Katika kutafuta Hela za miradi ya maendeleo nikakutana na mzee wa kumbukumbu... Wana JF wakisema tufanye Utafiti upi ni mfumo mzuri wa Kulea watoto wa Tanzania..
Wasije Kujiraumu ukubwani!? Aka Laana za UKoo
Chokoraa
Kituo cha kulea watoto
Family
Kuna mtoto wa jirani mbali kidogo na nyumbani ila kwakuwa nyumba zetu ziko scattered tunaishi kama majirani.
Mtoto huyu huwa anapenda kuja nyumbani hushinda nyumbani mara nyingi. Kwa siku hutumia masaa 4 mpaka 8 nyumbani kwangu hasa kipindi hichi cha likizo.
Nimewahi kumtimua mara 2 kutokana...
Wakuu .
Ukiachana na kuwa Tanzania Elimu yetu imekaa kimkakati Sana.
Ila bado watoto wetu wanaharibikia mshuleni huko.
Hapa nitatoa hints kadhaa kuhusu hili swala.
Nina ndugu yangu yeye Ana watoto watano wakike wanne na wakiume mmoja.
Watoto wake amekuwa akiwasomesha shule za boarding muda...
watoto wa mjini wanahitaji malezi serious sana vinginevyo ni hasara tupu mbeleni
nakua disappointed sana kuona blunders za uswahililini hasa kwa dar
kwa hawa watoto wakike ni ama wasome waje kua na kazi za maana
au waolewe na wanaume wanajielewe vinginevyo wapo kwenye risk ya kua hasara ...
Uongozi wa kituo maalum cha kulelea watoto cha Bero Kids (Bero Kids Day Care) kilichopo jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja mgeni rasmi na wahitimu wa mahafali ya pili.
Afisa Ustawi wa Jamii wa Manispaa ya Kinondoni Bi. Fatuma Juma akizungumza wakati wa mahafali ya pili ya kituo...
Malezi ni msingi wa ukuaji wa vijana na yana athari kubwa katika utu na maamuzi yao wanapokua. Kila mzazi ana mtindo wake wa malezi, lakini kwa mujibu wa wanasaikolojia kama Diana Baumrind, kuna mitindo mikuu minne ya malezi: Mabavu (Authoritarian), Mwenye Upendo Kupindukia (Permissive), Mwenye...
Jamii Imetakiwa Kuwa na Mashirikiano Katika Kulea Watoto Ili Kuwakuza Katika Maadili Mema.
Ushauri huo umetolewa na katibu wa kamati za maadili kutoka Jumuiya ya Maimamu Zanzibar JUMAZA Abdallah Mnubi Abass wakati akizungumza na wanawake wa kiislamu huko tomondo mshelishelini Wilaya ya magharibi...
Wakati wa likizo ni fursa ya kipekee kwa mzazi au mlezi kujenga uhusiano bora na mtoto. Huu ni muda wa kumfundisha ujuzi muhimu kama vile usafi, kupika, kuogelea, au hata kutembelea maeneo ya kufurahisha.
Mbali na hilo, likizo ni wakati wa kuonesha upendo kwa mtoto wako, kumfundisha kujieleza...
hellow weekend
SIkuizi malezi yamekuwa mabaya sana sana sijui ni uzungu kipindi chetu nilikuwa naenda shule mwenyewe na narudi mwenyewe wakati uho nina miaka 6 na napajua nyumbani na najua majina ya wazazi wangu pia mtu maarufu pale mtaani najua
Sikuizi watoto wanaenda shule wanapelekwa na...
Wakuu,
Katika uzi wangu uliopita niliuliza wazazi wapo kundi gani kwenye malezi ya watoto na digitali, kama wataruhusu watoto kutumia simu kwa kuwapo mwongozo au kuwa wakoloni na kuacha wakikua mpaka chuo ndio watumie simu.
Nilishangazwa na baadhi ya majibu wakisema kwa mtoto wa kiume haina...
Kwa nchi yetu Tanzania vipigo kwa watoto inaonekana ni jambo la kawaida sana, na huku baadhi wakipongeza jambo hilo kwa kuona ndio msingi bora wa malezi kwa watoto unaowafanya kuwa na maadili, hofu, kusikiliza na kutekeleza maagizo ya wazazi aidha kwa kutaka au kutokutaka kwa kuogopa kuadhibiwa...
Wanajukwaa Nakuja Hapa kwa Moyo Mzito Sana Na Umejaa Majonzi Makali Mno Hasa Watoto wa Kike kwa Kizazi Hiki Cha 2000.
Mabinti wengi Karibia 85% waliozaliwa 2000 Wameshaharibika naongea nikiwa na ushahidi Tosha na Asilimia Yote hiyo mabinti wanatumia "LAINI MBILI" au "WANAPIGA MIGUU YOTE" tena...
Habari za muda huu wanajukwaa?
Ipo hivi niliwahi kuwa kwenye mahusiano na mshichana mmoja anayetokea ukanda wa kaskazini, msichana huyo pia alikuwa akisoma chuo kimojawapo huko Arusha.
Sasa kilichokuwa kikinishangaza licha ya tabia yake kuwa njema na mcha Mungu mzuri lakini bado wazazi wake...
Kids tend to lean on their mothers for many things emotionally which give mothers so much power and influence on the kids, kids completely foeget the family is under the leadership and direction of fathers
Kwa maisha ya uhalisia yalivyo bongo baba inabidi awe na msimamo wa hali ya juu mno...
Watanzania, hasa akina baba, tunao wajibu wa kuwalea watoto wetu kwa kutowapa kila kitu, hata kama tumejaliwa utajiri wa kutosha.
Tunapaswa kuwafanya watoto wetu wa hustle ili wajue kuwa mali zinapatikana kwa uchungu. Sio kila akiomba hela unampa halafu anaenda kuspend na girlfriend wake...
Mimi kama kijana ninaye jitafuta bado ninaishi na mama yangu mzazi pamoja na mdogo wangu ambaye kwa sasa yupo kidato cha nne, dada yangu wa kwanza ameolewa yupo na familia yake yeye kaniacha miaka 6 ndio nikafuatia na mimi nimemuacha mdogo wangu wa mwisho kwa miaka 10.
Katika swala la maadili...
Wee mzazi utambue kuwa uwezo wa kumudu maisha ni matokeo ya malezi uliyopitia! Kwanini unataka kumuharibu mtoto wako? Au na wewe ujielewi unataka uzo wako ufanane na wewe?
Natumaini wikiend iko poa sana twende kwenye mada kuna jamaa yangu mmoja napiga nae mishe yani ni shida kila jambo ukiongea nae au mkashauliana bas lazima lifike kwa mama yake uzuri mama yake baadhi ya biashara namuuziga kwaiyo ananiambiaga nilichokuja kugundua jamaa makuzi ya kulelewa na single...
Mara ya kwanza nimeenda out na rafik yangu tukaagiza chakula sasa kika kimechelewa na kikaja cha baridi. Rafiki yangu akamuita yule muhudumu akaanza kumfokea hadi watu wa meza nyingine wakaanza kutuangalia sisi.
Ikabidi niingilie kati kumuomba yule kaka arudishe vipashwe moto kwa sauti ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.