elimu bure

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    DOKEZO Nimefuatilia suala la matumizi ya Elimu Bila malipo kiukweli Serikali ifuatilie kwa kina, kuna kitu…

    Nashauri serikali iweke mifumo IMARA ili fedha za elimu bure zitumike Kama malengo yalivyo na siyo kuachia wakuu wa shule wazitumie tofauti na matakwa ya serikali. Baadhi ya shule zimekuwa tegemezi, fedha zikitoka hazijulikani zinatumika wapi, watoto karibia shule nzima wanakaa chini, ukarabati...
  2. S

    Ni takribani kuanzia Januari 2024 fedha za Capitation mashuleni haziingizwi kwa wakati

    Wadau mimi ni mdau wa elimu kama mjumbe wa kamati mojawapo ya shule. Ni takribani kuanzia Januari 2024 fedha za Capitation mashuleni haziingizwi kwa wakati. Mfano fedha ya Machi na Aprili 2024 hadi sasa hazijaingizwa. Mitihani ya muhula wa kwanza ni hatihati kufanyika. Bwana Mkenda...
  3. BARD AI

    CAG Kichere: Wizara ya Elimu haijatoa Tsh. Bilioni 1.23 za Elimu Bure

    Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia haijatoa Sh1.23 bilioni kwa ajili ya elimu bila malipo, ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imebaini. Kulingana na ripoti kuu ya ukaguzi wa Serikali za Mitaa kwa mwaka wa Fedha 2022/2023 iliyowasilishwa leo Jumatatu, Aprili 15...
  4. A

    KERO Elimu Bure ni nini? Je, ni sawa wazazi kuendelea kuchangishwa pesa za chakula, mpishi, usafi na mitihani ya kujipima?

    Kuna shule ya Msingi inaitwa Gulukakwalala iliyopo Ilala, kabla mtoto hajaingia darasani lazima atoe Tsh. 1,200 ambayo ni Tsh 1,000 ya chakula na Tsh 200 ya uji kila siku, ambapo kama huna hela hiyo mtoto hawezi kuingia darasani. Sasa hivi wanasema kila mwezi mzazi atoe Tsh 2,000 ya mpishi na...
  5. Bushmamy

    Elimu bure bado ghali kwa badhi ya wazazi, baadhi ya Wazazi Washindwa kupeleka watoto shule

    Baadhi ya wazazi katika wilaya Ya Hai, mkoani Kilimanjaro, wameshindwa kuwapeleka watoto wao kuanza kidato cha kwanza kwa mwaka 2023 kutokana na Kukosekana kwa fedha za michango mbalimbali inayofikia kiasi cha shilingi laki na sabini kwa kila mwanafunzi. Aidha Baadhi ya wazazi Wengine ambao...
  6. REJESHO HURU

    Tetesi: Inasemekana kuwa Sera ya Elimu bure imefutwa

    Maafisa elimu mkoa, mpaka Wilaya hawana majibu, Wakurugenzi wa Halmashauri hawana majibu, wakuu wa mikoa mpaka wilaya hawana majibu, makatibu tawala hawana majibu, wabunge hawana majibu, zaidi ya tetesi kuwa serikali ipo kwenye mpango mwakani turudi kwenye elimu ya kulipia hii ni kutokana na...
  7. M

    Elimu bure inatengeneza bomu

    1. Aina ya shule ( madawati, vitabu nadra). 2. Ufundishaji (idad kubwa ya wanafunzi Vs idadi ya walimu hususani wa Sayansi). 3. Matokeo ya mtihani wa kitaifa awamu ya elimu bure..maslahi ya walimu hayazingatiwi unategemea chochote? Mpwayungu Village
  8. DR HAYA LAND

    Elimu bure ambayo haimpi mtu Maarifa ina umuhimu gani?

    Serikali kuhusu Elimu bure waliamua kufanya siasa tupu , Watu wanamaliza hawajui hata kusoma vizuri na Kuandika Juzi nimechart na wanawake kumi wapo chuo kikuu, nimechart nao lugha ya kingereza wote wamelalamika kuwa nawaumiza hawajui kingereza so wameomba nitumie Kiswahili au nitumie kihaya...
  9. Hemedy Jr Junior

    Kama Elimu ni bure, kwanini Afya pia isiwe bure?

    Elimu ni bure . Afya nayo kwanini isiwe bure? Naomba kufahamu serikali ilichukua kipaumbele gani kutoa elimu bure na sio Afya.
  10. JF Member

    Elimu bure bado ipo?

    Nimepita huku kijiweni Baba mmoja hapa Dar anadai kutozwa Elfu4 kwa wiki kwa ajili ya chakula, 500 kwa ajili ya maji, 500 kwa ajili ya mlinzi, na alilipa 1,000 kwa ajili ya kitasa cha mlango (Kiliharibika wakatakiwa kuchangia). JUMLA 6,000. Baba huyu anadai anakaa na watoto 3 na kila mtoto...
  11. R

    Kwanini viongozi waliothibitika kuiba fedha za umma hawawajibishwi zikarudishwa elimu ya juu nchini ikawa bure?

