SIMBA WAMETUABISHA SANA

Hao maboya wamezoea kucheza na KFC ndanda na wengineo wanajua mpira ndo huo wakikutana na wanaume wa shoka wanakuwa Kama kuku mwenye udondo. Yakiwa hapa basi mdomo sana kisa kumfunga ruvu shooting pumbafu zenu simba
 
Mechi mbili wamepigwa goli 10....wanamuaibisha simba mnyama wa polini....watafute jina la mnyama mwingine labda wajiite sungura no hawa wajanja. labda mbwa coco
 
Mimi ni simba damu, lakini kwa kauli ya mwenyekiti wa TFF kumkashifu MH. TUNDU LISSU, nimefarijika sana na magoli haya tuliyo bugizwa, hii ni zawadi njema sana kwa MH. TUNDU LISU, na kichapo hiki ni burudani kwetu kwa kuwa TFF linawahusu.. WALLACE umelikoroga linywe lote 5 super.
 
Hao maboya wamezoea kucheza na KFC ndanda na wengineo wanajua mpira ndo huo wakikutana na wanaume wa shoka wanakuwa Kama kuku mwenye udondo. Yakiwa hapa basi mdomo sana kisa kumfunga ruvu shooting pumbafu zenu simba
Wewe gongowazi lini umecheza huku kwa wanaojua mpira..c unamiaka ishirini hii hatua alipofika simba kwenye haya mashindano umeishia kuiona kwenye tv😂😂😂
 
Wewe gongowazi lini umecheza huku kwa wanaojua mpira..c unamiaka ishirini hii hatua alipofika simba kwenye haya mashindano umeishia kuiona kwenye tv😂😂😂
Huyo Al Ahly alikula moja Dar kwa Yangu kwake akashinda 2:1
 
Sikubaliani na mleta mada eti simba wametuhaibisha,, kwanza mm nawapongeza simba,, kwa walichokifanya wameitangaza sana nchi yetu, nchi yetu ya viwanda sasa hv inajulikana dunia nzma kutokana na matokeo ya simba ktk mechi mbili, hii itasaidia kuongeza idadi ya watalii nchini na hivyo kuongeza pato la taifa, SIMBA OYEEE,,
SIHAMI SIMBA NG'O

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu walifungwa Mapinduzi cup, wakadundwa Sport pesa....hivi bado mlitarajia miujiza gani yarabi.
 
Back
Top Bottom