gari

  1. E

    Niagize gari Afrika Kusini Vs Japan?

    Wakuu nahitaji 2011 Nissan Xtrail ukubwa wa Engine uwe kati ya 2 mpaka 2.5 cc. Niagize wapi Kati ya Japan na Afrika Kusini?
  2. H

    Gari kujishusha silencer

    Samahani usafiri aina ya spacio new model ikitembea umbali kdg ukiacha kukanyaga mafuta inaanza kutetemeka na kutaka kuzima mpaka ukanyagie resi kdg tatizo itakua nn wakuu
  3. M

    Bank imeuza dhamana(gari) bila kumpa taarifa mmiliki

    Ndugu wanasheria, rafiki yangu anaomba msaada wa kisheria ili apate haki yake. Alichukua mkopo bank na kuweka gari yake kama dhamana, ila kwa bahati mbaya akachelewesha marejesho mpaka dhamana yake ikakamatwa na madalali. Hiyo gari yake imeuzwa bila yeye kupewa taarifa ya mnada, anakuja...
  4. K

    Ipi gari bora kati ya Carina Ti au Premio old model?

    Wapendwa nahitaji kununua gari kati ya Carina Ti na Premio old model ipi ni bora?
  5. kajamaa kadogo

    Msomi wa degree mbili kagongwa na gari hii inawezekanaje ?

    Huu uzito wa ukoloni sijuhi ulikuwa ni mzito kiasi gani mpaka kufanya mswahili kuchukua kabisa lugha yake nzuri ya kiswahili. MADA Jana nilipokea taarifa za kusikitisha sana ambazo zilinipa sonona taarifa ambazo ni mbaya, msomi tena wa degree mbili amegongwa na gari na kufariki papo hapo...
  6. Grand Canyon

    Kabla ya kununua gari, hakikisha unajua bei za spea za gari unalotaka kununua

    Majuzi gari langu lilipata shida. Nilianza kupita maduka ya spea kutafuta spea za gari. Nilishangaa kuona taa tu ya baadhi ya magari zianauzwa hadi milioni 1.5. Tena si magari ya bei mbaya kwamba ikiwa alinunua gari milioni 100 hashindwi taa ya 1.5 m. Baadhi ya magari ni ya bei ya kawaida 15-30...
  7. Mad Max

    Baadhi ya Features za kuzingatia utakavyopanga kununua gari lako lijalo

    Wakuu kwema. Najua kwa namna moja au nyingine, kuna Mjapan uko anazinguka na gari lako bila yeye kujua. Siku zake zinahesabika. Sasa, gari siku hizi halijawa "kifaa" cha kukutoa point A kwenda B hafu basi. Hapana. Izo zilikua enzi za Land Rover 109 sio sahivi. Gari imekua zaidi ya chombo cha...
  8. S

    Kifo cha Sokoine: Watoto wake wataka mwili uchunguzwe kubaini kama alikufa kwa ajali au la!

    Picha: Gari lililosababisha kifo cha Hayati Sokoine Katika hali ya kushangaza, watoto na baadhi ya ndugu wa aliekuwa waziri mkuu wa Tanzania, Hayati Sokoine, wanataka uchunguzi ufanyike wa mwili wa marehemu ili kubaini kama ni kweli kifo chake kilitokana na ajali au laa. Uamuzu huo ulofikiwa...
  9. MINING GEOLOGY IT

    kwa nini graphite inaweza kulinganishwa na dhahabu katika muktadha wa "vita vya teknolojia":

    Graphite ni aina ya madini inayopatikana katika asili, ambayo ni fomu ya kaboni. Madini haya yamejulikana kwa muda mrefu na hutumiwa katika matumizi mbalimbali kutokana na sifa zake za pekee. Graphite mfumo wake: hapa kuna baadhi ya mambo muhimu kuhusu madini ya graphite: Muundo wa...
  10. mzansi01

    Nahitaji gari za harusi

    Nahitaji kukodi gari za harusi v8 au range na alphad. Anayetoa huduma hiyo naomba gharama whatsapp kwa namba hi 0759666581 Nipo Dar es salaam
  11. Jaji Mfawidhi

    Je, trafiki chanzo cha ajali? Busta zipigwe marufuku? Elfu 3 kila Daladala zinafanya gari kuwa zima? IGP, Ramadhani Ng'anzi anajua?

