Nyumba yauzwa bweni DSM.

bizzle for shizzle

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
1,010
736
Nyumba ina uwanja wa sqm 1200. Ina vyumba vi 4 na kila chumba kina makabati mpaka jikoni nyumba ipo ndani ya uzio wa ukuta kama inavyoonekana kwenye ukuta. Nyumba ina hati. Bei yake 150m. For more details call 0712464777
1472637698190.jpg
1472637714357.jpg
1472637732737.jpg
1472637743357.jpg
1472637753617.jpg
1472637768207.jpg
1472637784307.jpg
 
hiyo nyumba ina punguzo la bei au? na utaratibu wa ulipaji unakuwaje? Unamaanisha Mbweni ya wapi?
 
Bweni ndo wapi??
Mbweni ni hii barabara ya bagamoyo roadu unapita tegeta kabla hauja fika bunju una shuka kituo kinaitwa boko magengeni hapo utakuta njia ya kwenda mbweni mkono wa kulia barabara zote ni rami. Yani mkeka mpaka unafika
 
Yaani nikishuka mkono wa kulia wakati nitaanzia safari ya kuja kuona nyumba Mabwepande, tafika kweli?
 
Hayo makabati kila chumba ni ya nini? Au unamaanisha vyumba vya kulala, na jikoni? Maanake stoo hakuna makabati bali kuna shelves. Halafu ukubwa wa nyumba ni square metres ngapi? Building project report yake ipo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom