mazingira

The Mazingira Green Party of Kenya is a Kenyan green party. It was formerly known as Liberal Party of Kenya (LPK). At the 1997 Kenyan General Elections LPK fielded a presidential candidate, Wangari Maathai, who later became a Nobel Peace Prize laureate. Maathai was only a minor candidate. She did not win a parliamentary seat. In 2002, the next general elections were held and the Maathai-led party was part of the victorious NARC coalition. Maathai herself won the Tetu Constituency parliamentary seat.At the Kenyan general election, 2007, Mazingira was part of the newly created Party of National Unity led by President Mwai Kibaki. However, Mazingira also fielded own candidates. Mazingira won one parliamentary seat at the elections, after Silas Muriuki beat PNU candidate David Mwiraria to clinch the North Imenti Constituency parliamentary seat. Maathai was first outvoted at the PNU primary elections and therefore vied on Mazingira ticket, but at the parliamentary elections lost again to the PNU candidate.
The word Mazingira is Swahili for environment.

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    UN imetahadharisha Tanzania kuepuka mazingira ya ukandamizaji hasa kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Michelle Bachelet ameeleza kuwa, nchini Tanzania kumekuwepo hali ya "kuongezeka kwa ukandamizaji wa kidemokrasia na haki za raia, hali ambayo inazidi kufanya mazingira ya haki za binadamu kuwa duni". Ameeleza hasa mabadiliko ya sheria...
  2. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 Ilani ya Uchaguzi ya NCCR Mageuzi: Vipaumbele ni Katiba Mpya, Elimu, Muafaka wa Kitaifa, Afya na Ustawi wa Jamii, Mazingira na Makazi

    UTEKELEZAJI WA HII ILANI NA SIFA ZA KIONGOZI Serikali itakayoongozwa na NCCR-Mageuzi itaweka mkazo katika kuimarisha mifumo ya kiutendaji ya serikali kuu na serikali za mitaa ili ufuatiliaji wa utekelezaji wa Ilani uwe wenye tija kwa umma wa watanzania. Serikali itahakikisha usimamizi wa miradi...
  3. Pascal Mayalla

    Kampuni ya Mafuta ya Total Tanzania yampongeza Rais Magufuli na kuipongeza Tanzania, kujenga mazingira bora ya biashara ya Mafuta, Uwekezaji

    Wanabodi, Kampuni ya Mafuta ya Total, imempongeza Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli, na serikali yake ya awamu ya tano, kwa kujenga mazingira wezeshi ya biashara, na uwekezaji, yanayovutia wawekezaji wa kimataifa kuleta mitaji ya uwekezaji nchini na kuwawezesha Watanzania kupatiwa fursa za...
  4. K

    Hiki ndicho wanachotakiwa kuhubiri Viongozi wa Dini kipindi cha Uchaguzi na si vinginevyo

    Mamlaka za uchaguzi ziweke mazingira sawa kwa wagombea woote bila kuegemee upande wowote. Vyombo vya dola visikubali kutumika kisiasa. Wagombea mtoe hoja na siyo lugha za matusi Tukumbuke amani ya Taifa letu ni muhimu sana" .
  5. S

    Uchaguzi 2020 Bora CHADEMA mngesitisha uzinduzi wa kampeni kufuatilia hujuma za wagombea wenu kuenguliwa

    Baada ya kumsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara,kamanda Bensoni Kigaila, nimepoteza hata hamu ya kufuatilia uzinduzi wa kampeni kwani kwa idadi ya wagombea wa ubunge wa CHADEMA walioenguliwa mpaka sasa, naweza kusema inatisha huku msemaji mwenyewe akiweka wazi kuwa idadi ya wanaogombea...
  6. Michaelson chujagi

    Wakuu nataka kununua gari kwa Mara ya kwanza na ninaishi mazingira ambayo ni rough kiasi. Naomba kujua ni gari gani dogo linaweza kuvumilia

    Wakuu naomba ushauri wenu especially kwa anaejua. Nataka kununua gari kwa Mara ya kwanza, naishi Nyasa Ruvuma ambako barabara ni rough Sana. Naomba kujua gari gani dogo la bajeti rafiki linaloweza kuvumilia mazingira haya na kula mafuta kidogo?
  7. Ma Mshuza

    Siwezi Sahau: Mazingira ya sisi wanawake kuliwa kimasihara

    Huyu kaka nlikuwa namwona akiwa hostel pale hall 4 chumba cha chini kabisa alikuwa anakaa pale na mwenzie. Mimi nlikuwa upande Opposite ila ghorofani. Mara nyingi nlikuwa namwona mpole ila anasalimia then busy flani hivi. Jioni alikuwa anapenda kwenda gym akirudi anaenda kuoga then anakuwa na...
  8. Troll JF

    Je, kwa Mazingira ya sasa vitendo vya Kihuni vinavyofanywa na Joseph Mbilinyi (Sugu) vinakubalika?

    Katika Mambo ya Kihuni kuwahi kuyashuhudia ni hili la Leo la Aliyekua Mbunge wa CHADEMA, Joseph Mbilinyi au Sugu. Ana Siasa Chafu sana nawapongeza Polisi wanatumia weledi sana na hatimaye kumdhibiti. Kuna Miongozo ilishatolewa kwenda NEC kuchukua Form unaenda bila wafuasi wewe unafunga barabara...
  9. Zegota

    Nimeamini asilimia kubwa ya Wanawake wa leo wanajiuza tofauti yao ni mazingira tu ya upatikanaji wao

    Niko mkoani kwa wiki kadhaa kutafuta grisi ya kulainisha maisha na kipindi chote hiki naishi nyumba za wageni sina uenyeji sana katika mkoa huu zaidi ya kuwa na begi langu la nguo na laptop tu. Kuna mgahawa mmoja huwa ndio nakula hapo tangu nifike huku, una wahudumu wazuri sana na wakarimu mno...
  10. Tingitane

    Ni sahihi kusoma Economics katika mazingira haya?

    Habari za leo wakuu, Ni imani yangu kuwa mko wazima na mnaendelea na shughuli zenu za kila siku, niende kwenye mada nina kijana wangu wangu amemaliza HGE kidato cha sita na alikuwa anatamani sana kusoma ECONOMICS katika ngazi ya chuo. Ombi langu kwenu ni kupata mawazo yenu kama ni sahihi...
  11. mkiluvya

    Waziri Kairuki: Serikali itaboresha Mazingira ya Uwekezaji

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji,Angellah Kairuki amesema kuwa serikali ya Awamu ya Tano,inaendelea kutengeneza Mazingira mazuri kwaajili ya Uwekezaji ili kuvutia sekta hiyo. Akizungumza jijini Arusha katika ziara yake ya kikazi ya siku mbili Kairuki alisema kuwa serikali chini ya...
  12. P

    Hivi hili la kuweka limit ya Umri kwa vijana wa sasa katika ajira kwa mazingira ya sasa liko sawa?

    Wakuu, Hakuna asiyejua ajira kwa sasa ni changamoto hapa nchini, Sekta binafsi ndiyo hiyo inakufa ambayo ilikuwa na uwezo wa kutoa ajira kwa wingi. Cha kushangaza naona Serikali imekuja na masharti makali kidogo tofauti na zamani kwa baadhi ya matangazo ya ajira kwenye age limit. Inatangazwa...
  13. Leslie Mbena

    Mazingira na Kiini cha mabadiliko Nchini Malawi

    Leo 09:22am 27/06/2020 Rais wa tatu wa Malawi, Bingu wa Mutharika kipenzi cha Wamalawi,muanzilishi wa Chama cha DPP alichokianzisha 2005 na mwaka 2009 kilibeba viti vingi vya Wabunge bungeni,alifariki Mwaka 2012 akiacha sifa njema katika nchi ya Malawi. Rais anayemaliza muda wake,Peter...
  14. Don YF

    World Bank Report: Tanzania among bottom in EAC na SADC katika mazingira ya biashara

    Rwanda drops in ranking but remains top in region in ease of doing business A view of Kigali. Rwanda’s reforms came in handy, making it even more investor-friendly. PHOTO | CYRIL NDEGEYA | NMG Rwanda has dropped in the World Bank Ease of Doing Business 2020 ranking to position 38 from 29...
  15. Tajiri Tanzanite

    Haya mazingira ni ushahidi tosha kwa CHADEMA dhidi ya rushwa ya ngono

    #1 Hapo vip!!! Kwa muda mrefu uongozi ndani ya chadema imekuwa ikituhumiwa kuhusika na rushwa ya ngono kwa wabunge wa viti maalum ila washabiki na baadhi ya wanachama wa chadema wamekuwa wakitafrisi tuhuma hizo kama giliba za kisiasa. Binafsi wakati nikiwa university nilivutiwa na sera ya...
  16. T

    Matukio ya ubakaji yanazidi kuongezeka sana siku hizi?

    Naomba wazazi na walezi kama mimi tukumbushane kuwaelimisha watoto wetu wa kiume na hasa wa kike kuhusu mazingira hatarishi ya kupelekea unyanyasaji wa kingono au ubakaji. Nimeona mada kule twitter mabinti wengi wakieleza namna walivyobakwa na kuwataja wabakaji wao na kutaka wachukuliwe hatua...
  17. Sky Eclat

    Wanawake wa Afrika ni wepesi kubadilika na kuacha maadili ya asili kulingana na mazingira kuliko wanawake wa Kichina au Wahindi

    Katika mafundisho ya jamii, jamii za zetu zote zinamtaarisha mtoto wa kike kuwa mlezi wa familia. Kuondoka nyumbani kwa mtoto wa kike ni kukabidhiwa kwa mume. Mume huyu anakua ndiyo mtu wa kukulinda na wewe unategemewa umlee. Ujue chakula chake, usingizi wake na afya yake. Katika familia...
  18. Mzukulu

    Ndiyo tuna Timu nzuri, ina Morali na Mazingira yote mazuri ila nawatahadharisha wana Simba SC Mechi ya leo si rahisi kihivyo Kwetu kama tuwazavyo!

    Kama kuna Mechi ambazo zinaenda kuwa ngumu kwa Simba Sports Club ( ambayo hata Mimi Mzukulu ) naipenda na Kuishabikia basi ni hizi Kumi ( 10 ) zilizobaki na hasa hasa hii ya Leo na zile zingine Tatu ( 3 ) ambazo zote tutazicheza katika Uwanja wa Uhuru au pale kwa Mkapa. Sina Shaka na Timu yangu...
  19. B

    Uharibifu wa mazingira mto Ndumbwi unapoingia baharini

    Mto Ndumbwi huingia Bahari ya Hindi sehemu za Mbezi Beach. Mto huu una mikoko mingi sehemu hiyo na kama inavyofahamika miti hii ndio mazalia ya samaki hivyo ni muhimu kuhifadhiwa. Huko nyuma kama miaka miwili iliyopita marehemu mama Lwakatare[ R.I.P] alijenga nyumba yake ya kifahali pembeni ya...
Back
Top Bottom