namba za simu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Braza Kede

    Je, makampuni ya simu yanatuuza kwa makampuni ya betting? wanapata wapi namba zetu?

    Makampuni ya kubeti yanatuma meseji hadi imeshakuwa kero sasa. Mtu hata haujajisajili huduma yao yoyote lakini unashangaa unatumiwa mameseji tele ya mfululizo tena kila siku. Lakini cha kujiuliza ni je wanawezaje kupata namba ya simu ya mtu mmojammoja? Hapa jibu lenye mantiki ni moja tu...
  2. VINICIOUS JR

    Je, Nini kinakujia akilini kuombwa vocha na mdada baada ya kubadilishana namba za simu?

    Habarini wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu. Hivi nini kinakujia akilini baada ya kubadilishana namba za simu na mdada ukimcheki anaanza kukuambia nitumie vocha sms zangu zinakata sina meseji ukizingatia bado hamjefahamiana vizuri hii inaashiria nini. Je? Hii ni sawa...
  3. Wadiz

    Nawakutanisha wazee wa kuchukua namba za simu fasta na kwa wingi ila hawamalizi mchezo. Tatizo lenu ni nini?

    Shalom, Naomba wadau wa kuchukua namba za viumbe pendwa mnaanzisha project ila finishing mnashindwa tatizo lenu nini hasa? Wazee wa incomplete projects Maneno mengi vitendo na finishing zero. Karibu mseme changamoto zenu tuwasaidie. Nawasubiria kwenye comments Wadiz
  4. Strong and Fearless

    Je ni vibaya kwa mwanamke kumuomba namba za simu mwanaume part 2

    Refer to my previous thread. Jamani nimegairi kumuomba yule kijana namba zake . Mungu kaniepusha. I Saw him with a bunch of girls alikua Anacheka nao na kuongea ila once when he saw me hakunisalimia wala kunionesha zile reactions za before ambazo zilinifanya niamini he is into me. So Hii ni a...
  5. Strong and Fearless

    Je, ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba za simu?

    Je ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba ya simu ikiwa mwanume anachelewa na kuona aibu ku make the first move but kila mki bump into each other anakuchekea, anakusifia Ana act as a gentleman, smiling all the time akikuona. Ana anza conversation with you. Nimevunga kama vile am not...
  6. hp4510

    Vijana ambao mnatafuta Ajira Ogopeni Sana hizi namba za simu

    Vijana ambao mko kwenye michakato ya kutafuta Ajira Ogopeni Sana hizi namba za simu ambazo naziweka hapa Hao jamaa sio watu wazuri, sijui wanatumia njia gani kujua kama umeomba kazi sehemu flan Mdogo wangu juzi kalizwa laki 8 Walimpigia simu na walimwambia wanatokea sehemu ambayo ni kweli...
  7. Pdidy

    Nimemiss namba za simu za wahudumu kwenye bili

    Hii kitu nilikuwa na nyota nayo. Kila nikinywa sehemu soda na nyama naandikiwa namba za simu na mhudumu kwenye bili. Nkawaza ningekuwa nakunywa bia ingekuwaje kama soda wananiandikia namba zao. Leo hii kila nikienda hata bili ya karatasi sipati tena unaambiwa alf kumi bili yote tumalizane...
  8. MIXOLOGIST

    Kuna Uhalali au ulazima kwa kampuni za simu kutoa namba za simu za mtumba (zilizotumika na watu wengine walio hai au kufa)?

    Wasalaam wana JF Nilikua nachangia kwenye uzi mmoja uliokua unajadili ulazima wa kuhifadhi number za simu za marehemu, nikawaza kwa maandishi, JE KUNA SABABU GANI YA KAMPUNI ZA SIMU KUTOA NAMBA ZA SIMU ZA MTUMBA? Kwangu mimi, kumiliki number ya simu ya mtumba (iliyotumiwa na mtu mwingine aliye...
  9. Skull dance

    Naomba mawasiliano ya Maafisa hawa wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya, Mara

    Kwa mwenye nazo naomba anisaidie namba za simu za Mkurugenzi Rorya DC, Afisa Utumishi Rorya, Afisa Elimu Secondary na kama unazo za staff wengine nitashukuru ukishea nami, ninashida nazo. Natanguliza shukrani zangu.
  10. Pdidy

    Zile risiti za baa mnazopewa na namba za simu msizidharau, zifanyieni kazi

    Kumezuka na wimbi jipya ingawa kwangu la zamani kidogo Ukienda sehemu ya kula na kunywa wakati wa kulipa unapewa billi Kwa juu imeandikwaa namba yanguu ni hii hapa. Kuna mdada leo amepatata kazi. Nilijaribu kumwombea kazi sehemu mbali mbali leo alipiga mchana njoo sehemu nikauliza kuna shida...
  11. Nakadori

    Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Wapendwa week end inaendaje? Wanasema kizuri kula na mwenzako....na nomeona niwashirikishe fursa hii adimu hasa kwa wale wanaofika kariakoo na kujikuta wanauziwa bei ghali kuliko hata huku mtaani... [emoji117][emoji117][emoji117] SOMA HAPO UKIPENDA SAWA USIPOPENDA PITA KIMYA Ngoja nikupe...
  12. Equation x

    Wadada, tukiwa tunawaomba namba za simu au kuwatongoza, msiwe mnatujibu kwa ukali au dharau; utapishana na mume

    Dunia ya sasa imebadilika, kuanzia kiuchumi mpaka mahusiano. Watu hawaoi na hawaolewi, wanaona bora kuzaa tu maisha yaendelee; sasa kama wewe unataka uangukie kwenye hilo kundi, endelea kuleta mapozi. Badilikeni; maisha ya sasa si sawa na zama zile za mawe za kale. Kwa leo ni hayo tu.
  13. The Eric

    Naomba wanaume tuje tubuni mbinu mpya za kuomba namba za simu.

    Salaam! Imani yangu inaniambia Jf wengi wao ni watu mordenized ones......kwa heshima hii nawapa. Sasa naomba wakaka wa kisasa tubuni namna ya kuomba namba kwa hawa wadada. Hizi ni tabia za kijinga kwa wakaka washamba na limbukeni. 1. Kila demu anayepita unajeuza shingo au kumtolea mimacho...
  14. sanalii

    NIDA wahuishe taarifa za usajili wa namba za simu ziendane na zilizoko mitandao ya simu

    Nimefuta usajili wa namba ya simu tangu mwaka 2020, lakini hadi leo ukiangalia usajili wa namba zote zilizosajiliwa kwa namba ya NIDA, unaletewa na namba ambazo ulishazifuta, mbaya zaidi namba uliofuta unakuta imeshasajuliwa tena na mtu mwengine. Ushauri ni kua, NIDA wawe na utaratibu wa ou...
  15. C

    Taasisi za Kitanzania ziipe kipaumbele kuweka namba za simu kwa website page zao, na wawe wanapokea simu

    Ninaona imeshawahi kujadiliwa mara kadhaa hapa. Hili jambo la taasisi zote kutoona umuhimu wa mawasiliano ya simu kiukweli linakera sana. Zama hizi siyo zama za kufunga safari kwenda ofisi fulani kuulizia vitu basic kabisa.. Changamoto: 1. Taasisi nyingi hazina mawasiliano ya simu kwa website...
  16. themagnificient

    Vitambulisho vya kiraia na Benki kutowekwa Namba za simu za wahusika tatizo ni nini?

    Kwa sasa vitambulisho vya wanafunzi vinaweza kupatikana kirahisi sababu kuna namba za simu za shule ambazo zinaelekeza atakayeokota apige namba husika kutoa taarifa. Ila vitambulisho muhimu kama vya uraia, leseni, kadi za benki na vinginevyo havina namba za simu za wahusika kitu ambacho...
  17. J

    Mifumo ya Biometriki inazingatia na kuheshimu Haki ya Faragha?

    Kutokana na ukuaji wa Teknolojia, ukusanyaji Taarifa Binafsi za Mamilioni ya Wananchi unaohusisha Mifumo ya Biometriki umekuwa ukiongezeka kwa kasi Barani Afrika. Mataifa mbalimbali ikiwemo Tanzania yamekuwa yakitumia Mifumo hiyo inayohusisha Alama za Vidole katika Utoaji wa Huduma kama usajili...
  18. A

    Naomba mwenye namba za simu kampuni ya PanAfrica

    Habari za majukumu. Tafadhalini natafuta namba za simu za kampuni ya PanAfrica ni watengenezaji wa bidhaa za plastiki { Galons } , naomba msaada kwa hilo tafadhalini. Wasalaam
  19. M

    SoC02 Mimi na Mazingira

    Mwandishi: RAYMOND NOEL Namba za simu: 0758659963 Asubuhi moja yenye baridi ilinikuta kwenye bonde dogo karibu na mtaa wetu, nilifika katika bonde hilo kwa lengo la kuchota maji katika chemchem maarufu inayopatikana hapo ambayo hutiririsha maji katika bonde kwa mwaka mzima, chemchem hiyo huwa...
  20. Mparee2

    Tunaomba taasisi za Serikali waweke namba zinazopatikana kwenye mtandao

    Tunaomba taasisi za Serikali waweke namba zinazopatikana kwenye mtandao. Kimsingi ni vigumu kupata mawasiliano kwa kutumia namba za simu zilizoko kwenye mtandao kwani nyingi ya namba hizo hazipatikani kwa sababu tofauti tofauti (ni mbovu, hazijalipiwa au hazitumiki tena) nk. Baadhi ya watu...
Back
Top Bottom