Mkuranga is one of the six districts of Pwani Region in Tanzania. It is bordered to the north by Dar es Salaam, to the east by the Indian Ocean, to the south by Rufiji District, and to the west by Kisarawe District.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of Mkuranga District was 187,428. [1]
.
Wanachama wa CUF 290 katika Kata ya Mwandege Mkuranga wakiongozwa na aliyekuwa Katibu wa Kata Hassan Mnamba na aliyekuwa Diwani wa Viti Maalum Salma Rashid wamekihama Chama hicho na kujiunga na ACT Wazalendo na kupokelewa na Makamu Mwenyekiti Dorothy Semu
Wana JF,
Nahitaji kuanzisha ujasiriamali wa kutengeneza vyombo vya dongo,
Anayefahamu supplier wa marighafi kama kaolini clay au ball clay anisaidie ikiwa kuna anaehitaji kushirikiana au wazo chochote nitakushukuru
Wana JF,
Naomba kuuliza shughuli zinazofanywa kwenye wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani. Ni miji ipi ipo kwenye hiyo wilaya, utamaduni wa watu wa huko ni upi na ni watu wa kabila gani wanapatikana katika wilaya hiyo.
Nataka niende huko nikafanye maisha naombeni msaada kwa wenye taarifa kuihusu...
Mkuranga is one of the six districts of Pwani Region in Tanzania. It is bordered to the north by Dar es Salaam, to the east by the Indian Ocean, to the south by Rufiji District, and to the west by Kisarawe District.The district is the historical homeland of the Ndengereko and Zaramo people...
Amani na upendo kwenu nyote!
Kwanza nikiri wazi Mimi nimefanyakazi ktk kiwanda hiki katika vitengo mbalimbali jikoni, nondo na skrepa toka 2018 Hadi 2021 oktoba nikaacha kazi, jamaa na rafiki zangu wanaendelea kutaabika na kupata mateso mpaka sasa.
Katika kiwanda hiki Kuna MATESO NA...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mkuranga amewakamata na kuwaweka ndani wakuu wa shule 3 za sekondari kwa kuchelewa kuanza ujenzi wa vyumba vya madarasa. Wamewekwa ndani kuanzia tarehe 8/11/2021.
====
UPDATES:
====
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Bi.Khadija N. Ali, amekanusha taarifa hii...
Mkuranga kuna nini pale, maana hadi leo Jumatatu watumishi wa umma hawajalipwa, lakini nasikia maeneo mengine Tanzania watu walishalipwa na sasa wanakula jasho lao tu.
Mkuranga kuna nini pale?
DED nakushauri usisubiri kubanwa na haja ndogo ndo uamke. Amka hata bila kubanwa na haja ndogo. Ili Wilaya yako iweze fanya vyema.
Huu ni ushauri tu. Unaweza chukua au kataa. Sitokulaumu.
Habari Wanabodi kuna ajali ya gari imetokea usiku wa kuamkia leo barabara kuu ya Kilwa eneo la Mkuranga kijiji cha Dundani ambapo semi la Dangote limegongana uso kwa uso na gari la Tanesco Mkuranga na kusababisha vifo kwa watu 4 sikufanikiwa kupata picha but poleni wafiwa na update zaidi atujulishe.
"Katika mazishi Wazee Chato walimuomba Rais Samia mkoa wakidai ni ahadi ya mtangulizi wake.kwa hekima akasema ataangalia vigezo.Kama Mbunge Mstaafu jirani Muleba Kusini najua vigezo havipo.Wazo halitekelezeki. Wazee jirani na sisi naamini tutapewa nafasi kushauri"Anna Tibaijuka
---
Anaandika...
Mzee Mwinyi anasema baba yake aliyeishi Mkuranga alimpeleka Zanzibar ili akajifunze Dini ya Kiislamu na aweze kuja kuwa Sheikh maarufu.
Mzee Mwinyi anasema akiwa Zanzibar alipata mafunzo ya Quran kutoka kwa mashehe mbalimbali maarufu na kuwa mwanazuoni wa dini ya Kiislamu.
Mzee Mwinyi anasema...
Nimeshangazwa sana na uamuzi wa kumzawadia mzee Ally Mwinyi gari aina ya Mercedes lenye thamani ya mil 450.
Kwani kwa umri wake huyu mzee anahitaji gari kama hilo la nini? Kama magari aliyashayatumia sana tena ya kila namna.
Kwanini ili kuenzi utumishi wake uliotukuka usingejengwa hospitali...
Mkurugenzi mkuu wa Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (Nemc), Dk Samuel Gwamaka amekifunga kiwanda cha nondo cha Fujian Hexingwang kwa sababu hakina mazingira mazuri ya watu kufanya kazi.
Hatua hiyo imetokana na vifo vya wafanyakazi wawili wa kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya Mkuranga...
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Filbeto Sanga, amewataka walimu kutowatoza michango ya aina yoyote wanafunzi ambao wanaoanza shule.
Sanga aliyasema hayo jana katika kikao maalumu cha Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga, kilichoitishwa kubadilisha matumizi ya fedha ili ziende kutumika...
19 Oktoba 2020
Mkuranga, Pwani
Tanzania
MITUMBWI YATUMIKA KUVUSHA WANACHI MKURANGA
Wakazi wa kata ya Tambani wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani, Tanzania wanalazimika kutumia mitumbwi kutoka eneo moja kwenda jingine baada ya daraja la Kifolongo kukatika.
Daraja hilo lilikatika Aprili, 2020...
Shamba hili lipo maeneo ya Mkuranga kikungo sehemu panaitwa Kibululu karibu na Kibululu Primary School (Kikungo ni kituo cha mbele baada ya kiparang'anda).
Lina heka 4 zinapelea kidogo.
Kuna miembe, michungwa, migomba midogo, miti ya nazi, korosho, limao, stafeli, mipapai midogo, n.k.
Shamba...
Ni Viwanja 'pacha' kwa Matumizi za Shughuli za makazi.
Vinauzwa vyote kwa pamoja au kimojakimoja.
Eneo: MBWENI-Maputo,
Maarufu kama Kwamasista.
Ukubwa:
Kimoja ni SQM 1227,
Kingine ni SQM 1234.
Jumla Viwanja vyote vina eneo la ukubwa wa SQM.2451.
Umiliki ni HATI MILIKI ya Wizara ya...
Waziri mkuu mh Majaliwa amefanya ziara ya kushtukiza katika moja ya shule za wilaya ya mkuranga na kukuta wanafunzi wa msingi na sekondari wamekaa chini.
Mh Majaliwa ameshangazwa na hali hiyo na kutu muda wa wiki mbili madawati yapatikane na watoto wote wakae.
Majaliwa amesema wilaya hiyo ina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.