House4Sale Nyumba inauzwa Mapinga Shule

bizzle for shizzle

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
1,010
736
Nyumba ya kisasa inauzwa ipo MAPINGA SHULE nyumba ya kisasa YENYE idadi ya vyumba vitatu master ipo moja lakini pia kuna NYUMBA za wapangaji kwa Nyuma YANI boy kotta zenye chumba sebule x 2 pia kuna ya chumba Kimoja Chenye choo nyumba inatazama BARABARA ya mtaa Ina Uwanja wa sqmt 850 Ina hati miliki kutoka wizara ya ardhi na INAUZWA kwa Tsh 130 Milion mazungumzo yapo kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane kupitia

Whatsap & call 0712464777
Ili ujibiwe kwa haraka Tuma ujumbe mfupi whatsap
IMG_6620.jpeg
IMG_6612.jpeg
IMG_6598.jpeg
IMG_6602.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom