habari vijana.
nauza brand new machine ya kuprint tshirts fasta fasta.
bei ni laki nane tu ( 800,000/=) manufacture anaitwa ADKINS.
ukihitaji piga namba 0616 577 289 mashine ipo kimanga Dar es salaam, ni brand new haijawai tumika.
kwa kijana uliyopo mazingira ya chuo itakusaidia sana...
Habari wadau.
Leo Airtel internet imenigomea kabisa.
Je, ni simu yangu ndio ina shida ama wengi imewakuta hiyo hali ?
Cha kushangaza simu hiyo hiyo nikiweka data line ya voda. Mtandao unafanya kazi vizuri
Habari wadau,
Mchungaji wa kanisa la kilokole akitoa ushuhuda wa kilichotokea kwenye ndoa ya waumini wake. Bwana harusi na yeye anaeleza kwa urefu alichokutana nacho kwenye usiku wa kwanza wa ndoa yake.
Ndoa hiyo ilifungwa katika kanisa la Pentecostal Assemblies of God (PAG) na kuvunjwa...
Mahakama ya wilaya ya Temeke yavunja ndoa ya kikristo kati ya Salome Laurian Maganga na Bwana Michael Peter Motau baada ya ushahidi kuonesha bwana harusi hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa.
Ndoa hiyo iliyodumu kwa miaka mitano. ilifungwa mwaka 2019 na imevunjwa mwaka 2024. Bibi harusi...
INAUMIZA SANA KWA KWELI UNAPOONA WASOMI WAZURI ILA WANA HALI NGUMU KIUCHUMI.
Wazazi tuchukue tahadhari, Tusomeshe watoto sambamba na kuwaandaa waweze kujiajiri ama kufanya biashara, degree/masters zinawaaibisha watu mitaani
Wazazi tunapaswa tubadilike sana kwenye kuwekeza kwa ajili ya watoto...
Telecom market share ya Tanzania ya mwaka 2023 kutoka TCRA inaonesha wazawa tulivyo wavivu na wazembe kwenye kuongoza mashirika ya umma
Baada ya kuanzishwa October 2015 iliwachukua mwaka mmoja tu Halotel kufikisha wateja milioni tatu (3), yaani by mwaka 2016 October Halotel alikuwa tayari...
Bwawa la umeme Rufiji ni muhimu sana kwa nchi nzima. hivyo tunapaswa wa Tanzania wote kulilinda bwawa lisibomoke kwa kuchangia pesa za fidia ya kuhamisha watu wote wa rufiji maana umeme tunautaka wote Tanzania nzima
Hali ya rufiji ni mbaya.
nawaza tu kwa nini serikali isiwahamishe wakazi...
Mamelodi sundowns ni timu yenye CV ya ajabu sana.
Imewai kutwaa kombe la africa mara moja mwaka 2016.
Na hiyo mara moja walitwaa kwa vituko vingi sana. Vinachekesha. Baada ya kushindwa uwanjani waliamua Mpira uchezwe na wanasheria wa mamelodi mahakamani
Mwaka huo 2016 mamelodi alishiriki...
Habari wadau
Binafsi nashangaa sana watu hasa wasomi wenye smartphone wanaoamini story za ushirikina zama hizi
Ukweli ni kwamba ukijipa muda wako kujifunza zaidi kuhusu cognitive science and psychology, Human psychology na Science of Emotion ilivyo. watajua ukweli mwingi sana wa ubongo...
Makanisa mengi ya wakristo leo hasa makubwa kama RC na KKKT mafundisho yao hayafundishi umuhimu wa ndoa kwa vijana wao. Wasabato ndio waliobaki kusisitiza hilo.
Tazama picha za maharusi wao mume na mke wanavyokuwa wadogo
Ndoa kama hii ni rahisi kujenga bond kubwa ya upendo maana mke na...
VAR ililetwa kwa ajili ya kuzionea timu zetu tu. sababu hazina majina makubwa. Caf wanapenda sana kumbeba mamelodi. sababu bosi wao rais wa caf ndie mmiliki wa mamelodi
Sheria za mpira zinasema mtu wa mwisho akifanya rafu ni kadi nyekundu. ila kwa mamelodi hata VAR haijajisumbua kucheki...
Huu ni ukweli mchungu, zama zimebadilika
Vijana mnaomaliza chuo mjifunze kutengeneza content zitakazotrend hasa za kuelimisha, kufundisha, kuburudisha na kuchekesha watu..
huko ndipo kuna fursa za dili nyingi zama hizi
Nchi zinazoongoza kwa kuamini ushirikina (uchawi) barani Afrika.
1. Cameroon
2. Tanzania.
DINI NI SABABU YA WATANZANIA KUAMINI SANA UCHAWI NA USHIRIKINA
Ukiamini dini za ukristo na uislamu ni lazima pia uamini na ushirikina maana imani hizo zinategemana.
Quran imeongelea ushirikina na ina...
Wamarekani wanamlaumu Kobe Kobe ana makosa ya kutowapa wazazi wake maisha hakuandika wosia kabla hajafa hivyo ni kama alichagua kutojumuisha wazazi wake katika wosia wake hivyo mali zote zimeenda kwa mke wake.
Ukweli wamarekani wana utamaduni wa ajabu sana, how can a person be worth Trillions...
Habari wadau.
ukweli mchungu vibinti ya 2000 vijanja sana. hasa vilivyokuja na mbinu ya niagize china nikununulie mzigo wako.
Instagram na social media zingine zinatajirisha sana watu wanaojua kuzitumia kwa faida yao.
Mfano mdada wa miaka 23 anaejiita Kim china business. ameshusha mijengo...
Elimu ya chuo kikuu ni muhimu lakini karama ya kuzalisha pesa ni muhimu zaidi.
Average age ya kuhitimu ama kumaliza digrii ya kwanza Tanzania ni miaka 24. Vijana wengi waliohitimu chuo wana msongo mkubwa wa mawazo sababu ajira hakuna. Na pia elimu imewaweka daraja la juu hawawezi kufanya kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.