Waziri wa Nishati January Makamba afanya historia, Awasilisha Hotuba ya Bajeti yenye QR Code mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,690
113,972
Wanabodi,
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!.
Kabla hujasoma hoja za bandiko hili, naomba uanzie hapa kwa kuangalia hili ni bandiko la lini January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!

Sasa leo katika Bunge la Bajeti, Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba afanya historia ya matumizi ya ICT katika uwasilishaji wa bajeti, awasilisha hotuba ya bajeti yake ikiwa na QR Code, hii ikiwa ni mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania kwa hotuba ya bajeti yenye QR code.

Kwa faida ya wasiojua kuhusu QR Code, zamani hotuba za bajeti za Wizara zote na hoja zote zilikuwa zinaprintiwa hard copy, na kuwekwa pigeon holes za wabunge, this uses millions!.

Baada ya kuanza e-government, wabunge wote wamepewa vishkumbi, iPads, hotuba za bajeti zinakuwa kwenye soft copy, wabunge wanatakiwa kutembelea tovuti ya Wizara na kuipakuwa kwa kuidownload na kuisoma.

Kitendo cha kuwasilisha hotuba yenye QR code, sasa hakuna haja ya kumtumia mtu wala ku download, ni una scan tuu QR code, hotuba yote inafunguka kwenye kishkwambi chako au simu yako, hivyo saves time na hustles.

La mwisho ni January Makamba presentations ya bajeti yake, he was speaking like a president in waiting!.
I was very right niliposema hivi kumhusu January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President

Paskali
Mabandiko mengine ya mwandishi kumhusu January
 
Pascal brother hapa umetumwa au umelabishwa!!
 
Attachments

  • 8B663ADD-23B9-475E-8589-3D8AC6DEA445.jpeg
    8B663ADD-23B9-475E-8589-3D8AC6DEA445.jpeg
    63.1 KB · Views: 10
Wanabodi,

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!.

Kabla hujasoma hoja za bandiko hili, naomba uanzie hapa kwa kuangalia hili ni bandiko la lini January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!

Sasa leo katika Bunge la Bajeti, Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba afanya historia ya matumizi ya ICT katika uwasilishaji wa bajeti, awasilisha hotuba ya bajeti yake ikiwa na QR Code, hii ikiwa ni mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania kwa hotuba ya bajeti yenye QR code.

Kwa faida ya wasiojua kuhusu QR Code, zamani hotuba za bajeti za Wizara zote na hoja zote zilikuwa zinaprintiwa hard copy, na kuwekwa pigeon holes za wabunge, this uses millions!.

Baada ya kuanza e-government, wabunge wote wamepewa vishkumbi, iPads, hotuba za bajeti zinakuwa kwenye soft copy, wabunge wanatakiwa kutembelea tovuti ya Wizara na kuipakuwa kwa kuidownload na kuisoma.

Kitendo cha kuwasilisha hotuba yenye QR code, sasa hakuna haja ya kumtumia mtu wala ku download, ni una scan tuu QR code, hotuba yote inafunguka kwenye kishkwambi chako au simu yako, hivyo saves time na hustles.

La mwisho ni January Makamba presentations ya bajeti yake, he was speaking like a president in waiting!.
I was very right niliposema hivi kumhusu January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President

Paskali
Ama kweli rushwa ni adui wa haki kuna watu wamepewa pesa ili tu wainadi presentation ya huyu kiumbe .... bado namini kila kitu kina mwisho .....sisi watanzania hatuhitaji presentation nzuri tuna hitaji mikakati iliyo nzuri yenye kuweza kutatua matatizo na changamoto lukuki yaliyopo kwenye secta ya nishati .... bado namini hichi kitu
 
Hata Mimi nilijua Januari makamba yupo very smart.

Nilisoma maswali yake na Majibu 100.
Mia moja JINSI atakavyokuja kufanya akiwa kwenye nafasi kubwa zaidi.

Lakini Baada ya kuwa MKUBWA na kuanza kuujua ukweli.

Jamaa yupo very shallow
Ufisadi.
Umeme unakatika Hadi bungeni.
Uwanja wa Taifa Kila siku.
Hapa nilipo umeme umekatika
Sigara nk.

UMEPEWA BAHASHA UMSUPPORT MAKAMBA.
BAADAYE ATAKUGEUKA.

KIONGOZI WA HOVYO SANA.
 
Ni miaka miwili sasa imepita vijiji elfu 2 vimeshindwa kukamilika kupelekewa umeme ,wakandarasi hawaonekani alafu anakuja na porojo za kupeleka umeme kwenye vitongoji!!

Maneno mengi vitendo ziro
Sasa Bajeti inayofunguka kwa QR code inasaidia nini kama lengo la kupeleka umeme vijijini halikamiliki? Na hilo ndilo dhumuni haswa la hiyo Wizara, hiyo siyo wizara ya ICT.
 
Wanabodi,

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!.

Kabla hujasoma hoja za bandiko hili, naomba uanzie hapa kwa kuangalia hili ni bandiko la lini January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!

Sasa leo katika Bunge la Bajeti, Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba afanya historia ya matumizi ya ICT katika uwasilishaji wa bajeti, awasilisha hotuba ya bajeti yake ikiwa na QR Code, hii ikiwa ni mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania kwa hotuba ya bajeti yenye QR code.

Kwa faida ya wasiojua kuhusu QR Code, zamani hotuba za bajeti za Wizara zote na hoja zote zilikuwa zinaprintiwa hard copy, na kuwekwa pigeon holes za wabunge, this uses millions!.

Baada ya kuanza e-government, wabunge wote wamepewa vishkumbi, iPads, hotuba za bajeti zinakuwa kwenye soft copy, wabunge wanatakiwa kutembelea tovuti ya Wizara na kuipakuwa kwa kuidownload na kuisoma.

Kitendo cha kuwasilisha hotuba yenye QR code, sasa hakuna haja ya kumtumia mtu wala ku download, ni una scan tuu QR code, hotuba yote inafunguka kwenye kishkwambi chako au simu yako, hivyo saves time na hustles.

La mwisho ni January Makamba presentations ya bajeti yake, he was speaking like a president in waiting!.
I was very right niliposema hivi kumhusu January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President

Paskali

Sifa nyingine bwana, halafu unakuta umeme unakatika hovyo hovyo. Hii style ya uchawa naona inazidi kuota mizizi.
 
Back
Top Bottom