mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    Aliyekuwa waziri wa Hamas akiri yale mauaji yalikuwa kosa, yamesababisha Gaza ifutwe

    Asema Gaza imefutwa, imerudishwa nyuma miaka 200, hamna kitu pale hata watu wakirudi, amekiri lilikua kosa kubwa sana na kwamba uongozi wa HAMAS ni machizi wasiojielewa wala kuelewa chochote..... Aise kuua Wayahudi itabidi uwe tayari kufanyiziwa. =========== Former Hamas communications...
  2. JanguKamaJangu

    Ruvuma: Watu 40 washikiliwa na Jeshi la Polisi katika msako wa Mauaji ya Askari wa kampuni ya ulinzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linawajulisha wananchi kuhusiana na tukio Moja la mauaji lililotokea Novemba 2023 kama ifuatavyo: Tukio lilitokea Novemba 19, 2023 majira ya saa saa mbili asubuhi katika Kijiji cha Mkali kilichopo Wilaya ya Nyasa Mkoa Ruvuma ambapo mwanaume aliyefahafika kwa jina...
  3. BARD AI

    Mtwara: Jinsi Askari Polisi akiwemo Mkuu wa Kituo na Upelelezi walivyoshiriki Mauaji ya Mfanyabiashara wa Madini

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Yustino John Mgonja ameieleza Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara namna mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamis Hamis, alivyouawa. Pia, amewataja washtakiwa waliokuwepo eneo la tukio na yule...
  4. Mwalimu wa tuisheni

    Mauaji Afrika Kusini: Amuua mwenzake, amkata Kichwa na kula viungo vya ndani sehemu ya tumbo

    Kwa Madiba kuna mambo, Jamaa amefanya kitendo cha kinyama sana kuutoa uhai wa mtu mwingine bila hata chembe ya huruma Muuaji alikua na bifu na Marehemu na alimfuata mpaka sehemu ya kazi kulianzisha, aliingia na visu viwili kimoja kikubwa na kingine kidogo kwaajili ya kutekeleza mauaji hayo...
  5. M

    Malema aitaka ICC imtie mbaroni Netanyahu kwa mauaji ya Gaza

    Nov 10, 2023 02:53 UTC Kiongozi wa chama cha upinzani nchini Afrika Kusini ametoa mwito kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na mashambulizi ya kinyama yanayoandelea kufanywa na utawala huo pandikizi...
  6. idaz

    Video: Mauaji ya kikatili Gaza, tunajifunza nini?

    Inaonekana kama kuna ushabiki kwenye hili suala,ila kinachoendelea huko ni balaa. Tatizo hili linatupa funzo gani? Issue kama hii inaendelea pia Darfur,tujifunze kuwa watu haki,upendo, amani na kuvumiliana. Ushabiki kwenye maisha ya watu kama hivi,ni ulimbukeni na ujinga!
  7. A

    DOKEZO Mauaji ya mraibu katika kituo cha Arusha Sober House

    Mimi ni jirani ninayeishi Kata ya Matevezi au Ngaramtoni ya chini, Arusha Manispaa. Nimekuwa nikisikia kelele za yowe mara nyingi Waraibu wakiadhibiwa katika Kituo hiki kinachomilikiwa na Kijana anayeitwa Tariq. Juzi kuna kijana anayechunga Mbuzi huwa nina mazoea ya kumpa matunda alikuja akiwa...
  8. N

    Mauaji ya kutisha yafanyika Wilayani Mwanga. Rais tafadhali ingilia kati uisaidie hii familia

    Wakuu nawasalimu kwa jina la JMT. Jana nilifanikiwa kufika Wilayani Mwanga katika Kijiji cha Mangyo, kitongoji cha Vongo B. Kuna Mama mwenye umri wa zaidi ya miaka 80, ambaye tarehe 01/11 majira ya saa 1:45 Usiku, wakati akipika chakula chake cha usiku, alivamiwa na kuchinjwa shingo yake kama...
  9. Ritz

    Vikosi vya Israel vinawashambulia kikatili Wakisto wa Orthodox huko Jerusalem kwa kupinga mauaji ya halaiki huko Gaza

    Wanaukumbi. Zionist forces brutally assault Orthodox Jews in the streets of Jerusalem for opposing genocide in Gaza. Haven’t seen this kind of state violence against Jews since Nazi Germany. Images like this destroy the myth that the State of Israel is Jewish.
  10. BARD AI

    Simulizi: Kisa na Mkasa wa Mauaji ya Jenerali Imran Kombe (Mkurugenzi Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa-TISS)

    Ni mauaji yaliyogubikwa na simulizi na hisia tofauti juu ya nini hasa kiini cha mauaji ya mkurugenzi mkuu wa zamani wa Idara ya Usalama wa Taifa nchini (TISS), Luteni Jenerali Imran Kombe aliyeuawa kwa kupigwa risasi Juni 30 mwaka 1996. Kumekuwepo na nadharia ya ulaji njama (conspiracy theory)...
  11. Greatest Of All Time

    Nini hasa kilijiri mpaka Luteni Jenerali Imran Kombe akauliwa na Askari Polisi?

