Mimi niwe mkweli, yule binti kidogo niweke makazi permanent pale sababu mambo alonipa sikuwahi kuyapata popote pale hapo kabla.
Cha kushangaza siku naenda kwake kumchukua akanipe maburudani tena si nikakuta kulikua na shuhuli (wao wanaita hivo), anacheza kashika dela linaonesha pichu kabisa na...
Jirani anatapa tapa!!
Baada ya kujenga Bandari ya Lamu akitegemea kulikamata soko la Afrika Mashariki huku akitarajia kuiwekea gati zaidi ya 30 ambazo zitaendeshwa na sekta binafsi, huku akiimarisha bandari ya Mombasa na kuweka mipango kujenga SGR kuja Tanzania na SGR nyingine kwenda Congo ili...
Hayati Magufuli alifanya Mambo mengi mazuri, lakini hili la kutuletea wabunge wa chama kimoja bungeni linamtia doa kubwa sana, Leo bungeni kila mmoja ni kupongeza tu! Hakuna hata mmoja atakayepinga maana atapoteza ugali!!
Ni Imani yangu kuwa wapinzani wangekuwa bungeni tungeyajua mambo mengi...
Kuna Clip ya RC Chalamila anasifia mazishi ya waislamu. Pale RC kiukweli kasema ukweli mtupu.
Nakumbuka siku moja nilihudhuria mazishi ya muislamu mmoja mtaani kwetu, huyo marehemu alikua ni mtu mkubwa kdg na anafahamika hvyo kwenye mazishi alikuwepo Shehe mkuu wa msikiti wa pale mtaani, Shehe...
Wanabodi,
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!.
Kabla hujasoma hoja za bandiko hili, naomba uanzie hapa kwa kuangalia hili ni bandiko la lini January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!
Sasa leo katika Bunge la Bajeti, Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba afanya...
MHE. JULIANA SHONZA - "KWA MARA YA KWANZA TUTAMPITISHA RAIS MWANAMKE KWA KISHINDO MWAKA 2025"
"Tutampitisha Rais Mwanamke Madarakani kwa mara ya kwanza mwaka 2025 kwa kumpigia kura za kutosha, kura za heshima. Hatutamchagua kwa sababu ni Mwanamke, hatutamchagua kwa sababu ni takwa la Serikali...
Nipo njiani kulielekea jiji LA Nairobi nchini Kenya kibiashara ni kiri tu ndo mara ya kwanza kwenda nchi hii kibiashara
Tofauti na mara mbili nilizokwenda kwa shughuli nyingine na tulikwenda jumuia
Njia ni Sirari au Isibania
MWENYE UZOEFU NA NJIA HII LAKINI PIA JIJI HILO
Ilikuwa mwaka 2004 nikiwa darasa la 6. Alikuja ndugu yangu toka mjini na kuja na kuber. Ilikuwa jioni flan kijijini wakatii huo kumetulia watu tunasubiri ugali wa usiku, kipindi hicho hakuna milo miwili wala mitatu, asubuhi uji,mchana matunda shambani usiku ndio chakula.
Nimekaa njaa...
Kurejeshwa Makalla ndani ya mfumo mwaka 2021 na kuwa RC Dar es Salaam tukubali ama tukatae ipo nguvu ya ushawishi wa JK ilitumika kumshawishi Rais Samia.
Ieleweke, Makalla ni swahiba na mwandani lialia wa Jakaya Kikwete na duru zilitabanaisha baada ya JPM kumfuta kazi Makalla kipindi kile mwana...
Kati ya wadada 10 wenye umri zaidi ya miaka 35 wanaotafuta wachumba basi wadada 7 wanatoka mikoa ya kanda ya kaskazini. Kikubwa zaidi wadada wa ukanda huu mpaka miaka 38 anakuwa hajazaa.Tofauti na nyanda nyingine ndani ya Tanzania pamoja na kuwa hajaolewa na anatafuta mchumba lakini ameshawahi...
Hii tukio nimelikumbuka baada ya kutumiwa picha yangu ya zamani na mmoja wa watu tuliokuwa tukiishi mtaa mmoja.
Nakumbuka nikiwa kidato cha tatu; asubuhi moja ya Februari 14, majira ya saa nne asubuhi, kilio kilisikika kutoka katika nyumba moja.
Ilikuwa sauti ya kilio kikubwa kutoka kwa mama...
Hii video inaonyesha jinsi nilivyocheza mission za kwanza ambazo ni Prologue, Franklin and Lamar, Repossession Complicatio, Stolen Boat and Father Son
ila mission ya stolen boat ndo ambayo imenitesa zaidi.
Habari
Hii ni pesa yangu ya mara ya kwanza kuimiliki nikiwa under 18 sikuipata kwa mkupuo hapana nilidunduliza kidogo kidogo kutokana na kibarua nilicho tafutiwa na mzee wangu
Huyo tapeli tulikua tunawajibika wote katika kibarua hicho pia alikua na urafiki na mzee wangu wakikutana wanapiga...
Wanawake wanachukua muda kupenda.
Hivyo ni muhimu kwa kila muda unaopata pamoja naye uongeze mvuto wake kwako. Aone kwamba we ndo ‘wa kipekee’. Aone kwamba kwenye maisha yake yanahitaji awe na mwanaume kama wewe.
Sasa unapokutana naye, mpatie muda mzuri mfanye ajisikie furaha. Mfanye aone...
Historia imeandikwa mkoani Tabora na mikoa jirani ambapo kwa mara ya kwanza watoto wawili wenye vichwa vikubwa wamefanyiwa upasuaji kupitia kambi maalum ya matibabu ya kibigwa na bobezi inayoendesha na Madaktari bingwa, Wauguzi, Mtaalam wa usingizi kutoka Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) kwa...
Maana ya date na mwanamke ni kukutana naye ili kutengeneza mazingira rahisi ya kufanya naye mapenzi, na mkiendana kuwa wapenzi.
Ila ukiharibu unapokutana na mwanamke, maana yake unakosa penzi na nafasi ya kufanya mapenzi.
Hivyo ni muhimu kuepuka haya ili kuongeza nafasi yako ya kupata penzi...
Kuna watu wameongeza 110% kwenye gharama za Ununuzi wa Ndege ya Mizigo. Nadhani Sasa Mh. Rais ameanza kuwafahamu Watanzania. Hawa watu msiishie kuwafuta kazi waende mahakamani.
Hii Nchi watu Kuiba ni sehemu ya maisha Yao so kuwasimamia Kwa kuwabembeleza watakutafuna Hadi ukome. Watanzania...
Mwanamke ambaye hamtakutana tena usipoongea naye kwa muda huo. Umemuona mwanamke na amekuvutia, sasa unajiuliza nini ukaongee naye ili muanze mazungumzo. Lengo lako lisiwe kupata namba. Lengo lako uweke ni kumfanya ajisikie hisia za raha kuwa na wewe.
Hivyo, hata akikupa namba inakua rahisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.