mwanahabari

  1. Yoyo Zhou

    Mwanahabari azungumzia ripoti kuhusu Mikutano Miwili ya China mjini Beijing

    Mwanahabari Abubarkar Harith toka Kituo cha televisheni cha Zanzibar anatuletea ripoti ifuatayo kuhusu Mikutano Miwili ya China mjini Beijing. https://www.facebook.com/watch/?v=430890095997725
  2. JanguKamaJangu

    Jamal Khashoggi: Mke wa mwanahabari aliyeuawa apata hifadhi ya kisiasa Marekani

    Mke wa Jamal Khashoggi, Mwandishi wa Habari aliyeuawa katika Ubalozi mdogo wa Saudia Mjini Istanbul, amepewa hifadhi ya kisiasa nchini Marekani. Khashoggi alifariki Oktoba 2018, ambapo ujasusi wa Marekani umesema unaamini Saudi Arabia ndiyo iliyohusika na mauaji hayo. Hanan Elatr, mke wa...
  3. JanguKamaJangu

    Mjane wa mwanahabari wa Pakistan anaishtaki Serikali ya Kenya kwa mauaji ya mumewe

    Mjane wa mwanahabari maarufu wa Pakistan anaishtaki serikali ya Kenya kwa "mauaji yanayolengwa" ya mumewe. Javeria Siddique aliwasilisha kesi jijini Nairobi siku ya Jumatano kwa mauaji ya kimakosa ya Arshad Sharif. Mwanahabari huyo alipigwa risasi na kuuawa mwaka mmoja uliopita na maafisa wa...
  4. Troublemaker

    Sport extra; huyu dada anayereport habari kutokea Ufaransa ni mwanahabari kweli?

    Kiukweli ana uwasilishaji mbovu mno. Anarudia rudia kitu kimoja hata mara tano. Halafu na wao huwa sioni uhimu wa yeye kutoa taarifa tena maana ni kama tu anarudia kile ambacho wakina Lwambano wameshareport.
  5. Suley2019

    Mwanahabari auawa na wasiojulikana Cameroon

    Mtangazaji na Mwandishi maarufu wa Habari za Michezo nchini Cameroon Anye Nde Nsoh, ameuawa katika mji wa Bamenda uliopo Kaskazini Magharibi mwa nchi. Ripoti zinasema kuwa Nsoh alikuwa kwenye baa alipovamiwa na watu wasiojulikana na kushambuliwa kwa risasi. Kwa miaka mingi sasa Bamenda imekuwa...
  6. Last Seen

    Dkt. Abbas afunga ndoa na Mamy Baby wa Clouds Media

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni,Sanaa na Michezo, Dr. Abbasi amefunga ndoa na Mtangazaji wa Clouds FM Mamy Baby.
  7. Lady Whistledown

    Kenya: Mwanahabari atoa wito wa Wafungwa kuruhusiwa kuhudhuria Mazishi ya Wanafamilia

    Mwanahabari Moses Dola amewasilisha ombi mbele ya Mahakama ya Sheria ya Milimani la kutaka amri ya kuwaruhusu Wafungwa kuhudhuria mazishi ya wapendwa wao Katika Ombi hilo, Mwandishi huyo ambaye anatumikia kifungo gerezani amesema iwapo kutakuwa na Miongozo na Taratibu zinazoeleweka, basi...
  8. BARD AI

    Serikali ya Pakistan yatuma wapelelezi kuchunguza kifo cha mwanahabari Sharif nchini Kenya

    Serikali ya Pakistani imetuma maafisa watatu wakuu wa usalama nchini Kenya kuchunguza mauaji ya mwanahabari Arshad Sharif yaliyotokea siku ya Jumapili. Timu hiyo inajumuisha mkurugenzi wa Shirika la Upelelezi la Shirikisho Athar Waheed na naibu mkurugenzi mkuu wa Ofisi ya Ujasusi Omar Shahid...
  9. Lady Whistledown

