bizzle for shizzle
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 1,010
- 736
wakuu habarini za muda huu naombeni kwa anayejua namba za mawakala Wa SONY SERVICE CENTER ninashida nao ambao wapo hapa dare salaam TV yangu imezingua imezima ghafla naogopa kupeleka TV yangu kwa mafundi Wa uchochoroni nataka niwatumie Sony wenyewe coz wapo smart zaidi kama TV zao au naomba hata mnielekeze ni wapi zilipo office zao niwafuate maana nyumba ni mama chanja kanuna tangu jana haoni tamthilia ya sultan inayorushwa na azam TV .
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app