Search results

  1. bizzle for shizzle

    INAUZWA Kiwanja chenye nyumba kinauzwa Bahari Beach

    Kiwanja Chenye nyumba kinauzwa kipo bahari beach jijini dar es salaam wilaya ya kinondoni kiwanja kina ukubwa wa sqm 800 Eneo limepimwa Ila Bado hati nyumba ni ya kuvunja Kisha unaweza jenga apartment Za biashara ama Nyumba ya kuishi kiwanja kipo meter 400 kutoka barabara ya lami KINAUZWA kwa...
  2. bizzle for shizzle

    House4Sale Nyumba inauzwa Mapinga Shule

    Nyumba ya kisasa inauzwa ipo MAPINGA SHULE nyumba ya kisasa YENYE idadi ya vyumba vitatu master ipo moja lakini pia kuna NYUMBA za wapangaji kwa Nyuma YANI boy kotta zenye chumba sebule x 2 pia kuna ya chumba Kimoja Chenye choo nyumba inatazama BARABARA ya mtaa Ina Uwanja wa sqmt 850 Ina hati...
  3. bizzle for shizzle

    KIWANJA KINAUZWA BAHARI BEACH

    kiwanja Chenye Nyumba kinauzwa Kipo bahari beach jijini dar es salaam Kina ukubwa wa sqm 2220 kina Hati miliki safi kabisa kutoka wizara ya Ardhi Kiwanja kina KIBANDA cha kuanzia maisha pia kimezungushiwa ukuta Pamoja na gei Kipo umbali wa meter 600 kutoka BARABARA ya lami KINAUZWA TSH 400...
  4. bizzle for shizzle

    kiwanja kinauzwa Mbweni malindi estate

    Kiwanja kinauzwa Kipo mbweni malindi , jijini dar es salaam WILAYA ya Kinondoni BARABARA ya bagamoyo road kina UKUBWA wa sqm 1495 ni corner plot na kina Hati miliki safi kutoka wizara ya Ardhi kina uzwa TSH MIL 180 mazungumzo yapo kwa muhitaji KARIBUNI sana Mawasiliano 0712464777 whatsap & call...
  5. bizzle for shizzle

    House4Rent Furnished house for rent, Bahari Beach

    ๐–ฒ๐–ณ๐– ๐–ญ๐–ฃ ๐– ๐–ซ๐–ฎ๐–ญ๐–ค ๐–ฅ๐–ด๐–ฑ๐–ญ๐–จ๐–ฒ๐–ง๐–ค๐–ฃ ๐–ฅ๐–ฎ๐–ฑ ๐–ฑ๐–ค๐–ญ๐–ณ ๐–จ๐–ช๐–ฎ ~ ๐–ฃ๐– ๐–ฑ ๐–ค๐–ฒ ๐–ฒ๐– ๐–ซ๐– ๐– ๐–ฌ๐–ณ๐—“ ๐–ฌ๐– ๐–ง๐– ๐–ฑ๐–จ ~ ๐–ก๐– ๐–ง๐– ๐–ฑ๐–จ ๐–ก๐–ค๐– ๐–ข๐–ง _____ KODI ~ ๐–ด๐–ฒ๐–ฃ ๐Ÿฃ๐Ÿง๐Ÿข๐Ÿข ๐–ฏ๐–ค๐–ฑ ๐–ฌ๐–ฎ๐–ญ๐–ณ๐–ง ____ ๐–ญ๐–ธ๐–ด๐–ฌ๐–ก๐–  ๐–ธ๐–  ๐–ฅ๐– ๐–ฌ๐–จ๐–ซ๐–จ๐–  ๐–ธ๐–ค๐–ญ๐–ธ๐–ค ____ ๐–ต๐—’๐—Ž๐—†๐–ป๐–บ ๐–ต๐—‡๐—‡๐–พ ๐—๐—‚๐—„๐—Ž๐–ป๐—๐–บ ๐—๐—’๐–บ ๐—„๐—Ž๐—…๐–บ๐—…๐–บ ๐–ฒ๐–พ๐–ป๐—Ž๐—…๐–พ ๐—„๐—Ž๐–ป๐—๐–บ ๐—‡๐–บ ๐–ฝ๐—‚๐—‡๐—‡๐—‚๐—‡๐—€ ๐–ฉ๐—‚๐—„๐—ˆ ๐—…๐–พ๐—‡๐—’๐–พ ๐—†๐–บ๐—„๐–บ๐–ป๐–บ๐—๐—‚ ๏ผŒ๐—๐–พ๐–บ๐—๐–พ๐—‹ ๐—’๐–บ ๐—„๐—Ž๐–ผ๐—๐–พ๐—†๐—Œ๐—๐—‚๐–บ ๐—†๐–บ๐—ƒ๐—‚ ๐—†๐—ˆ๐—๐—๐—ˆ ๐– ๐—‚๐—‹ ๐–ผo๐—‡๐–ฝ๐—‚๐—๐—‚๐—ˆ๐—‡, feni Garden nzuri ya ๐—„๐—Ž๐—๐—Ž๐—๐—‚๐–บ...
  6. bizzle for shizzle

    SIMBA WAMETUABISHA SANA

    Simba ni kama WAKURYA wababe wakiwa TARIME wakija dar wanauza mayai. Ile ni aibu KUBWA haijawahi kutokea kwa kilichofanyika sinto kaa kuwasamehe hawa watu bora niwe shabiki hata Wa netboll.... Sent using Jamii Forums mobile app
  7. bizzle for shizzle

    Nahitaji namba ya huduma ya Sony

    wakuu habarini za muda huu naombeni kwa anayejua namba za mawakala Wa SONY SERVICE CENTER ninashida nao ambao wapo hapa dare salaam TV yangu imezingua imezima ghafla naogopa kupeleka TV yangu kwa mafundi Wa uchochoroni nataka niwatumie Sony wenyewe coz wapo smart zaidi kama TV zao au naomba hata...
  8. bizzle for shizzle

    Mama akamatwa kwa wizi

    Asalaam aleykum kwa ndugu zangu waislam.......bwana yesu asifiwe kwa ndugu zangu wakristo wale wengine kwemaaaaa ? bila shaka itifaki imezingatiwa . ndugu zangu napenda kuwambia tukio lililotokea Mbezi beach Siku ya Jana mama mmoja asiye na haibu hata chembe akitekeleza ile kauli ya hapa kazi tu...
  9. bizzle for shizzle

    Dar: Magari 8 yateketea kwa moto katika kituo cha mafuta cha OIl COM kilichopo Boko magengeni

    Moto uliozuka usiku WA kuamkia Leo alfajiri mida ya SAA 8 usiku umeteketeza Magari 8 katika kituo cha mafuta cha OIl COM kilichopo Boko magengeni Barabara ya ( bagamoyo road ) Chanzo cha moto huo ni NISSANI CIVILIAN inayofanya shughuri za kubeba abiria maarufu kama daladala kupata hitilafu ya...
  10. bizzle for shizzle

    Uwanja unauzwa boko/ bagamoyo road

    Eneo lenye ukubwa wa heka 3 linalo angalia barabara ya rami ya bagamoyo lipo boko barabara ya bagamoyo linauzwa lina hati iliyokamilika unaweza jenga kitu chochote hata kituo cha mafuta. call this no for more details +255712464777 Eneo lingine lipo maeneo hayo hayo lipo meter 600 toka...
  11. bizzle for shizzle

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Mbweni-Dar

    Kipo kiwanja mbweni jkt block 5 kina sqm 1020. bei 80milion kina hat Kipo kiwanja mbweni malindi block c sqm 1100. Bei 80milion kina hat Kipo kiwanja mbweni mpiji sqm 912 bei milion 55 kina hati Kipo kingine mbweni mpiji block 13 sqm 1090 kina hat bei 50 milion Kipo kingine mbweni...
  12. bizzle for shizzle

    House4Sale Nyumba inauzwa/boko mianzini

    Nyumba ipo boko/ mianzini dare salaam Plot size sqm 1000 Haina title deed Ina vyumba vitatu vya kulala ikiwemo master moja Ina jiko Sebure Na sehemu ya kulia chakula Pia ina tailiz ndani Ipo ndani ya fensi Maji na umeme ndio mahara pake Ipo umbali wa meter 600 kutoka barabara kuu ya...
  13. bizzle for shizzle

    Kama ni wewe ungefanyaje?

    Du.......! Yani ulikuwa ukituma pesa kijijini ili ujengewe nyumba na umekuwa ukituma pesa kwa miaka kumi mfululizo na ukipiga simu unaambiwa sahizi mafundi wana paua siku unaamua kwenda kuangalia mjengo wako unakutana na hali hiii..... Hivi kama ni wewe ungefanya nini...
  14. bizzle for shizzle

    Mwanamke apigwa na glass usoni baada ya kuongea kiswahili Marekani

    Mwanamke mmoja raia wa Marekani mwenye asili ya Afrika amemsamehe mtu aliempiga na bilauri (glass) ya kunywe bia usoni baada ya kumsikia akongea kiswahili. Asma Mohhamed Jama aliekua pamoja na familia yake wakipata chakula cha usiku mgahawani mnamo Oktoba 30,2015 nchini Marekani alisikika...
  15. bizzle for shizzle

    Eneo linauzwa

    Eneo lenye ukubwa wa hekali 8 linauzwa lipo mbweni marindi linatazama barabara ya rami ya kwenda mbweni eneo linahati limepimwa. Contact 0712464777
  16. bizzle for shizzle

    SOMA HAPA

    Kama wewe ni mwanaume na ulipohitimu high school ulivaa joho na bado mpaka sasa upo nyumbani basi ni dhahili kabisa ulikuwa umevaa dela bila kujitambua
  17. bizzle for shizzle

    Baba mkwe

    jamaa baada ya kukopy namba ya baba mwenye nyumba kakopy namba ya baba mkwe katuma laki mbili na baba mkwe kashajibu asante mkwe wangu.... Baba mwenye nyumba bado anadai pesa yake na jamaa hana kitu vipi ungekuwa wewe ungedai pesa irudi kwa baba mkwe ili ulipe kodi kwa mwenye nyumba?
  18. bizzle for shizzle

    Nyumba yauzwa bweni DSM.

    Nyumba ina uwanja wa sqm 1200. Ina vyumba vi 4 na kila chumba kina makabati mpaka jikoni nyumba ipo ndani ya uzio wa ukuta kama inavyoonekana kwenye ukuta. Nyumba ina hati. Bei yake 150m. For more details call 0712464777
  19. bizzle for shizzle

    House4Rent House for rent at mbweni oceanic

    Nyumba ni nzuri ya kisasa ina vyumba vi 3 na vyoo vitatu ipo ndani ya fensi ina maji na umeme pia ina tank la kuhifadhiamaji. Bei yake ni laki 6 kwa mwezi mazingira yake ni mazuri mno for more details calll this 0712464777 no
  20. bizzle for shizzle

    There's billion and trillion what comes after trillion

    Here s what ive found. Trillion with 12 zeros quadrillion with 15 zeros. Quintillion with 18 zeros. Sextillion with 21 zeros. Septillion with 24 zeros. Octillion with 27 zeros. Nonillion with 30 zeros. Decillion with 33 zeros. Undecillion with 36 zeros. Duodecillion with 39 zeros. Tradecillion...
Back
Top Bottom