Mkuranga is one of the six districts of Pwani Region in Tanzania. It is bordered to the north by Dar es Salaam, to the east by the Indian Ocean, to the south by Rufiji District, and to the west by Kisarawe District.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of Mkuranga District was 187,428. [1]
Habari, nauza shamba heka 10 na heka 4 zipo kijiji cha pili kutoka kimanzichana kilometer moja kutoka barabara ya kilwa.
Shamba la heka 10 ni shamba Pori linafaa kwa kilimo na ufugaji, matumizi ya baadae litafaa kukata Viwanja maana barabara ya kilwa ikipanuliwa yenyewe itakuwa kiwanja cha...
Kuna tetesi kuwa kuna ajali imetokea huko mkoani Pwani wilaya ya Mkuranga, Gari ya kampuni ya Dangote imegongana uso kwa uso na gari aina ya Costa.
Sent from my itel S32 using Tapatalk
=====
Watu 18 wamefariki na wengine 15 kujeruhiwa baada ya magari mawili kugongana katika kijiji cha...
Wadau ninauza eneo la shamba lenye ukubwa wa ekari 3 lina mimea ya mikorosho na minazi; limepitiwa na bonde linalotiririsha maji hivyo laweza kutumika kwa kilimo cha umwagiliaji na ufugaji. Eneo hilo lipo kitongoji cha Ngarambe Pemba, kijiji cha Magoza, kata ya Kiparang'anda, wastani ni umbali...
Habari za majukumu wapendwa wana JF
Nina Hekari 10 nazikodisha, eneo la Mkoa wa pwani, karibu na Kibiti, eneo ni zuri kwa kufanya shughuli za kilimo kwani rutuba yake ni nzuri kwa kustawisha mazao ya aina mbalimbali. Kila hekari nakodisha kwa Shilingi 50,000 tu. Sote tunatambua kuwa kilimo ndio...
Wakuu, Habari zilitufikia hivi punde ni kwamba aliyekua mkuu wa Kitengo cha EU, Wizara ya Fedha Leopord Lwajabe Amekutwa Amefariki huko Mkuranga.
Lwajabe alitekwa na watu wasiojulikana Akiwa ofisini kwake baada ya kupigiwa simu Stoke nje ya Ofisi, Walimshikilia kwa siku 3 kisha kumutelekeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.