mashuleni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mamujay

    Walimu wamegeuza pesa ya chakula mashuleni kuwa posho zao wanajilipa

    Kero, Waziri wa Elimu liangalie hili hali imezidi kuumiza wazazi. Chakula chenyewe mtoto ashibi na usipompa mtoto pesa simu nyingi za walimu. Chakula hakina ubora. Elimu bure imegeuzwa elimu mchaka mchaka.
  2. M

    Michango shule ya sekondari Borega

    Shule ya sekondari Borega ,iliyoko mkoani Mara ,Musoma vijijini kwakweli imezidisha michango kwa wanafunzi mpaka kero. Cha kushangaza tunapofanya malipo wanafunzi hawarudi na risiti, tulitangaziwa kusitishwa kwa ada kwa wanafunzi wa Elimu ya juu ,lakini form six wa awamu hii bado wanalipa kwa...
  3. Chawa wa lumumbashi

    From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

    Yaliyojificha uwekezaji wa Hayati Dk Magufuli Chato yawekwa vitabuni Ijumaa, Aprili 14, 2023 Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka miwili tangu aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli kupoteza maisha Machi 17, 2021 akiwa madarakani, waandishi wakongwe wanne wamezindua kitabu kinachoonyesha sura...
  4. figganigga

    Je, dawa za meno zinazogawiwa mashuleni zinaharibu homoni za watoto wa kiume?

    Salaam Kuna audio inasambaa mitandaoni kwamba kuna dawa za meno zinagawiwa Mashuleni ambazo zinaharibu homoni za kiume. Kwamba TBS ilithibitisha. Je, kuna mtu ana uhakika na hizi taarifa au ni Uzushi tu wa mitandaoni. Wizara ya Elimu inajua hiki kitu na Uliruhusu? Msililize huyu anachoongea
  5. Mowwo

    Mswaki na Dawa zinazotolewa mashuleni ni salama?

    Wakuu habari, Kwa mwenye uelewa tusaidiane. Watoto wa shule za primary wamekua wakipewa dawa za meno na mswaki kwa lengo la kuhamasisha usafi wa kinywa. Licha ya nia kua nzuri lakini pamekua na sintofahamu ikidaiwa dawa za meno zinazotolewa zina madhara kwenye upande wa hormones. Wadau mnaopita...
  6. Mparee2

    Tatizo la madawati mashuleni

    Natamani Waziri Mkuu atangaze kila wilaya/Mkoa umalize hii kero ya upungufu wa madawati; Watoto wanateseka jamani..... Wiki iliyopita nikiwa Kisaki/Kilosa, nilipita shule inaitwa Kichangani shule ya msingi, yenye wanafunzi takribani 850 huku ikiwa na madawati kama 40hivi tu pengine niseme ya...
  7. Pac the Don

    Hii hoja ya mimba shuleni imekaaje?

    Maana hapa Soudy katupa kombora katikati ya watunga sheria na wale waliopinga watoto kurudi shulen!!!👇👇👇👇
  8. T

    Tuwatumie wafungwa kutekeleza mpango wa lishe mashuleni wenye matokeo makubwa

    Rais wa JMT, Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan Waziri wa kilimo, Mhe. Hussein Bashe na wengine wanaohusika Ninawapongeza sana viongozi wangu kwa kuwekea mkazo kilimo kiasi cha kilimo kuonekana ni ajira kwa vijana. Mipango na mikakati ya wizara ya kilimo inayobuniwa chini ya waziri Bashe inatoa...
  9. M

    Sumbawanga: Disko zipigwe Marufuku mashuleni

    Katika pitapita zangu basi nikakutana na wanafunzi (KE na ME) wakicheza Disko huku mwanaume akiwa amemkumbatia mwanafunzi mwenzake wa kike. Nimejifikiria sana manufaa ya huu uchafu mashuleni nikaona kwanini serikali isiharamishe huu upumbavu huko mashuleni? Angalia hii video chini harafu utoe...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    Unyama wa Walimu, Serikali imulike ukatili wa walimu dhidi ya wanafunzi mashuleni

    Walimu hawana utu wala huruma, sasa wameamua liwalo na liwe. Piga, uwa, garagaza. Hawajali tena namna ya upigaji, mtoto wa kike apigwe mkononi, wa kiume matakoni. Walimu wanapiga ngumi wanafunzi utadhani wako kwenye tamasha la Karate. Wanawazaba watoto vibao vya uso, ukatili mbalimbali...
  11. M

    Tatizo la uchache wa madawati mashuleni limekithiri litatuliwe hivi...

    Ni jambo la kusikitisha kuona hadi sasa idadi kubwa ya wanafunzi wa shule ya msingi na hata sekondari wakiwa wanakaa chini katika shule zetu si mjini wala vijijini. Japo tunapongeza jitihada za kuongeza madarasa bado inashangaza Sana kuona hao wataalam wa mipango wanashindwa kuona ukakasi wa...
  12. The Sunk Cost Fallacy 2

    Hofu yatanda kwa wazazi, watoto kufundishwa kulawitiana mashuleni. Tufanye nini kuokoa watoto wetu?

