party

  1. Replica

    Umoja party walalamikia kucheleweshewa usajili, kumgongea hodi Rais Samia

    Chama cha Umoja Party kiliomba usajili wa muda tangu April 2021 na kimeona kuna dalili za kukwamishwa licha ya kufuata taratibu zote ikiwemo kujibu mapingamizi juu ya rangi ya bendera na muonekano wa nembo hivyo kimepanga kwenda kumuona Rais Samia ili kupata haki ya usajili katika ofisi ya...
  2. britanicca

    Ya Kabendera Aman upendo tukielekea mwaka Mpya, tusihukumu

    Nilijitahid sana kutoandika siasa lakini Imenibidi. Tulimhukumu sana Kikwete kuwa na mchezo mchafu wa kukata na kuendesha chama Vibaya kumbe tulikosea. Mwaka ujao ni wa Uchaguzi tutashuhudia mpasuko Mkubwa wa CCM hata kama watashinda lakin si kwa kishindo, na mpasuko huo ni mkubwa kuliko watu...
  3. F

    Kuna Sifa nyingi Kwenye social media Kuhusu Chama kimpya kiitwacho Umoja Party

    Kuna Sifa nyingi zinasemwa kuhusu ujio wa Chama kimpya kiitwacho Umoja Party lakini sifa kubwa inayoongelewa sana ni kuwa Chama hiki kitakuwa na mlengo wa hayati DR. John Pombe Joseph Magufuli. Wanaoandika Kwenye mitandao wanajinasibu kuwa Chama hiki kitazoa wafuasi wengi na kushinda uchaguzi...
  4. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Chama kipya cha Umoja Party kitakapozoa wanachama wengi kwa msaada wa Zitto Kabwe

    Chama chenye nembo ya hayati JPM kimeanza mchaka mchaka wa kutafuta wanachama wake wapya kabisa, kikijitangaza kusimamia falsafa za hayati JPM. Chama HIKI kimeanza harakati zake katika kipindi ambacho hayati anakosolewa Sana mitandaoni na wanasiasa mbali mbali akiwemo Zito Kabwe na Raisi wetu...
  5. T

    Umoja Party kikiachana na tabia za upinzani wa sasa kitakuwa chama mbadala

    Muda mrefu hofu ya watanzania ni nani mbadala wa CCM kama CCM ikiondolewa? Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi niseme kweli nchi yetu bado haijashuhudia chama cha kuiondoa CCM hata kama CCM imechokwa sana bado wanaliona tumaini ndani ya CCM kuliko nje. Kuna tabia fulani fulani zilizokuwa...
  6. Dp800

    Kwenu Viongozi wa Umoja Party

    Pokeeni pongezi zangu za dhati kwanza kwa kuwaza na kuamua kutengeneza chama chenye mlengo na falsafa anuia za Hayati na Kipenzi chetu Dr. Magufuli. Hakika mmefanya jambo kubwa nala kutukuka sana. Pamoja na pongezi zangu nyingi napenda kuwatahadharisha na kuwaasa kuwa makini sana kwa kila hatua...
  7. BigTall

    Umoja Party waelezea sababu ya kutumia picha ya John Magufuli

    Mwanzilishi wa Chama cha Umoja Party, Seif Maalim ametoa sababu za kwanini chama hicho kinatumia picha ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika fulana zao. Maalim amesema chama hakina nia mbaya kutumia picha hiyo kwa kuwa ni moja ya njia ya kujitangaza kwa wananchi. "Unajua sera zetu...
  8. Nyankurungu2020

    Hofu yenu kwa Umoja Party ni jibu tosha

    Kwamba kumbe Hayati Magufuli alikuwa anakubalika na wengi. The majority ya wananchi wanyonge ambao hata mumchafue vipi kwao yeye hachafuki maana wanajua kazi aliyoifanya kwa taifa lake. Umoja Party tayari imeshazichanga karata na inakwenda kuzoa lundo la wafuasi wapinga ufisadi na ubadhilifu...
  9. Q

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Umoja Party hakijapata usajili wa muda. Anayetumia bendera, nembo au alama ya chama hicho anakiuka Sheria

    Marufuku mtu yoyote au taasisi kutumia jina, nembo, rangi na alama ya chama cha siasa cha "Umoja Party" hadi mchakato wa kupata usajili wa muda utakapokamilika.
  10. N

    Umoja Party ni chama chenye mlengo upi, kinaamini katika maendeleo au katika Magufuli?

