Recent content by Dalton elijah

  1. Dalton elijah

    Meli ya MV. Clarias yazama ikiwa Bandarini

    Meli ya MV. Clarias iliyokuwa kwenye maegesho ya bandari ya Mwanza Kaskazini imekutwa imepinduka na kuzama majini katika Ziwa Victoria asubuhi ya leo Mei 19, 2024, huku chanzo cha kuzama kwa meli hiyo kikiwa bado hakijafahamika. Meli hiyo ambayo hivi karibu ilikuwa kwenye matengenezo bandari ya...
  2. Dalton elijah

    Oleksandr Usyk Atwaa Mkanda wa WBC Baada ya Kumchapa Tyson Fury.

    Tyson Fury Amekumbana na kichapo katika usiku wa kuamukia Leo nchini Saudi Arabia huku Oleksandr Usyk akiwa bingwa wa kwanza wa ndondi wa mikanda minne ya uzito wa juu bila Kupingwa. Usyk anachukua mkanda wa WBC kutoka kwa Fury, ili kuongeza kwenye mkusanyiko wake wa WBA, WBO na IBF. Kwenye...
  3. Dalton elijah

    Mwigulu Amelihakikishia IMF kuhusu Maboresho ya Sekta Mbalimbali

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) amelihakikishia Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwamba, Serikali itaendelea kufanya maboresho ya sera na mipango yake kwa kuhakikisha sekta mbalimbali za kiuchumi na kijamii zikiwemo sekta za elimu na afya zinapewa kipaumbele katika Bajeti ya...
  4. Dalton elijah

    Mary Moraa bingwa wa Dunia, atwaa tena taji la Diamond League

    Mary Moraa ambaye ni bingwa wa dunia na Jumuiya ya Madola mbio za mita 800, ametwaa taji la riadha za Diamond League duru ya Doha nchini Qatar. Bingwa huyo wa Kenya ambaye ni afisa wa polisi, katika mbio za mita 400 na mita 800, aliweza kukamilisha mizunguko miwili kwa dakika moja na sekunde...
  5. Dalton elijah

    Waziri Gwajima: Watanzania tuwe Makini na habari za Mtandaoni

    Tuwe makini na watu wanaoandaa taarifa za video kama ya huyu anaye 'trend' kwa video ya madai kuwa eti anafanya mapenzi na nyoka Ili kupata hela pamoja na video zingine zenye mlengo aina hii. Napenda KUIKUMBUSHA jamii kuwa: Ni kosa la jinai chini ya Kanuni ya Adhabu , Sura ya 16 ya Sheria za...
  6. Dalton elijah

    Kingereza kufundishwa kuanzia Darasa la Kwanza

    Serikali imeamua kuboresha uelewa wa somo la Kiingereza kuanzia Shule za msingi darasa la kwanza badala ya kuanzia darasa la Tatu kama hapo awali ili kuwajengea uwezo wanafunzi hao ingali mapema kuelewa somo hilo kwa ueledi. Naibu Katibu Mkuu Tamisemi (Elimu) Dkt. Charles Msonde amezungumza...
  7. Dalton elijah

    TANZIA Mwanafunzi SAUT afariki akiwa ameenda kuogelea ziwani

    Mwanafunzi Wa Chuo kikuu Cha SAUT Campus ya Mwanza Amefariki Dunia Alipokuwa Ameenda kuogolea Kando Kando Kando ya Ziwa Victoria Maeneo ya Sweya Beach. Taarifa hiyo ilitolewa Na Wenzake Ambao walikuwa wameenda Nao kuogolea katika Maeneo hayo ya Kando kando ya Ziwa Na Na Kifo hicho kimetokea...
  8. Dalton elijah

    Sheria ya Good Samaritan (msamalia mwema) ni muhimu ili kuwaokoa majeruhi

    Ndugu Viongozi wetu Imefika wakati sasa Tanzania tunahitaji sheria ya Msamaria mwema au kwa kiingereza Good Samaritan Law. Sheria hii itawezesha kuokoa maisha ya watu wengi waliojeruhiwa, hasa na ajali za barabarani tofauti na ilivyo sasa. Ilivyo sasa ikitokea ajali, wenye ujasiri wa kuokoa...
  9. Dalton elijah

    Takwimu: Mtu mmoja anakunywa pombe lita 10.4

    WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema takwimu zinaonesha kuwa wanywaji wa pombe wameongezeka nchini hali inayofanya kuanza uhamasishaji wa kupunguza unywaji wa pombe. Takwimu alizotoa zinaonesha kuwa mtu mmoja anakunywa lita 10.4 kwa mwaka ambapo awali mtu mmoja alikuwa anakunywa lita 9.1...
  10. Dalton elijah

    Inter Milan Bingwa Mpya Wa Seria A

    Klabu ya Inter Milan imetangazwa kuwa Bingwa Wa Ligi kuu Nchini Italia Mara Baada ya Kushinda Mchezo Wa Leo Dhidi ya Ac Milan Uliomalizika Kwa Ushindi Wa Goli 2_1 Bingwa Huyo Mpya Wa Seria A Ananyakua Ubingwa Huku Akiwa Na Mchezo Mitano 05 Mkononi. Katika Hatua Nyingine klabu ya Klabu ya...
  11. Dalton elijah

    Inter Milan Bingwa Mpya Wa Seria A

    After Napoli's spectacular year in the 2022-23 season, Inter Milan have reclaimed their golden sceptre and won a Serie A that they have dominated with an iron fist. No one has been able to even come close to Simone Inzaghi's side, who lift the title in the most special of matches and with five...
  12. Dalton elijah

    Kundi la Islamic State lachapisha vitisho dhidi ya mechi za Klabu bingwa Ulaya leo

    Getty ImagesCopyright: Getty Images Usalama utaimarishwa katika mechi za Ligi ya Mabingwa wiki hii baada ya chombo cha habari kinachounga mkono kundi la Islamic State kuchapisha vitisho dhidi ya viwanja vitakavyotumika. Kituo cha vyombo vya habari kinachounga mkono IS kimechapisha mabango...
  13. Dalton elijah

    Abidjan: Omba Omba wapigwa Marufuku ili Kupambana na Fujo za Mjini

    Jiji kuu la Ivory Coast, Abidjan limetangaza kupiga marufuku ombaomba ili kupambana na "fujo za mijini". "Ili kupambana na fujo za mijini, biashara za kutembea kwenye barabara kuu, kuombaomba kwa namna zote, na matumizi ya mikokoteni sasa yamepigwa marufuku rasmi katika wilaya nzima," alisema...
  14. Dalton elijah

    Kampuni imebuni namna ya kutumia teknolojia ya AI kama njia ya “kufufua” wafu na kuwaunganisha na wapendwa wao walio hai

    Kampuni hiyo kutoka China imekuwa ikitumia teknolojia inayoiga akili ya binadamu (AI technology) kubuni nafsi ya kidijitali ya aliyefariki na kuwezesha jamaa zake kuwasiliana naye jinsi ilivyokuwa kabla ya kufa kwake. Teknolojia hiyo imesifiwa na wengi kwa kuwa inawapa waliofiwa faraja ya muda...
Back
Top Bottom