    Hello! Hofu imewakumba Wazazi kufuatia kuripotiwa Kwa taarifa kwamba Watoto wamekuwa Wakifundishwa kulawitiana wakiwa Mashuleni. Shule ndio zilikuwa kimbilio la Wazazi lakini nako sio salama tena, kama jamii tunaelekea wapi? Yale maadili ya Watznzania Yako wapi? Kila siku tunaingia makanisani...
  13. Barackobama

    Serikali itoe tamko kuhusu kugharamia Fedha za Elimu Bure shuleni

    Tangu 01/11/2022 hadi sasa (28/12/2022) takribani miezi miwili serikali imeshindwa kupeleka fedha mashuleni kwa ajili ya ruzuku, na hakuna tamko lolote kutoka katika mamlaka husika. Kushindwa kupeleka fedha hizo kwa wakati mashuleni kuna sababisha walimu kushindwa kupatiwa vifaa vya maandalizi...
  14. 666 chata

    Enzi hizo kwenye mitihani ilikuwa akili kidogo, ujanja mwingi

    Unakumbuka enzi izo za vibomu? wengine wakiita nondo, uangaliziaji na makamati ya kimkakati wakati wa mitihani mashuleni? ujanja ujanja wa kila namna ilimradi tu watu wafaulu mitihani. Baadhi ya matukio Tuko necta ya fomu 6 kuna demu mmoja aka kamatwa na ki karatasi kimekunjwa kwa ustadi mkubwa...
  15. Tengeneza Njia

    Uzalendo ni Ushujaa - ongezeni hili huko kwenye mitaala mashuleni

    Enzi za shule za msingi miaka mingi iliyopita tulikuwa tunafundishwa nyimbo za taifa, historia na hata ukubwani kuaminishwa kuwa kuonyesha uzalendo wa taifa mtu anaweza kuvaa mavazi fulani yenye bendera ya nchi n.k. Kitendo kilichofanywa na kijana Majaliwa katika ajali ya ndege ni kitendo cha...
  16. JanguKamaJangu

    Serikali kugawa vishikwambi kwa walimu Nchini

    Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omary Kipanga amesema serikali ina mpango wa kugawa Vishikwambi vilivyotumika katika zoezi la sensa kwa walimu wote kwa lengo la kuimarisha matumizi ya TEHAMA katika ufundishaji na ujifunzaji. Akijibu maswali ya Wabunge, leo Septemba 15, 2022 Jijini...
  17. Mtambo 1272019

    SoC02 Matumizi sahihi ya simu janja na intaneti mashuleni hayaepukiki, yaruhusiwe

    WENU MTAMBO1272019 Maana ya simu janja. Ni aina ya rununu ambayo inafanya mambo mengi kuliko simu nyingine ya kawaida,zinzfanya kazi kama tarakililishi,lakini hiki ni chombo kinachobebeka na kidogo cha kutosha katika mkono wa mtumiaji(Andrew Nusca;20 AUGUST,2009). Matumizi ya simu janja...
  18. 0

    SoC02 Elimu ya vitendo ipewe kipaumbele sana kuliko elimu ya nadharia

    UTANGULIZI Mfumo wa elimu ya Tanzania ni mfumo unaomuweza mwanafunzi kuelewa mambo mengi sana lakin asijue namna ya kuyafanyia kazi. ELIMU YA NADHARIA. Elimu ya nadharia ni elimu ambayo hutolewa kwa njia ya maandishi vitabu na maelekezo ya mdomo kutoka kwa mtoaji wa elimu husika(mwalimu),mfumo...
  19. vannie12

    SoC02 Elimu ya uraia wa kidijitali mashuleni

    Tunaishi katika ulimwengu unaounganishwa na teknolojia, ambapo teknolojia imewezesha shughuli nyingi za kielimu, kiafya, kibiashara n.k. Teknolojia ina athari kubwa kwa jinsi wanafunzi wanavyojifunza na jinsi wanavyojihusisha na elimu yao. Kwa kusudi hili, uraia wa kidijitali ni muhimu uhusishwe...
  20. Andrew Ikingura

    SoC02 Sintofahamu juu ya hedhi na mahudhurio ya wasichana mashuleni

    Takwimu kutoka Shirika la Mfuko wa Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) zinaonyesha kuwa, kila mwezi, takribani wanawake bilioni 1.8 ulimwenguni kote hupata hedhi. Mwanzo wa hedhi kibaiolojia inamaanisha kuwa kuna awamu mpya katika uwezekano wa ongezeko la mwanadamu duniani, yaani upatikanaji wa...
Back
Top Bottom