Uwanja unauzwa boko/ bagamoyo road

bizzle for shizzle

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
1,010
736
Eneo lenye ukubwa wa heka 3 linalo angalia barabara ya rami ya bagamoyo lipo boko barabara ya bagamoyo linauzwa lina hati iliyokamilika unaweza jenga kitu chochote hata kituo cha mafuta. call this no for more details +255712464777




Eneo lingine lipo maeneo hayo hayo lipo meter 600 toka barabara ya rami ya bagamoyo nalo linahati iliyokamilika linauzwa lina ukubwa wa heka 1 na nusu. Call 4 more information +255712464777.
 
Ungesema boko ipi sasa mkuu.... Maana hizo pande kuna wakati binadamu huhitaji helikopita, boat au meli zakuweza kuwatoa sehemu moja kwenda sehemu nyingine.....
 
Ungesema boko ipi sasa mkuu.... Maana hizo pande kuna wakati binadamu huhitaji helikopita, boat au meli zakuweza kuwatoa sehemu moja kwenda sehemu nyingine.....
Boko magengeni njia panda ya kwenda mbweni jkt. Ni haya maeneo yenye sheli tatu ikiwemo oil com na zile nyingne mbili mpya. Maeneo haya hayakai maji eneo lenye maji ni boko basihaya kule ndio itakulazimu kutumia boat lakini boko hii ya magengeni njia panda ya kwenda mbweni jkt hali ni shwari iwe kiangazi iwe masika. Asanteni na dhani mmenielewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom