTO)amekuwa waziri wa ujenzi, mwanzo alikuwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa.
9. Godfrey Kasekenya (MKRISTO) aliyekuwa Naibu waziri wa Ujenzi na uchukuzi ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Ujenzi
10. Alexander Mnyeti (MKRISTO) ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Kilimo
11. David Mwakiposa (MKRISTO)Kihenzile ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Uchukuzi. Ni mbunge wa Jimbo la Mufindi
12. Judith Kapinga (MKRISTO) ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa nishati, ni mbunge wa viti maalum Ruvuma.
13. Dunstan Kitandula (MKRISTO)ameteuliwa Naibu Waziri wa maliasili na Utalii, ni mbunge wa Mkinga
14. Stergomena Tax (MKRISTO)amehamishwa wizara ya mambo ya Nje kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
15. Angellah Kairuki (MKRISTO)amehamishwa kutoka TAMISEMI na kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii
16. Dkt. Damas Ndumbaro (MKRISTO) amehamishwa kutoka Wizara ya Katiba ba Sheria na kuwa Waziri wa Utamaduni
Hongera sana kwa kuwa na moyo wa ujasiri na uthubutu.
Naona hujaielewa dhanna ya Reform and Rebuilding.
Hapo kwa Kassim Majaliwa, kilichositisha asipigwe chini ni mfumo tu, lakini ana "underperform" sana, juzi aliambiwa, usingoje maagizo kutoka juu.
Majina sio dini.Katika Teuzi na haya mabadiliko yako uliyoyatangaza,Nafasi ziko 16,waislam ni wawili tuh na wakristo wako 14.