Stone Town of Zanzibar (Arabic: مدينة زنجبار الحجرية), also known as Mji Mkongwe (Swahili for "old town"), is the old part of Zanzibar City, the main city of Zanzibar, in Tanzania. The newer portion of the city is known as Ng'ambo, Swahili for 'the other side'. Stone Town is located on the western coast of Unguja, the main island of the Zanzibar Archipelago. Former capital of the Zanzibar Sultanate, and flourishing centre of the spice trade as well as the slave trade in the 19th century, it retained its importance as the main city of Zanzibar during the period of the British protectorate. When Tanganyika and Zanzibar joined each other to form the United Republic of Tanzania, Zanzibar kept a semi-autonomous status, with Stone Town as its local government seat.
Stone Town is a city of prominent historical and artistic importance in East Africa. Its architecture, mostly dating back to the 19th century, reflects the diverse influences underlying the Swahili culture, giving a unique mixture of Arab, Persian, Indian and European elements. For this reason, the town was designated as a UNESCO World Heritage Site in 2000.Due to its heritage, Stone Town is also a major visitor attraction in Tanzania, and a large part of its economy depends on tourism-related activities.
Serikali imeipandisha hadhi mamlaka ya mji mdogo utete(Rufiji) kua halmashauri ya mji huku ikiwa na idadi ndogo sana ya watu(6600) Kwa mujibu wa sensa ya 2022 ,lakini moja ya kigezo kikubwa ni watu angalau 30,000 wanaoishi eneo la mji ,but miji yenye hadhi na idadi kubwa ya watu haipewi hadhi...
Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema Serikali imefanya utafiti wa kina nchi nzima kuhusu saratani na imebaini kuwa upande wa Kanda ya Ziwa saratani zinazoongoza ni ya Kibofu cha Mkojo, Mji wa Uzazi Kina mama, Damu, macho na figo.
Ameeleza kuwa visababishi...
Naishi mjini, lakini hapa nilipo kuna kitongoji hakina kabisa library ya kuingiza movie katika flash, dogo yupo mkoani vip nikimwita akapige kazi hiyo nitanufaika?
Usafiri wa kwenda na kurudi sababu haiwezi lala kule kukwepa garama za kukodisha chumba.
Usafiri upo daladala 2500 ila kuna...
Mitandao hii inaweza kukufanya ukawa star kwa mambo ambayo hukutarajia au ulifanya makusudi ila iikaenda ndivyo sivyo, nafikir ameamua kujificha kuiepuka aibu
Kanda ya nyanda za juu kusini ni kubwa sana kieneo inajumuisha mikoa ya Mbeya ,iringa, njombe, ruvuma ,songwe , rukwa na katavi kijiografia hii Kanda ingegawanywa mara mbili kutokana na umbali wa mikoa mingine kuifikia Mbeya ambapo ndo makao makuu ya hii Kanda wanaweza wakamega Kanda Kama...
Amani itawale.
Watu wa taifa la Thamud walipata kuishi katika nchi/mji uliofahamika kama Al-Hijr kaskazini magharibi mwa taifa la Saudi Arabia hivi leo.
Ni watu waliokuwa na nguvu sana na utimaku wa viwiliwili ,walikuwa na maarifa mengi ya ujenzi kiasi kwamba majumba yao waliyajenga kwa...
Hallo. Kama title inavyojipambanua. Kati ya miji midogo inayokuwa ndani ya Halmashauri ya Mji wa Moshi, ni pamoja na Mji wa Himo ambao uko karibu na Mpaka maarufu wa Kenya na Tanzania(Holili).
Mji huu umekuwa na viashiria vingi kuonyesha kuwa unakua kutokana na shughuli mbali mbali za kiuchumi...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa za hivi punde za motomoto zinasema IDF wamefanya shambulizi kali la anga huko Syria
Mlengwa hajajulikana bado ila naahidi kuwa nitawajuza nani kaliwa kichwa
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Mungu ibariki nyumba ya Yakobo
The Syrian National News Agency...
Katika mji wa Moshi, kumekuwa na hali inayotia wasiwasi kutokana na kuingia kwa malori mazito yenye uzito wa zaidi ya tani 10 hadi 40 katikati ya manispaa.
Hali hii imesababisha uharibifu mkubwa wa barabara na miundo mbinu ya maji taka, ambapo mji umejaa mashimo na hali mbaya ya miundombinu...
Serikali imejenga masoko rasmi ya kuuza mboga na vitafunwa vingine.Kupitia mzunguko huo nayo serikali inapata mapato kwa kukusanya ushuru.Lakini kwanini hawa wauza mbogamboga wamehama sokoni na kuja kando ya barabara huku serikali ikitazama masoko rasmi yakiwa yanakufa taratibu.?Serikali...
Februari 25, 2025 Mwanachama wa JamiiForums.com alidai Mji wa Nachingwea una changamoto ya huduma ya maji kwa zaidi ya miezi minne, hali ambayo imekuwa kero kwa Wananchi wengi, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Masasi – Nachingwea (MANAWASA) imetoa ufafanuzi:
Kusoma alichoandika...
Hatimaye hadi mamlaka za Serikali hasa wizara ya mambo ya ndani imenyoosha mikono, imeweka bayana kuwa ifakara ndio Baba lao wa tuma kwenye namba hii.
Ifakara iko kijanja zaidi.
Ni hayo tu
Habari zilizopo kwa sasa, ni kwamba baada ya wanajeshi wa Burundi na FARDC kukimbia uwanja wa ndege na kukimbilia mjini Bukavu, yawezekana M23 tayari ilikuwa mjini ikiwachora tu. Tofauti na Goma, M23 imewatangazia maeneo ya wazi wanaohitaji kutoka mjini humo, na kweli wanajeshi wa serikali...
Siku mbili baada ya waasi wa M23 kutangaza kusitisha mapigano dhidi ya vikosi vya serikali ya DRC kwa sababu za kibinadamu, kundi hilo limeuteka Mji wa Nyabibwe, Jimbo la Kivu Kusini.
Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, waasi hao wameudhibiti mji huo uliopo kando ya Ziwa Kivu, takriban...
Droo ya robofainali ya #TotalEnergiesCAFCL & #TotalEnergiesCAFCC
itafanyika katika mji mkuu wa Qatar, Doha, kwa ushirikiano na mshirika wa haki za vyombo vya habari wa CAF, @beINSPORTS_EN siku ya Alhamisi, Februari 20, 2025.
Hatua iko tayari tunapopanga ratiba ya kusisimua ya robo fainali...
Jamani mji wa kahama una lodge na Guests house nyingi Sana...kulikoni ..
Ndo kusema ni mji wa kibiashara Sana kuliko mji wowote Kanda ya Ziwa...
Na madada powa nao hawako nyuma ni wengi wa kutosha ukicheza vibaya umeondoka nao...na hivi Trump anaenda kukomesha mchakato wa Msaada wa ARV kupitia...
Habari wanaJF ukweli huu mji umekithiri kwa uchafu si ajabu kukuta taka zimetupwa sehemu yoyote mtu anapojiskia na hakuna anayekemea.
Kamati ya Mazingira itakuwa wako likizo mpaka warudi mambo yatakua sio mambo je huko kwenu kukoje?
Muonekano wa jiji la Goma huko DRC ni wa kuvutia sana hauwezi linganisha na majiji tuliyonayo hapa Tanzania. Sisi Watanzania tunakwama wapi? Mbona miji yetu haivutii, michafu haina mpangilio...shida yetu ni nini?
Tukumbuke eneo ulipo mji wa Goma unakumbwa na vita mara kwa mara na Serikali ya DRC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.