    Hii ajali imetokea tarehe 11-4-2024 Leo maeneo ya Kintinku wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida, Hilo Lori lilisimamishwa na trafick sehemu hatari isiyo ya ukaguzi kukiwa na utelezi na ukungu kwa ajili ya ukaguzi usio rasmi, hiyo coaster ikaja kuvaa Lori kwa nyuma na kuna taarifa za kifo,Poleni...
  12. Mjanja M1

    Gari yako ya kwanza ulinunua ukiwa na umri gani?

    Najua humu sio kila mtu anagombania Daladala/Mwendokasi, niambie usafiri wako wa kwanza ulinunua ukiwa na umri wa miaka mingapi..? Mimi 25 niliagiza Mkoko toka Japan. Funguka Mkuu..!
  13. GENTAMYCINE

    Naomba kujua tofauti ya mtu asiye na gari na mwenye gari lakini kila siku analipeleka gereji kutengenezwa

    Hapa kIpaumbele changu Kikubwa ni kusoma tu Comments zenu Matajiri, Wasomi na Masikini Wenzangu hapa JF sawa?
  14. Mkalukungone mwamba

    Gari lazama baharini Zanzibar

    Gari lazama baharini Zanzibar Gari aina Mitsubish canter imedondoka baharini katika bandari ya Malindi Zanzibar katika harakati za upakuaji wa mizigo kikosi cha zima moto na uokozi pamoja na Jeshi la Polisi linaendelea zoezi la uokoaji
  15. Supu ya kokoto

    Matengenezo ya gari

    Wakuu habari. Hitaji langu kubwa ni kumiliki gari aina ya Land Rover Defender 110. So kuna mdau kanambia nimtafute MTU aliyonayo hata kama ni skrepa aniuzie ili niifufue. Vipi gharama ya engine na gear box pamoja na essentials zingine zote zinaweza kuwa TSH ngapi? Nahitaji gari la shamba na...
  16. M

    Mwenye utaalam na Uzoefu na gari aina ya Honda Vezel

    Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu ningependa mtu mwenye uzoefu na Hilo gari kushea na sisi humu ndani
  17. Papaa Mobimba

    Minjingu: Gari yenye namba bandia za serikali yakamatwa ikiwa na wahamiaji haramu

    Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara ACP Lukas Mwakatundu amesema kuwa Jana tarehe 7 katika kizuizi cha Minjingu kuna gari lilitupita pale likagoma kusimama likagonga kizuizi ndipo Polisi wakapata wasiwasi kwamba kwanini amegoma kusimama, tukaanza kumfuatulia mpaka eneo la Kiongozi...
  18. B

    Hawa wezi wauawe tu aisee, nimeibiwa milioni 10 kwenye gari langu(nissan juke)

    Ama kweli hawa wezi wanapaswa kuuawa aisee sio.poa yaani hawa washenzi wanarudishana nyuma kabisa yaani milioni 10 imeenda hivi hivi pale stendi ya mabasi Mbezi kwa Magufuli yaani hapa kichwa kinauma sio poa kabisa wazee, huyu mjknga huyu daa! Pesa ni za wife za mauzo ya leo dukani kwake pale...
  19. F

    Naomba msaada wa dawa ya panya wanaojificha kwenye gari

    Wakuu samahani kuna panya mdogo anakaa kwenye gari yangu, nikiwa nimekaa muda mrefu nimepaki nasikia akitafuna vitu nikijaribu kuangalia ananyamaza. Nikiamka asubui nakuta vikapande pande vya karatasi vilivyo tafunwa na panya kwenye buti na ata kwenye engine. Naogopa asije akatafuna nyaya...
Back
Top Bottom