Eneo linauzwa

bizzle for shizzle

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
1,010
736
Eneo lenye ukubwa wa hekali 8 linauzwa lipo mbweni marindi linatazama barabara ya rami ya kwenda mbweni eneo linahati limepimwa. Contact 0712464777
 
Mhhhhhhh Malindi ipi? Ubungo ? Kwa Komba? Maeneo yote yamepimwa huko tupatie block na plot number.
 
Mhhhhhhh Malindi ipi? Ubungo ? Kwa Komba? Maeneo yote yamepimwa huko tupatie block na plot number.
Mkuu nadhani Malindi ni mbele ya Kwa Komba (ambapo ndio Ubungo hapo hapo). Ni mbele pia ya Masaiti, ni maeneo ya ile kona ya kuelekea Mbweni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom