Niko safarini kutoka kanda ya kati kuelekea Geita.
Nafika eneo fulani mkoani singida. Wale wenye sare nyeupe wananyoosha mkona kuashiria nisimamishe gari.
Yeye: Nipe leseni yako
Mimi: Hii hapa
Yeye: Una deni la faini
Mimi: Ndiyo
Yeye: Lipia
Mimi: Bado nina safari ndefu.Nina akiba ya kununua...
Mtapigwa tu, juzi rais wenu ameliwa milimani, tena kwenye ndege tatu, ya kwake ndio ilichaguliwa, wiki haijaisha bomu limepiga karibu na ubalozi.
One dead after explosion reported near Iranian embassy in Damascus - report
By JERUSALEM POST STAFF Published: MAY 25, 2024 10:37Updated: MAY 25...
Tanzania tuitakayo Selikari ianzishe Application inayo husiana na masuala ya afya ya akili vijana wengi wanaona ni aibu kwenda kuelezea matatizo yanayo wakabili wakiamini Depression ni magonjwa ya kizungu lakini app moja ikianzishwa inayo deal na maswala ya msaada wa afya ya akili ikatoa...
Ukomavu haupimwi kwa umri, ni mtazamo unaojengwa na uzoefu.
Hapa kuna sifa 10 za mtu aliyekomaa.
Hufurahi kuwa peke yao: Wanastarehe wakiwa peke yao na hawahitaji marafiki au watu karibu nao kila wakati.
Hukubali tofauti: Wanakubali kwamba kila mtu ni tofauti na atakuwa na maoni tofauti...
Nimewahi kusikia mtu akikung'ata akiwa na hasira anaweza kukuachia sumu ambayo inaweza kukuathiri, athari hutegemeana na kiwango cha hasira atakachokua nacho.
Je, kuna ukweli wowote?
Iko hivii;
Hapa mtaan kuna office za kubeti kwa hyo mara nyingi huwa nashinda hapo. Sasa kuna jamaa imetokea tu tumezoeana kwa sababu kila sku tunakutana humo ndanin(simjui jina wala sina details zozote juu yake).
Sasa kuna siku akaazima smu yangu ampigie mtu nikasita nikamwambia mimi sina...
Me Sina hela ila naishi na watu wema na wenyewe kiuchumi hawako vizuri nyie wa huko dar mna magari na majumba najua wengi hamuwezi kushindwa kufungua redio Jina LA redio nakupa mimi iitwe 45 fm vipindi nakupangilia mimi wewe utaboresha tu ila ni redio Kwa ajili ya vijana tu wa 45 Namba hio...
Wakati wa magufuli watumishi wa umma walikuwa wanaitwa na tume ya maadili si tu kula kiapo Bali kuthibitisha mali wanazomiliki na upatikanaji wake ! Rais magufuli alikuwa mstari wa mbele kwa kujitokeza hadharani na kwenda tume kuhojiwa na kuweka wazi mali zake na upatikanaji wake ! Baada ya...
HAPA ndipo chimbuko la wazungu na baadhi ya waarabu, nchi ya Georgia, panaitwa CAUCASIA , milima Yao Inaitwa Caucasus mountains.
Bahari Yao Inaitwa Black Sea, haisapoti hata samaki... Ina kemikali zisizoruhusu uwepo wa wayama.
Tofauti na sisi great lakes zetu za chimbuko la mababu zetu zote...
Kwema wadau. kama mada inavyojieleza, leo nikiwa natoka mishemishe naelekea home nikakutana huyu dada akaniita nikaenda kumsikiliza kuja pale ndo ananiambia kaniota ndotoni nampelekea moto wakati sijamtongoza.
Nikamuuliza unanipenda kanijibu hapana, pia nikamuuliza kipindi unaniota ulilala na...
Natumai wote mko sawa humu ndani.
Naombeni msaada mtu yeyote au mfanyabiashara yeyote aliyepo Dar anipe maelekezo vizuri kuhusu mchele.
1. Bei zipoje sasa mashineni
2. Je ni kweli muda si mrefu bei zitashuka na zikishuka huwa zinafikia bei gani
3. Usafiri mpka dar kwa kilo mia bei gani na...
Nimesikitika sana kweli mtegemea cha jirani hufa masikini.
Niliwazoea sana hasa huyo mke wake ilikuwa lazima atamtuma beki tatu aniletee msosi kwenye hotpot.
Wakuu
Magonjwa ya kuambukizwa -Magonjwa yanayosababishwa na vimelea kama virus,bakteria na fungus.
Magonjwa yasiyoambukiza
-magonjwa ambayo hayahusishi vimelea fulan kama kisukar pressure magonjwa ya moyo.
Swali je ni ugonjwa gan wa vimelea mtu hulazimika kutumia dawa maisha yake yote?
Waziri wa fedha Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemaba leo mei 22,2024 Bungeni Jijini Dodoma amesimama kujibu hoja za wabunge waliochangia bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Viwanda na Biashara
Katika majibu yake Dkt. Mwigulu amesema kuwa mtu yoyote...
Habari zenu wajuvi, naombeni msaada kama kuna mtu (watu) amesha wahikupona vipele vya ndevu vile vinavyo otaga maeneo ya shingo anisaidie yeye alitumia dawa gani kuvimaliza.
Kwasababu vimenitesa kwa muda mrefu yaani kuna muda nakosa amani kwanza vinawasha balaa wakati wa usiku, nimesha tumia...
Habari nahitaji mtu aliepo Uganda
Awe na uzoefu wa masuala ya teknolojia na social media. Pia awe kijana mchangamfu yani kijana wa mjini ukipewa kazini unafanya kwa uhakika.
Maisha yangu kwa muda mrefu nimekuwa nikiwa mdau wa kupenda sana ku hang na marafiki, nilipofika kwenye 25 nikaanza ku hang zaidi na small circle ya marafiki watano tu ambao tupo karibu sana
Kwa sasa nina 36, nimeanza kuona hata hao wachache wa karibu ni kweli tunajuliana hali, kutembeleana...
Wakuu habari,
Sheria ya kikokotoo kwa watumishi waliokuwa na ajira rasmi ipo wazi. Ikitokea mtu amekosa ajira kwa sababu yoyote ile isiwe ya kuacha mwenyewe, sheria inaelekeza alipwe 33% ya mshahara wake kwa muda wa miezi 6. Kisha asubiri miezi 18 kama hajapata ajira nyingine amwandikie...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mtu Kazi) kesho Jumatatu Mei 20, 2024 ataanza ziara mkoani Morogoro kwa ajili ya kukagua shughuli mbalimbali za maendeleo na kutatua kero za wananchi.
TAMISEMI ni Wizara Injini ya Taifa inayomgusa kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.