China inaendelea kuonesha umuhimu wake duniani hasa katika bara la Afrika baada ya kutangaza kwamba itateua mjumbe maalumu katika pembe ya Afrika, ambayo imekuwa ikikabiliwa ni migogoro kila uchao. Hii pia inaonesha kwamba nchi hii kubwa ya Asia ina wasiwasi na hali ya usalama katika kanda hiyo...
Mara kadhaa nimesoma kuwa wakili walimuomba Jaji awasomee alichoandika. Hivi Mahakama haina stenographers ambao kazi yao ni kuweka kumbukumbu ya kinachoendelea?
Kama hiyo inashindikana, kwa nini wasirekodi kwa kutumia voice au video recorder? Mimi naona kumtegemea Jaji sio sahihi. Yeye...
Katika Huduma za Kiroho mbalimbali ndani na nje ya nchi kumekuwa na shuhuda za hadharani kabisa kuhusiana na matumizi ya bidhaa za upako kama mafuta, maji, vitambaa, bangili, keki nk. Nyingi za shuhuda hizi zimekiri nguvu iliyomo ndani ya bidhaa hizi ikiwemo nguvu ya kufisha baadhi ya...
Nilipokuwa mdogo niliwaza na kufikiri kuwa, swala la kuleta maendeleo (mabadiliko) kwenye jamii ni jukumu la serikali na matajiri pekee. Nilihisi wao pekee ndio wenye nguvu ya kufanya hivyo. Mpaka leo mawazo haya yapo kwa baadhi ya watu ikiwemo vijana. Wengi wetu uhisi kuwa kuna kikundi fulani...
Mkuu wa Mkoa kuagiza Wakuu wa Wilaya wawaondoe wamachinga barabarani ni kuwapa mzigo wasiouweza asilani.
Hawa wamachinga walikwisha pewa jeuri na viongozi wakuu wa taifa na tumeshuhudia waliojaribu kuwaondoa waliondoka wao!
Wewe binafsi uliwahi kuwapa muda wa kuondoka kwenye eneo la ujenzi wa...
Wadau wa Biashara na Uchumi,
Nchi yetu inapitia kwenye hatua za makusudi za kuinua uchumi ulioathiriwa vibaya na corona. Tunatoa wito kwa kila mdau wa sekta yoyote, asimuachie jukumu hili kiongozi wa nchi pekee.
Sisi tumeamua kuangalia upande wa sekta yetu ya usafirishaji. Tumeona namna...
Jeshi la Polisi nchini limejipa jukumu la kuchunguza mauaji yaliyotokea kwenye daraja la selander, ambapo mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Hamza, aliwafyatulia risasi askari watatu na mlinzi mmoja wa kampuni ya SGA na kuwaua wote na askari wengine kadhaa kujeruhiwa na hatimaye yeye mwenyewe...
Asiye kujua hakuthamini, lakini vile vile uchungu wa mwana aujuaye mzazi, hakuna mzazi anayependa kuona mtoto wake anateseka au anaishia kuwa na maisha duni,
kila mzazi anashughuli inayomuingizia kipato cha kulisha familia na kuendesha familia, kwa kuajiliwa au kujiajiri,
Hapa nchini kwetu...
Malamiki ya kodi ya simu yamekuwa mengi utafikiri jukumu la kidi ni la watu fulani tu.
Wakati jumuantifauti za wafanyabiashara zinalia na RA wengine waliuwa wala hawaoni keri hiyo.
Sasa kodi nibkwa kila mzalendo, watu wanalalamika.
Wengine wanapanga biashara barabarani na hawslipi kodi hata...
Kumekuwepo na ongezeko la mauaji ya raia yanayosababishwa na askari wa wanyamapori na wale wanaolinda hifadhi za taifa.
Hii siyo picha nzuri na imewafanya wananchi wanaoishi maeneo hayo kuishi kwa hofu kubwa wengine wakipata ulemavu wa maisha kwa sababu ya ukatili wa askari hawa.
Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.