    Wakuu wa jukwaa hili, ni takribani miaka 32 sasa imepita tangu Mkurugenzi mstaafu wa Idara ya Usalama, Luteni Jenerali Imran Kombe alipouwawa na askari polisi mkoani Kilimanjaro. Mengi yamezungumzwa, je ni nini kilitokea na kujiri mpaka 'deep state' ikaamua kumnyamazisha aliyekuwa boss wao...
  12. Naanto Mushi

    Hivi Robertino anashindwaje kupanga kosi kama hili la mauaji?

    Phiri Chama Saidoo Kibu Ngoma Kanoute Tshabalala Chemalon Inonga Kapom (Kipa Yeyote) Embu tujadiliane ubora wa hilo kosi hapo
  13. THE BIG SHOW

    Ni ujinga tu kushangilia mauaji ya Wapalestina kwa kudhani wanaouliwa ni Waislam

    Friends and Enemies, Al Ahl Baptist church ni hospital ya kanisa ambayo imeanza operation Gaza tokea mwaka 1882,Hospital hiyo imeanzishwa na Church Mission Society Of England kipindi Hiko inatawala Gaza ,baada ya ukoloni 1954 hadi 1982 na kuendelea hospital hiyo imekuwa inaendeshwa na Episcopal...
  14. JanguKamaJangu

    Mjane wa mwanahabari wa Pakistan anaishtaki Serikali ya Kenya kwa mauaji ya mumewe

    Mjane wa mwanahabari maarufu wa Pakistan anaishtaki serikali ya Kenya kwa "mauaji yanayolengwa" ya mumewe. Javeria Siddique aliwasilisha kesi jijini Nairobi siku ya Jumatano kwa mauaji ya kimakosa ya Arshad Sharif. Mwanahabari huyo alipigwa risasi na kuuawa mwaka mmoja uliopita na maafisa wa...
  15. K

    Mohamed Salah wa Liverpool alaani mauaji yanayofanywa na Israel huko Gaza!

    Tumeona wachezaji kadhaa waliojitokeza kulaani mauaji ya Israel dhidi ya Wapalestina huko Gaza wakitishiwa kufukuzwa kwenye klabu zao na kusimamishwa, haswa Ujerumani ambapo zaidi ya wachezaji watatu wameshasimaishwa. Mchezaji mahiri na mashuhuri Duniani anaechezea Liverpool amejitokeza rasmi...
  16. K

    Maandamano kwenye bunge la Marekani kupinga mauaji Palestine

    Watu wameandamana ndani ya Majengo ya bunge la Marekani kupinga mauaji ya Israel dhidi ya wapalestina huko Gaza!
  17. Mhaya

    Msanii Usher Raymond asikitishwa na mauaji ya Israel na Palestina, na kisha badae kufuta post hiyo huko Instagram

    Msanii kutokea nchini Marekani Usher Raymond katika mtandao wa Instagram ameonesha wasiwasi wake juu ya mambo yanayoendelea huko Israel na Palestina ikiwemo vifo vya watu zaidi ya 1000, utekaji wa wanaume, wanawake na watoto huku akisisitiza kuhusu kuzingatia uhai wa Bindamu, katika maelezo...
  18. Erythrocyte

    Hatimaye kesi ya George Sanga aliyewekwa Mahabusu kwa miaka 3 kwa kesi ya Mauaji kuanza kusikilizwa

    Taarifa iliyosambazwa na Chadema Duniani kote , inaeleza kwamba Mtuhumiwa wa kesi ya uongo ya mauaji , George Sanga, Mwanachama wa Chadema na diwani wa zamani wa Njombe , ambaye alisingiziwa kesi hiyo ili kumkomesha, baada ya kukataa kujidhalilisha kwa kununuliwa na ccm , Itaanza kusikilizwa...
  19. A

    DOKEZO Kijiji cha Kazuramimba (Uvinza, Kigoma): Mauaji yaliyofanywa 4/10/2023 ninayekemea kwa nguvu zote, Majeruhi wako wapi?

    Wakuu, hii Nchi ya ovyo sana, Kuna wajinga wanapopewa nafasi huwa wanageuka kuwa Miungu watu. Jana tarehe 4/10/2023 Kijiji Cha Kazuramimba, Wilayani Uvinza kulitokea vurugu baina ya Polisi na Raia, zilizopelekea Polisi kutumia Silaha za moto, hali hii ilipelekea Raia kadhaa kufa na wengine...
  20. MK254

    Mauaji ya kimbari Sudan, weusi wasio na asili ya Kiarabu wasakwa na kuchinjwa

    Haya mauaji yamejirudia kama yalivyokua 2003, ambapo wapiganaji wa Kiarabu huzunguka mlango kwa mlango na kuchinja mweusi yeyote asiye na asili ya Kiarabu.... ======================== The governor of Darfur on Tuesday called for an international investigation into violence against residents of...
Back
Top Bottom