Naomba kufahamu ni nini nachotakiwa kufanya ili kuweza kupost posts nzuri hapa.
Napenda kujiona kama mhamasishaji wa uongozi bora hasa kwenye ngazi za chini, nikimaanisha uongozi wa jumuia ndogo ndogo, uwakilishi wa nyumba kumi kumi nadhani hii ni kama mabalozi, uongozi wa mitaa, kata au...
Salaam wakuu.
Mada hii ni strictly WANAUME sio WAKAKA
Eti mwenye tattoo mweupe au mweusi, mwenye tatoo, slim fit au XXL, mwenye tattoo wa uswahilini au wa kishua, mwenye tattoo twiga au ndama.
Yaani kikubwa tattoo, na tattoo yenyewe iwe inaanzia kwenye waist kushuka chini.
Nawasilisha...
Naomba nikosolewe au kupongezwa kwa utaratibu nilioelekeza nyumbani kwangu kwamba ni marufuku wife kupokea shukrani za mgeni anaeshukuru kwa chakula.
Hii imekua ikitokea hata kwa wageni ambao wanaishi muda mrefu, kwamba kila anapomaliza kula anamuangalia “mama mwenye nyumba” na kumshukuru kwa...
Ni kabinamu changu ila undugu wa mbali kidogo wa ma bibi na mabibi huko alafu ni kapeace kishenzi kametoka Katavi huko hakajawahi kufika Dar hata siku moja ila kamewahi kwenda Arusha sasa juzi tumekutanishwa home na kwa hizi siku tatu kangependa kakate kiu ya kulifurahia jiji hili la raha na...
28 September 2024
https://m.youtube.com/watch?v=Q_op3a827-s
Rais Samia mgeni rasmi mkutano wa Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC. Hayo yamebainishwa na makamu mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC sheikh Habibu Mbota.
Mkutano huo mkubwa wa kitaifa utahudhuriwa wajumbe zaidi ya 400 wa mikoa...
Kwanza ninafuraha kujiunga nanyi hapa.
Jamiiforms ni mtandao wangu pendwa kwa muda mrefu nilitamani sana kujiunga hatimaye leo nimefanikiwa nipokee wakubwa.
Akizindua maonesho ya biashara ya Miaka 60 ya Muungano, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman amesema wananchi wanatakiwa kuendelea kutambua umuhimu na tija za Muungano, ambapo amewahasa wanaofahamu vyema manufuaa yaliyopo kuendelea kuwaelimisha wengine hususani vijana ili waweze...
Hello everyone my name is Samantha Lewthwaite am thrilled to join JamiiForums today,I was a guest almost 6 years back but I decided to join today after being limited to view thread AKhsante nawapenda sana
BASHUNGWA MGENI RASMI KONGAMANO LA 9 LA WAHANDISI WANAWAKE, 2024.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) leo tarehe 21 Agosti 2024 atafungua Kongamano la tisa (9) la Wahandisi Wanawake nchini linalofanyika Katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar es Salaam (JNICC)...
Diwani wa Kata ya Mbezi, Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani, Rashid Selungwi ameumwagia sifa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIMWATA) kuwa ni wageni wema Kijijini Mwanzega, zilipo nyumba za Wasanii, wanamichezo na Waandishi wa Habari.
Wema wa Shiwata kijini hapo ni kuendeleza maendeleo ya jamii na...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa mujibu wa waziri wa mifugo na uvuvi Mheshimiwa Abdallal Ulega Amesema ya kuwa Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan atakuwa mgeni Rasmi wa mkutano wa uvuvi Barani Afrika.
Ameyasema hayo na kutoa taarifa hiyo...
Habari zenu Ba Ndugu Baada ya Kusoma sana Jamii Forums Bila Kujisajili Hatimaye Nimekuja.
Mimi Mgeni Naombeni Mnipokee.
Nimevutiwa na Nyuzi Nyingiii Humu, Umughaka, Mshana jr , Mtibeli , Controlla , Lucha, Analyse, insiderman na Wengineo Hakika Mmenikosha Sana. Nimeamini Jamii Forums ni kisiwa...
Habarini wakuu
Kesho kutwa jioni kama sio alasiri (16 April 2024) nitakuwa Dodoma mjini nikitokea mkoani Mbeya safari ikianzia wilayani Chunya kiofisi zaidi,kwa wenyeji wa maeneo hayo nitafurahi Sana tukijuana na kupeana ABC baada ya pilikapilika zote na nitakuwepo hapo Jumanne jioni mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.