Adhabu ya viboko kidato cha tano na sita ifutwe

Wao bado wanakumbuka viboko vya mkoloni hawajui kuwa kupiga ilikuwa ni chuki na ubaguzi wakati ule
Hawajiulizi kwanini hawapigi watoto wao shuleni ila mtumwa alikula mpaka panga na shaba?

Ni wapumbavu sana na kama serikali itapigiwa kelele hakika wataondoa huu ujinga
Mtoto ana uwezo mkubwa ila akili ina Ganda kwa kimuogopa mwalimu

Yaani mwalimu anakuwa na uadui na mtoto kama katembea na mke wake shenzi kabisa
Viboko ni hatari ki afya na kisaikolojia, vinajenga kumbukumbu mbaya isiyofutika
 
Prof Mkenda unapofanya mabadiliko ya mitaala na mambo mengineyo basi na adhabu ya viboko kwa kidato cha tano na sita ifutwe maana wale ni watu wazima.

Haiwezekani wanamaliza form iv pamoja, mmoja anaenda chuo cha kati (anaachana na mambo ya viboko) mwezake wa umri ule ule anayeenda form five anaenda kukutana na viboko.

Viboko ni adhabu ya kizamani sana hasa kwenye ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia.

Wanafunzi wa Vi ni watu wanaojitambua na kujua ni nini wanafanya kama ilivyo wanafunzi wa vyuo vya kati ambao hawachapwi viboko.

Na nyie walimu, ingia darasani fundisha achana na kuchapa viboko watu wazima wa form v$vi, fanyeni kama walimu wa vyuo vya kati
Hakika unayo hoja
 
Kuna watu hata huko maofisini
Mpaka unajiuliza huyu kazini alifikaje yupo yupo tu kama mzigo wa mabua yaani
Ndiyo maana mjerumani alitumia mijeledi kwa ajili ya ngozi nyeusi
Kujisimamia wenyewe hatuwezi
😂😂 kama na wewe ni wale wasioweza kujiongoza.
Mchapwe tu kwa kweli, mpaka unajiuliza huyu mtu kwa akili hizi na Mentality hii. Alifauluje hata hiyo darasa la saba.
Kuna watu ni mizigo Aseee.....
 
Sisi ngozi nyeusi bila viboko hatuendi wengi wetu ,viboko vipelekwe hadi bungeni ingekua poa kwa sababu kuna wapiga kelele na wasinziaji na watoro na wachelewaji pia.
 
Hili kaka mbona liko chini ya utawala tu wa Shule sio mpaka waziri. Ziko Shule hawachapwi na ziko Shule wanachapwa. Kila kitu sio waziri
 
Kuna watu hata huko maofisini
Mpaka unajiuliza huyu kazini alifikaje yupo yupo tu kama mzigo wa mabua yaani
Ndiyo maana mjerumani alitumia mijeledi kwa ajili ya ngozi nyeusi
Kujisimamia wenyewe hatuwezi
Mijeredi ilifaa kutumiwa hadi kwenye ofisi za serikali ,kuna waseng€ wengi hawajielewi mule , upuuz
Wanyooshwe Kwa mijeredi ya mjerumani
 
Back
Top Bottom