gari

  1. mr pipa

    Mchepuko Nimeunulia gari aina ya VX8 baada ya kulichoka kasema hakuna nilichomfanyia

    Bora ningemuongezea mama yangu ghorofa nyingine masaki kuliko huyu Mwanamke asie na utu na shukrani
  2. B

    Watanzania wapendekeza Gari la Tundu Lissu lipelekwe Makumbusho ya Taifa, Mwenyewe amshukuru Mungu kuwa hai hadi leo

    Akiongea na wananchi Mkoani Singida nyumbani hapo jana jioni Tundu Lissu ametoa wito kwa Watanzania wengi kuungana na wenzao waliopendekeza Gari lipelekwe Makumbusho ya Taifa. Akiwa anafafanua na kuonyesha namna gari lilivyoharibika kwa Risasi kwenye Mlango mkabara na kiti cha mbele alipokuwa...
  3. L

    Ni Aibu na Fedheha kubwa sana kwa CHADEMA Nzima kushindwa kumpatia Gari la Ofisi Makamu Mwenyekiti wake Mpaka anaamua kutumia la kukodi

    Ndugu zangu Watanzania, Inasikitisha sana,ni aibu kubwa ,inafedhehesha,inaleta maswali mengi sana juu ya umakini na akili za chama hiki cha CHADEMA. Hii ni baada ya kusikika kwa taarifa kuwa Lissu alikuwa hana gari la kutumia katika shughuli za chama, na kwamba gari alilokuwa akitumia lilikuwa...
  4. GENTAMYCINE

    Huyu Dereva wa Gari la Toyota Landcruiser Hardtop Nyeupe lenye Plate Number ya T216 DHH ya Tundu Lissu uthubutu wa Kuitumia kautoa wapi?

    Yaani mwenye Gari kapigwa risasi ambazo zilitaka Kumuua halafu bila hata huruma bado kuna Mtu sijui kwa Jeuri yake au Jeuri anayopewa kaona haitoshi akaamua kabisa kwenda na Kung'oa Plate Number ya Gari la Tundu Lissu ya T216 DHH na kuamua Kuitumia kama yake Dodoma hadi kuwa na Deni ya Kuegesha...
  5. chiembe

    Gari ya Lissu iliyopigwa risasi, isibadilishwe muonekano, ikae ilivyo, ipelekwe katika kila mikutano ya siasa kukumbusha madhila ya Hayati Magufuli

    Watanzania wengi ni matomaso, ukiwasimulia tu hivi hivi, hawaamini. Nashauri gari ya Tundu Lissu isibadilishwe muonekano wake baada ya kupigwa risasi, matundu ya risasi yabaki, gari itengenezwe injini tu na sehemu muhimu, ila sehemu zenye matundu ya risasi zibaki. Hii itafanya watu wakifika...
  6. M

    CHADEMA mnajivua nguo kwa kuanzisha michango ya kumnunulia Lissu gari la kifahari. Hampo kwa ajili ya wananchi

    Hii kampeni ya kuchanga ili kumnunulia gari jipya la kifahari Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ni dhihaka iliyopitiliza kwa mwananchi wa kawaida. Tofauti kati ya wabunge wanaopitisha bajeti za kujinunulia magari ya kifahari na viongozi wa CHADEMA hakuna. Kama viongozi wa CHADEMA nao...
  7. Kiboko ya Jiwe

    Mtumishi wa umma kutokuwa na gari na nyumba nzuri ni ujinga wake binafsi

    Hii ni kwa tathmini yangu Mimi kama nitakuwa siko sawia mnisamehe. Unakosaje kumiliki gari na nyumba huku una miaka zaidi ya 5 kwenye utumishi wa umma? Jitahidi mtumishi mwakani uachane na Daladala kama wanafunzi. Daladala waachie wanafunzi na machinga
  8. miles45

    Hakuna Mwizi wa Gari anaendesha gari kistaarabu

    Ni hivi ndugu zangu nipo kuwakumbusha kuwa hakuna mwizi wa gari akaiba gari na kuliendesha kistaarabu kiasi kwamba hata ukija kulikuta utakuta kama ulivyo liacha. Ni hi atakanyaga mafuta hadi pedo iguse bodi la gari, atalikimbiza na kubadirisha gia bila fomula, atalikwangua pande zote na...
  9. Saad30

    Car4Sale Ford Ranger inauzwa, gari ya 2022

    Ndinga Hilo Gari ipo vizuri sana Gari ya mwaka 2022. PRICE/BEI: 122M EXCHANGE/NAVUNJA NA GARI YOYOTE✅ FORD RANGER STORM TRACK 🛻 Year:2022 Engine Capacity:2.0cc Engine: DIESEL TURBO Kilometer: 37055km fuel range :988km full Torque maximum500 Nm Power maximum (detail)157 kW Standard...
  10. Tryagain

    Inadaiwa hasira za Lissu zinatokana na kunyimwa gari na Rais Samia

    Mwanafalsafa, mchumi na mwanasiasa wa India ya kale, Chanakya aliwahi kusema, “There is some self-interest behind every friendship. There is no friendship without self-interests. This is a bitter truth.” Kwa lugha yetu adhimu ya Kiswahili tunaweza itafsiri kama “Hakuna urafiki bila maslahi...
  11. Mkalukungone mwamba

    Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo?

    Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo? Tupia maoni yako hapo?
  12. masai dada

    Ushuhuda, kuagiza gari na befoward

    Nisipoongea nitakua sitendi haki maana niliahidi likifika langu katika hali yoyote. Nitakuja kutoa ushuhuda Siku mbili tu tangu nilipie gari yangu nilikutana na ule uzi wa aliyeagiza alphard mpaka sasa ni milioni 24 na gari haitembei maana ilikuja mbovuu haifai. Mpaka matengenezo gari imekula...
  13. Uzalendo wa Kitanzania

    Rais Samia ndani ya ya Gari lililounganishwa Kiwanda kipya cha Kuunganisha Malori kigamboni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ndani ya mojawapo ya Gari lililounganishwa katika Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024.
  14. dracular

    Gari yangu imeingia maji

    Habari za majukumu wakuu? Gari yangu aina ya Toyota RAV 4 miss TZ jana ilinasa kwenye dimbwi la maji kwenye kina kirefu kidogo ikabidi mpaka tuite watu yale magari ya breakdown waje waitoe baada ya juhudi zetu kugonga mwamba. Sasa wakuu kwanza gari baadae ikagoma kuwaka kabisa tukachaji betri...
  15. M

    Kumiliki gari ukiwa Tanzania sio jambo la mchezo... yataka moyo.

    Wakuu nimetafakari sana nimegundua kumiliki gari ukiwa TZ sio jambo dogo tofauti na nchi jirani. Gari linachukua pesa zako nyingi sana kwa mara moja. Kwa mfano ukiagiza gari ulilolipia labda Tsh 10m itakulazimu uandae kiasi kama hicho ndani ya siku 45 ulipie kodi na gharama zingine za kuingiza...
  16. Teko Modise

    Inakuaje gari ni mpya ila namba ni ya zamani

    Wakuu na wataalam hawa haya maswala, inakuaje gari ni mpya toleo la karibuni lakini namba ya usajili unakuta ni ya mwaka 2001 huko. Naombeni mnijuze
  17. mackj

    SoC04 Uwepo wa mpango wa huduma ya gari kwa kila kaya kwa msamaha wa kodi

    UTANGULIZI Inaweza kutafsiriwa kama umaridadi kuwa na gari kila kaya, lakini ndivyo ukweli ulivyo kuwa gari kila kaya ni mwarobaino wa vifo vinavyotokana na umbali wa vituo vya afya kwa baadhi ya maeneo na ukosefu wa usafiri wa uhakika pamoja na miundo mbinu duni hasa kwa mama na mtoto pamoja na...
  18. Mgosi Mbena

    Tubadilishane gari na Nyumba? Nipo Mwanza

    Wakuu, Nyumba thamani yake ni milion 12, vyumba vitatu na kimoja cha nje. Imefanyiwa wiring bado umeme lakini vyote umeme na maji vyote vipo jiran tu nyumba ya pili ni kuvuta tu. Gari nalotaka lenye thamani ya milion 8. Lisiwe bovu. Mahali mwanza Jiji
  19. Mad Max

    Gari tatu (3) za Toyota ambazo Design yake ilikua from Future

    Wakuu, naamini wengi Gari inakuvutia kwanza muonekano, then ndio unaanza kufuatilia kujua engine, fuel consumption, spare etc hadi unaamua kuinunua. Sasa kuna gari apa naona kabisa zilikua designed na aliens. Yaani sio za generation hii kabisa. 1. Toyota Will VI Hili gari nikiliona uwa...
  20. Samatime Magari

    📍Tarehe 21/2/2024 Pr Tony Kapola Kwa IG yake Alipost Picha anafungua Buti La gari [Ineos Granadier] Bonge moja la machine twenda pamoja upate kuijua

    Ile gari baada ya kuwaposted ika draw tension ya wapiga kura Maana ilikua chuma ya kitofauti sana. na as Samatime Magari tukaona sio vyema tukawaacha wapiga kura hivi hivi na kiu ya kuijua so ikabidi tuimulike vizuri.. . Hapa MA paratrooper wazee wa kombat huwa wanasema Machine ya Pr...
Back
Top Bottom