    Mexico: Mwili wa Mwanahabari aliyetoweka wapatikana

    Mwili wa Mwandishi wa Kujitegemea wa Habari za uhalifu, Juan Arjon Lopez aliyetoweka Agosti 9, umepatikana ukiwa na majeraha kichwani, Kaskazini-Magharibi mwa Mexico Mwandishi huyo mwenye umri wa Miaka 62 alikua anaendesha Ukurasa Katika Mtandao wa #FaceBook akiangazia Habari na Matukio ya...
  10. FaizaFoxy

    2014 Kombe la Soka la Dunia Pigo kubwa kwa Brazil Mafanikio makubwa kwa Mwanahabari aliyejielewa

    Mabadiliko mema kabisa kwa mwanahabari wakati Brazil inapata kipigo kikubwa kilichowahuzunisha si Brazil bali wapenda soka wote duniani. Video clip inajieleza.
  11. BigTall

    Rais wa Misri atoa msamaha kwa mwanahabari na wafungwa 3,000

    Rais wa Misri, Abdel Fattah al-Sisi ametoa msamaha kwa mwanahabari aliyefungwa jela kwa madai ya “kusambaza habari za uongo”, msamaha ambao umeenda sambambana zaidi ya wafungwa 3,000. Mwandishi huyo Hossam Moniss alihukumiwa kifungo cha miaka minne jela Novemba kwa shtaka la kusambaza habari za...
  12. Action and Reaction

    Simba fans wako na Ahmeid Ally hawana habari na page ya Manara!

    Kwa kweli Manara alibebwa na Simba fans ndo akajulikana kwahiyo aishukuru Simba! Baada ya kuachia ngazi Simba kwa Jazba na Kashfa Simba fans walihuzumika kwa muda BAADAE kaja Kiraka Ahmeid Ally mtu msomi, mchambuzi mwenye skills zake. Anaendana na mashabiki wake na sio yule..... pamoja narangi...
  13. Allen Kilewella

    Yu wapi mwanahabari Ufo Saro aliyepata kufanya kazi ITV?

    Kuna wakati huyu dada alikuwa maarufu sana kwenye tasnia ya Habari Tanzania. Sijui kwa kipindi hiki cha "hapa kazi tu" anafanya hiyo kazi kwenye chombo gani cha habari.
  14. Analogia Malenga

    Brent Renaud: Mwandishi wa Marekani auawa kwa kushambuliwa Ukraine

    Mwandishi wa Habari wa Marekani anayefanya kazi nchini Ukraine ameuawa kwa kupigwa risasi katika mji wa Irpin, nje ya Kyiv, polisi wamesema. Brent Renaud, mwenye umri wa miaka 50, alikuwa mwandishi wa habari na mtengenezaji wa filamu ambaye alikuwa akifanya kazi katika eneo hilo kwa muda sasa...
  15. luangalila

    Wanahabari walia na waajiri kutopeleka michango mifuko ya hifadhi ya jamii

    Giza limetanda sekta ya habari wana habari hususani wa sekta binafsi walia na waajiri kitopeleka michango katika mifuko ya hifadhi ya Jamii e.g (Nssf). Mbunge Ester Bulaya ambae kitaaluma ni mwanahabari pia, juzi bungeni aliuliza swali dogo la nyongeza kuhusu kilio cha wana habari...
  16. The Sheriff

    Gerson Msigwa, mwanahabari nguli, anaswa na mtego wa habari potoshi

    Nimeshangazwa sana na Ndg. Gerson Msigwa kunaswa na mtego huu. Sina hakika kama kafanya hivi makusudi akiwa anajua uhalisia, ama anajua huu ndiyo uhalisia. Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu na Sasa Msemaji Mkuu wa Serikali ameshindwa kuona kwamba hii video imetengenezwa tu kwa...
  17. R

    Mwanahabari Huru yuko wapi?

    Alikuwa mhabarishaji mwema hapa JF, siku nyingi simuoni kuandika hapa JF, yuko wapi jamani?
  18. H

    Uchaguzi 2020 Mbowe ashindwa kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Hai

    WanaJF, Katika hali ambayo ilikuwa inatarajiwa na wengi ni kwamba Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai kupitia tiketi ya CHADEMA ambae pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa amegaragazwa vibaya sana kwa kuambulia kura 27,000 tu wakati mshindani wake Mgombea wa jimbo hilo kwa tiketi ya CCM amefanikiwa...
Back
Top Bottom