party

  1. N

    Trump ashinda case ,Democratic party wanatapatapa hawana mshindani .

    Kwa wale mnaofuatilia case ya Trump kuondolewa madarakani .Senators voted no witness kwa hiyo wanakura za kutosha kutomhukumu Trump na kumuondoa .Kwa Democratic Party na media ni kilio maana Democratic Party hawana mtu wa uhakika wa kumshinda Trump 2020.Bernie Sanders is a socialist atapigwa...
  2. Sky Eclat

    Harusi yangu ilikuwa ya kawaida sana Kitche Party tuliifanya nyumbani

    Kitchen Party tuliifanya nyumbani. Tulipika wenyewe tena nilipika chapati mpaka saa 10 ndiyo nikaenda saloon. Chakula kilikuwa pilau, chapati na mchuzi wa kuku, ndizi nyama na kachumbari. Vyote tulipika nyumbani na binamu walihudumia. Watu walikuwa kama 50 hivi majirani na marafiki...
  3. Jamii Opportunities

    Chief of Party - Social Welfare Strengthening at Pact

    Position: Chief of Party - Social Welfare Strengthening At the heart of Pact is the promise of a better tomorrow. A nonprofit international development organization founded in 1971, Pact works on the ground in nearly 40 countries to improve the lives of those who are challenged by poverty and...
  4. matunduizi

    Wakuu lini tukutane pamoja mbona siku hizi kimya "JF Get TOGETHER PARTY"

    Zamani kila mwaka nilikuwa nasoma nyuzi za watu kukutana live. Wakuu nini kimetokea kiasi kwamba hatuhamasishani kukutana na kuburudika kama members tukiwa live. Au kiwango cha upendano JF kimeshuka au mmehamia dodoma?
  5. babu M

    Rais wa Gambian aanzisha chama kipya kitakachomuwezesha kugombea katika uchaguzi mwaka 2021

    Gambia’s President Adama Barrow has formed a new political party in a move that would allow him to seek a second term in 2021 after he earlier agreed to resign following a 3-year transition period. Barrow registered himself as party leader of National Peoples Party, according to an emailed...
  6. Sky Eclat

    Princess Beatrice Hosts a Star-Studded Engagement Party

    Princess Beatrice was presumably all smiles when she hosted her engagement party at Chiltern Firehouse in London yesterday. The 31-year-old is expected to marry Edoardo Mapelli Mozzi, a multi-millionaire property tycoon, sometime in 2020. We are extremely happy to be able to share the news of...
  7. N

    2 democratic representatives to switch party to become republicans because of impeachment

    Rep Drew switched parties and rep Tulsi is talking to trump about it .What is going on in USA politics ?
  8. Sky Eclat

    Brad Pitt and Jennifer Aniston prove they’re friendly exes as actor attends her Christmas party 15 years after split

    BRAD Pitt and Jennifer Aniston prove they’re still friendly exes as the actor attended her Christmas party – nearly 15 years after their split. The former couple devastated fans back in January 2005 when they announced their separation after almost five years of marriage. But over the weekend...
  9. Nigrastratatract nerve

    Labour party kimepoteza viti 42, Conservative kimeongeza viti 66. Campaign ya CHADEMA DIGITAL imefeli kabla haijaanza

    Nimekuwa nikifuatilia sana mikakati ya Mheshimiwa Mbowe katika kuhakikisha Chama Cha CHADEMA kinashika dola lakini nimegundua kuwa tatizo la Mbowe hajengi Taasisi anajenga Mali yake binafsi maana ukianzia anvyoongea yaani anakuwa mkali kana kwamba anaendesha kampuni yake binafsi. Mbowe...
  10. N

    Kwa nini Democratic Party wanaamini Trump atashinda 2020?

    Democratic Party wana weak candidates na mpaka Bloomberg na hata Hillary anafikiria kugombania tena. Je wewe unafikiri Trump atashinda au ?
  11. Jamii Opportunities

    Sales Executive at CarHunt

    Job position: Sales Executive Responsibilities Sell Used Cars , Trucks , and Machinery . Reception , including responding to telephone calls , emails , and greeting clients . Maintaining records , including checking accounts and invoices . Create frequent reviews and reports with sales and...
  12. Elon Mzebuluni

    INAUZWA Badilisha Old subwoofer au speaker isiyokua na Bluetooth na kuifanya kua Bluetooth party speaker kwa kutumia kifaa hiki hapa.

    Habari!! Speaker au subwoofer ya gari au nyumbani unaweza kuifanya ya kisasa yenye Bluetooth kwa kutumia kifaa hiki hapa Kinapatikana kwa bei nafuu ya Tsh. 15000. Tu kwa mawasiliano zaidi nicheki kwa 0767142928 text,call,WhatsApp tufanye biashara. Napatikana Mbeya. Mikoani tunatuma ukihitaji...
Back
Top Bottom