ilikuwaje

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jane Lowassa

    Kiasi Gani Cha fedha uliwahi kuokota? Ilikuwaje?

    Jana kulikuwa na sherehe ndogo ya ofisi kwenye ukumbi Fulani. Nilibanwa nikaenda washroom. Kulikuwa na mwanga hafifu lakini haikunizuia kuona kitu kama pochi kimedondoka chini Nilitaka kuignore, lakini nilipofocus nikagundua ni pochi ya hela. Nikaiokota haraka na kurudi kwenye sherehe...
  2. Mkalukungone mwamba

    Wanaume wenye watoto tupeni uzoefu wenu. Mara ya kwanza unampelekea Mwanamke wako hospitali kujifungua, hiyo siku ilikuwaje?

    Wanaume ambao mnawatoto embu tupeni uzoefu wenu kwa mara kwanza unampelekea Mwanamke wako hospitali kujifungua,hiyo siku ilikuwaje na kipi utoweza kusahau kabisa
  3. Sean Paul

    Naomba kuuliza wajuvi, mtu aliyekaa miezi 18 bila kuajiriwa, alivyorudi mfuko wa hifadhi ya jamii ilikuwaje?

    Wakuu habari, Sheria ya kikokotoo kwa watumishi waliokuwa na ajira rasmi ipo wazi. Ikitokea mtu amekosa ajira kwa sababu yoyote ile isiwe ya kuacha mwenyewe, sheria inaelekeza alipwe 33% ya mshahara wake kwa muda wa miezi 6. Kisha asubiri miezi 18 kama hajapata ajira nyingine amwandikie...
  4. M

    Ilikuwaje mara ya kwanza ulipokutana na mtu mliyechati mtandaoni kwa nia ya kuwa wapenzi?

    "Samahani sana ninavyokuona sio kama nilivyotegemea, HATUENDANI"... baada ya kusema hivyo jamaa aliyekuwa naye kwenye Toyota Hiace nyeupe akaniangalia na kutabasamu kisha akaondoa gari. Mimi nikaachwa nimesimama. Kibaya zaidi hata kwenye gari hakushuka. Sikuweza kujua yule kijana alikuwa nani...
  5. BARD AI

    Kumbukizi ya Dkt. Bashiru: "Sitagombea wala kukubali uteuzi wowote baada ya huu". Kilichofuata baada ya hapo ilikuwaje?

    Mei 29, 2018, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, aliteuliwa na CCM kuwa Katibu Mkuu cha chama hicho akichukua nafasi ya Abdulrahman Kinana ambaye aliomba kujiuzulu. Baada ya uteuzi huo, Dkt. Bashiru alitoa kauli kuwa nafasi hiyo ni ya kwanza na ya mwisho kwake na hatakubali kuteuliwa katika nafasi...
  6. AKILI ZAKO

    Simba ilikuwaje wakamuuza Bwalya?

    Ilikuwaje kwa viongozi wa simba wakumuuza Raly Bwalya na kumnunua Isamel Sawadogo? Nimetafakari hili ila nimekosa nimekosa majibu. Naona kuna viongozi wanahujumu hii timu ikichangiwa na kelele za upande wa pili wakituaminisha wachezaji wetu ni wabovu/walevi/wazee. Halafu tukiwauza/ au kuwaacha...
  7. U

    Tukutane hapa tuliopata ubaba kabla ya ndoa, ilikuwaje, ulichukua maaamuzi gani, ndie uliemuoa?

    Nakumbuka jioni ya siku kama ya leo kuelekea weekend nilimuita aje tuspend kwangu. Mida kama hii nashangaa msosi naoukuta mezani sio kawaida yake kuniandalia akija, aliandaa juice nzito, pilau la nazi na njegere. nimemaliza kula namsifu kwa mapishi yake ajiandae nae nimle, ndio akanifungukia...
  8. Daspauls 238

    Ulishawahi kumpenda mtu at the first sight? Tueleze ilikuwaje

    WanaJF tiririkeni Love at the first sight 😍😍😍😍
  9. Mufti kuku The Infinity

    TBT: Ulipokea matokeo yako ya Form Four ukiwa wapi, na ilikuwaje?

    Mimi ilikuwa mwaka 20__. Nilikuwa zangu nyumbani nimetulia naperuzi tu. Ila nilifurahi sana. Yako yalikukutia wapi, na ilikuwaje?
  10. Nyafwili

    Ulikuwa na umri gani ulipotengeneza milioni yako ya kwanza?

    • Habari wana JamiiForums na wafanyabiashara wenzangu, nataka nitengeneze milioni yangu ya kwanza mapema mwaka huu. Hata hivyo, Maana nimekuwa kila nikitafuta hela nashindwa kufikisha million , nataka kujua ni umri gani nyie mlitengeneza milioni ya kwanza na jinsi mlivyofanya au uwekezaji...
Back
Top Bottom