    Naona Nembo mojawapo ya Chama ni picha ya JPM 😀😀😀😀
  11. R

    Kuna haja ya Umoja Party kubadili jina kwa manufaa mapana ya Taifa

    Baada ya vuguvugu kubwa la kuanzishwa kwa chama cha siasa cha Umoja Party ni dhahili sasa safari imeanza lakini nna ombi moja tu tubadili Jina kuwa Chama cha Ukombozi na Umoja Tanzania (CUUTA). Sababu kubwa ni kwamba kwanza tunahitaji kukomboa watu kifikra na kiuchumi na ndipo tuwaunganishe...
  12. Linguistic

    Kenya 2022 UDA Party Primaries: Bigwigs fall out!

    UDA PARTY PRIMARIES, Bigwigs fall out! U should know kenyans CS Keter - OUT Kositany - OUT Mandagoh - OUT P. Tobiko - OUT Sossion - OUT Mosonik - OUT Waruguru - OUT Mwirigi - OUT Jaguar - OUT MC Jesse - OUT Mwaura - OUT Waititu Baba lao - OUT Ndindi Nyoro - OUT Rigathi Gachagua - OUT Boinett...
  13. Jamii Opportunities

    Chief of Party at Chemonics International

    Chemonics International Inc. is a US-based international development consulting, operating in over 80 countries, that anticipates a USAID funded project in Tanzania, USAID/Tanzania Heshimu Bahari. Chemonics seeks a Chief of Party for the anticipated 5-year, $25-50 million Tanzania Heshimu...
  14. N

    Kwa nini Putin anaogopa sana Republican president ila akiwa Democratic party president Putin anavamia Georgia Chechnya, now Ukraine

    67 percent USA gall up poll Wanasema Putin anaogopa sana republican .Kwa nini Putin anajiona m babe Democratic Party wakiwa kwenye madaraka .Biden alipochaguliwa tu aka kata pipe line ya oil na kumpa deal Putin over climate change .Russia makes 1 billion dollar a day from USA.It means USA are...
  15. Jamii Opportunities

    Deputy Chief of Party (DCOP (Operations) at T-MARC

    POSITION TITLE: Deputy Chief of Party (Operations) LOCATION: Dar es Salam, Tanzania The DCOP (Operations) will work closely with the COP, DCOP (Programs), and other staff to assure implementation of budget, reporting, and other administrative aspects of the opportunity and will oversee F&A...
  16. Jamii Opportunities

    Chief of Party (COP) at T-MARC Tanzania

    POSITION TITLE: Chief of Party LOCATION: Dar es Salam, Tanzania The Chief of Party (COP) will provide technical and administrative leadership and expertise to the YES Activity and will be the primary liaison with USAID/Tanzania, relevant ministries of the Government of Tanzania. The COP is...
  17. sky soldier

    Party animals: Jiji lipi lina night life amazing na usalama kwenye nchi zinazotuzunguka

    Nchi zinazotuzunguka - Kenya, Uganda, Rwanda, Congo, Zambia, Malawi, Mozambique. Wengine tukisafiri nje basi nightlife huwa inapewa uzito sana. Tukifika kwenye miji ya watu huwa tunapenda kufanya upopo. Unatoka club A unaingia club B, Totoz kama zote zinamulika. Ukija kucheki muda unakuta...
  18. nyboma

    Wazazi muwe makini na birthday wanazokwenda vijana wenu. Birthday party nyingi ni sehemu ya kuhalalisha ushoga kwa Dar

    Siku hizi unaweza kukutana na kusanyiko la vijana wa kiume wakisherehekea birthday, kumbe ni kusanyiko la mashoga. Kuna birthday zinazo wakutanisha mashoga, vijana wadogo ingawa wengine watu wazima. Hili janga tusione aibu kulizungumzia kwa kudhani halipo nawahakikishieni lipo tena kubwa sana...
Back
Top Bottom