Unatumia muda mwingi na bando kubwa zaidi ya data kwenye platform ipi ya mtandao wa kijamii?

Mk
Tiktok, facebook na instagram unaweza kuondoa autoplay ukitumia mobile data ili kuzuia kucheza hata video usizozitaka.

Tofauti na hapo bundle itakimbia sana.

Pia kwenye phone settings wekeni data saver on kwa upande wa mobile data ili kuzuia application zisifanye syncronization hata kama hazijafunguliwa.

Ila kwenye wifi huna haja ya kuweka data saver on.
Nimeshindwa kabisa kuzuia video auto play in Instagram, niende kwenye setting gani?
 
kwa siku, wiki, mwezi au mwaka kwa upande wako unaspend muda mrefu na bando kubwa zaidi ya data ukiwa kwenye ukarasa upi miongoni mwa kurasa nyingi tu, za mitandao ya kijamii humu duniani, mathalani Facebook, X, Instagram, JF nakadhalika?

na unatumia sana platform hiyo na data kubwa sana kwa ajili biashara yaani soko, kupata elimu na kuongeza uelewa na ufahamu wa mambo mbalimbali ya kitaifa na kimataifa, kuburudika na kufarijika, kutafuta kazi, kutafuta wachumba na marafiki n.k ama unatumia kufanya nn zaidi?

binafsi kwasasa natumia zaidi JF, kisha X inafuatia kwa karibu sana.

yaani ukikosa bando ya data au internet ikizingua kidogo tu unakua mnyonge kweli kama vile umepungukiwa jambo kubwa zaid siku iyo.

platform nyingine binafsi sijui kutumia najaribu nashindwa kabisa 🐒
Isitagiramu😎
 
Back
Top Bottom