    Wahitimu waliomaliza elimu ya juu kwa kupata mkopo kutoka bodi ya mikopo kutwa wanabanwa kurudisha mikopo hiyo wakati wengi wao wanahangaika mtaani bila ajira wala shughuli za kufanya. Wakati ukiangalia upande mwingine kuna ubadhirifu mkubwa unafanywa serikalini, viongozi wanaiba mabilioni kwa...
  12. Barackobama

    Serikali itoe tamko kuhusu kugharamia Fedha za Elimu Bure shuleni

    Tangu 01/11/2022 hadi sasa (28/12/2022) takribani miezi miwili serikali imeshindwa kupeleka fedha mashuleni kwa ajili ya ruzuku, na hakuna tamko lolote kutoka katika mamlaka husika. Kushindwa kupeleka fedha hizo kwa wakati mashuleni kuna sababisha walimu kushindwa kupatiwa vifaa vya maandalizi...
  13. Mr Pixel3a

    Serikali haina budi kupitia upya sera ya elimu bure

    Elimu ya sasa imewaacha vijana wengi kutojituma kimasomo, hawana uchungu kabisa kupambania viwango vyao darasani na hili ni tokeo la Elimu bure, Na ndio Maana shule binafsi bado zinaongoza kufaulisha wanafunzi kila iitwapo leo. Hoja muhimu Hawa wanafunzi hawaoni uchungu kabisa Ela inayotolewa...
  14. N

    Serikali ya Samia imeboresha lengo lake la Elimu bure

    Kila mtahiniwa wa kidato cha nne na sita alitakiwa kulipa ada ya mtihani TZS 50,000. Baada ya kufuta ada na michango isiyo muhimu, Serikali imefuta ada ya mtihani kwa shule za Serikali ikiwa ni sehemu ya azma ya Mhe. Rais Samia Suluhu kuifanya elimu kuwa nafuu.
  15. Ri ri

    SoC02 Elimu Bure Imeifikisha hapa Sekta ya Elimu

    Utangulizi Sera ya elimu bure hapa nchini ilianza kutekelezwa na Serikali ya awamu ya tano. Sera hiyo ya elimu bila malipo inahusisha shule zote za Umma za msingi na sekondari. Ndani ya miaka mitano (2016-2020) ya utekelezaji wake, Idadi ya wanafunzi wanaoandikishwa katika shule zote hapa nchini...
  16. M

    Serikali itenge fedha ya dharura kukabili changamoto za elimu bure

    FEDHA YA DHARURA ITENGWE HARAKA KUOKOA ELIMU NCHINI🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 ✍️Mwl. Modest Alphonce (Mwandishi wa Makala hii ni mwalimu wa Sekondari, mwalimu wa Taaluma Mwandamizi na Mjumbe wa Kamati ya Shule ya Msingi iliyopo jijini Dsm) Wakati shule wanazosoma watoto wa watunga Sera hapa nchini zikizidi...
  17. Abdideol

    SoC02 Huu ni utumwa katika Elimu

    Huu ni Utumwa Katika Elimu. Ni wazi kuwa hakuna umuhimu wa Elimu bure maana cha bure hakina Thamani. Udogoni tumekimbia sana kukwepa kujisomea jioni na wazazi walituacha tu ila hatukujaribu kukwepa tuition tukihofia wazazi kutuadhibu yote sababu tunaonekana kuchezea pesa yake ambayo anaitoa...
  18. peno hasegawa

    Fedha za Elimu Bure tangu Mei 2022 zimepotelewa wapi?

    Katika hali isiyo ya kawaida serikali ya Tanzania imeshindwa kugharamia elimu bure kama ccm ilivyohaidi wananchi. Inasikitisha fedha za kuendesha shule za sekondari na msingi nchi nzims tangu mwezi May 2022 hadi sasa hazijapokelewa fedha za uendeshaji na mitihani ya ndani imefutwa kwa...
  19. Kiboko ya Jiwe

    Swali: Kati ya AFYA bure na ELIMU bure nini kinapaswa kutangulia?

    Hello! Kuna jambo nimefikiria hapa, nimeona ni wakati sasa serikali ya Tanzania kutoa ELIMU bure kuanzia msingi mpaka chuo kikuu, bila kuisahau kutoa huduma bure za msingi za afya. Kwakuwa tuko kwenye dunia ya 3 si rahisi kuanza vyote kwa pamoja. Kimoja lazima kianze na kingine kitafuata...
  20. The Palm Beach

    Bungeni Leo: Sera ya "elimu bure" kufutwa? CCM kama kawaida yao wanatanguliza mbunge Kasheku Msukuma kupima upepo. Wewe unasemaje?

    Kasheku Msukuma(MB) - Geita Vijijini leo bungeni akichangia kwenye bajeti ya Wizara ya Elimu na Ufundi, amesema yawezekana walikosea kuja na sera ya "elimu bure" ama sometime hutumia kiswahili cha "elimu bila malipo" mwaka 2015.. Kuna kila dalili kuwa Msukuma ametangulizwa na CCM kulichokoza...
Back
Top Bottom