Wakuu namshukuru Mungu baada ya kuhamia huu mji kwa zaidi ya miezi 5, huku nikitaka wa kunipunguzia upwiru ninapokuwa mbali na wife . Pia si mnafahamu kuwa michubuko inaimarisha ndoa. Nimefanikiwa kulinasa limama mtu mzima kabisa. Huyu ananizidi kama miaka 6 hivi. Sasa hivi mwenyewe ananiita mda...
Helooo, Jf, Heloo Tanzania hatimae nimeopoa manzi ya kizungu, yaani ni full mahaba in the house. Sasa namuoa kama mke wa pili na ameridhia kazi kwenu na nyie mtafute kama wanapatikana kirahisi.
Ila watu wa humu, aiseeee🙌🙌🙌🙌
Anyway, turejee uzi wangu huu
https://www.jamiiforums.com/threads/ninapitia-msongo-mkali-wa-mawazo-baada-ya-kusimamishwa-kazi-kisa-vyeti-feki-naomba-ushauri-niweze-kujikwamua.2296429/
Kiufupi wengi walikuwa pamoja nami katika kipindi kifupi kilichopita cha msoto wa...
Wanabodi Habarini...
Leo Nimesimamishwa Na Askari Wa Usalama Barabarani akwa Kosa La Kutofunga Mkanda. Nilipomuona Ananifata Nikajiongeze Kufunga Kumbe Kashaniona. Ikanibidi Nikiri Kosa Na Kuomba Kujirekebisha, Tukaongea Kikubwa Yakaisha.
Swali Ambalo Nilijiuliza Na Hata Yeye Nilimuuliza...
Wala siijui formula ya aina ipi ya mwanamke wa kuoa hata huyu nilite naye siijui kesho yetu hivyo nachoweka hapa ni theory tu lakini waweza kupata kitu.
Sikuoa rafiki yangu, nilikuwa na marafiki wengi wa kike hata wa muda mrefu tuliowahi kuwa kwenye uchumba lakini haikuwahi kunijia akilini kuoa...
Wakuu Salaam,
Leo asubuhi nikiwa jijini Dar es Salaam nimepanda gari (daladala) za kutoka Mbagala Charambe kwenda Mbezi Magufuli Bus Stand, ili nichukue Nyehunge ya Kurudi kwangu Nyamisati, na ndipo nikaona kitu cha kunishangaza kidogo, sio sana.
Nilijikuta ndani ya daladala tuliyopanda kwa...
This vision I got this morning at seven o'clock.
Nilikuwa katika ndoto.
But in this dream I was sitting cross- legged doing meditation.
And then I disengaged from the body and I started drifting in space propelled by some Force.
I was just watching to see where I would be sent.
Nikaenda juu...
Sorry, za muda hu waungwana, nimepata mkopo mahali flani wa pesa taslim laki tatu, sijui na sielewei naifanyia nini,!! Maan marejesho kila baada ya wiki mbili kwa miezi sita, Naombeni ushauri 🙏
Google
You've closed your Google payments profile
Hello from Google,
You recently closed your Google payments profile.
You'll still be responsible for outstanding balances.
Most customers can delete additional payment information, including loyalty cards and contactless payment attempts, from My...
JUZI kati Niko site mwenge nafanya wiring juu ya ghorofa kwa mbali nikaona gari zuri mnooo bmw x7 imepaki akashuka mdada mzuri sana akaingiaaa duka moja Punde akatokea muokota makopo from no where AKAWA na fuko lake hapo njee yule dada AKATOKA njeee na kitololi Cha supermarket kimejaaa mazaga...
Mwaka unaisha hivyo ni harusi moja pekee niliyoalikwa, ni tofauti na miaka ya nyuma.
Labda pengine mlolongo wa matukio kadhaa umefanya mwaka huu kutokuwa kwenye mipango ya kuoa kwa vijana mabachela naowajua, maana kama ni michango ipo.
Pengine nikadhani labda tatizo ni uchumi ila nimekataa...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amezungumza na wahitimu kwenye Mahafali ya 48 ya Chuo cha Maji, yaliyofanyika leo tarehe 13 Novemba 2024, kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, akiwa mgeni rasmi.
Akizungumza katika hafla hiyo, Aweso amesema: "Mimi familia yangu ni masikini, nimefikia...
Habari wanajimii forum. Hii ishu aliipata rafiki yangu mmoja hivi ni ishu ya kweli kabisa.
Jamaa anandoka ya miaka zaidi ya 9 na wamefanikiwa kuwa na watoto. Kusema ukweli mke wake ni mrembo haswa Tena haswa kweli kweli. Anafanya kazi kwenye shirika Moja hapa DSM.
Mume wake anagari ambalo...
Kutokana na mtindo wa maisha niliokua nao (ulevi) nilijikuta kwenye hatari ya kupata maambukizi ya VVU mara nne baada ya kufanya ngono zembe au kupata ajali ya kinga kupasuka etc. Kila baada ya kupata ajali nilikua nakimbilia dawa za PEP, sasa mara ya mwisho kuna mhudumu aliniambia dawa za PEP...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.