Unatumia muda mwingi na bando kubwa zaidi ya data kwenye platform ipi ya mtandao wa kijamii?

Nipe list ya chanels za youtube na reddit zenye mambo mazuri nami nikajifunze mkuu
Youtube..

1. Kurzgesagt - In a nutshell
2. Free Documentary
3. The Engineering Mindset
4. The Stoic Community
5. Aperture
6. DIY Garden Ideas
7. Histographics
8. Kento Bento
9. Vice Life
10. The Infographics Show
11. Medieval Madness
12. Thomas Schwenke

Reddit ni forum kama Jamii Forums. Yani completely kama Jamii Forums. Huko sasa inategemea unapendelea kusoma au kuona nini. Kuna subreddits ambazo ni kama majukwaa ya hapa JF.
 
Youtube..

1. Kurzgesagt - In a nutshell
2. Free Documentary
3. The Engineering Mindset
4. The Stoic Community
5. Aperture
6. DIY Garden Ideas
7. Histographics
8. Kento Bento
9. Vice Life
10. The Infographics Show
11. Medieval Madness
12. Thomas Schwenke

Reddit ni forum kama Jamii Forums. Yani completely kama Jamii Forums. Huko sasa inategemea unapendelea kusoma au kuona nini. Kuna subreddits ambazo ni kama majukwaa ya hapa JF.
Shukurani sana mkuu🤝
 
Acha maneno , weka muziki, hii ndio takwimu yangu ya week hii, hiz ndio application zangu kubwa daily
Screenshot_20240426_191305_Gallery.jpg
 
Youtube.

Infact situmii kitu social network nyingine zaidi ya JF, Reddit na Youtube. Jambo la msingi ni kuwa situmii kuangalia ujinga bali huwa najifunza mambo mengi sana kwenye channels za maana.
Mbona unaji defend...Unaweza kujiona huangalii ujinga lkn kwa mtu mwingine ni ujinga tu wote hata kuwa hapa JF n ujinga.
 
Back
Top Bottom