Ninaipongeza klabu ya Yanga kwa kuendelea kufanya vizuri kwenye ku design jezi. Jana zimezinduliwa jezi za kiwango haswa mpaka mashabiki wa Simba wakizitamani. Lakini moja ya jambo ambalo kwangu ni tata ni ishu ya logo ya main sponsor wa mashindano ya Caf inter club ambaye ni total energies...
From mnyilinga editing team Hellow guys pengine unahitaji logo kari na matangazo tuko kwa kazi hiyo
Kazi zetu utazipenda na gharama ni ndogo sana kwa ku design logo tuna vunja vunja bei ni sawa na bureee !!
Karibu sana ujipatie huduma zote za logo designing na matangazo na editing nyingine...
Sasa unaweza kujipatia logo kari sana kama hizi kwa bei nzuli kabisa na kwa muda lafiki karibu sana
MLB (Mnyilinga logo bank ) 😁😁
Kwa mahitaji ya logo nichek DM tuongee kwa bei nzuri sana na kwa muda lafiki wa kufanya kazi yako .
Nimetengeneza hii leo kama unahitaji logo kali ni cheki tuongee
MIMI GHARAMA ZANGU ZA LOGO DESIGNING NI NAFUU SANA NA LOGO NI NZULI
WATAALAMU !
nahitaji msaada wa mawazo pamoja na mwongozo wa hili nina Tsh 300k (laki tatu) je naweza kupata laptop nzuli yenye uwezo wa kunisaidia Graphic...
Nime soma course ya computer graphic miaka minne kutoka JWTZ Kama kuna mtu anatafuta kijana wa computer graphic anaye weza kutengeneza kama photoshop, photography, logo design, web design, app design, video director nipo hapa 4 years experience.
Lakini pia nina mafunzo ya ukamanda kutoka JWTZ...
Wakuu nahitaji ushauri na pia maoni kuhusu hili,
Naitwa Eliud Novat naishi Dar es Salaam. Nina ujuzi wa kutengeneza logo na napenda sana digital designing lakini tangu nijue nina huo utaalamu sijawahi kufaidika chochote na kipaji hicho.
Je, nawezaje kukitumia kipaji hiki iwe fursa ya mafanikio...
MASHINE YA KUPUKUCHUA MAHINDI
BEI: 450,000/=
Je, huna cha kufanya? Unatafuta kazi hupati? Sisi ni wasambazaji wa mashine tofauti kutoka china, mashine zipo kwa oda malipo ukikabidhiwa mzigo wako kwa wa dar, wamikoani kuna utaratibu wengine MNAKARIBISHWA!
KWA Mashine hii unaweza kutumia kwa...
Habari wakuu,
Pamojatz inatoa huduma ya kuandika wasifu (Curriculum Vitae) kwa gharama nafuu, vilevile tunatoa huduma ya kutengeneza Posters na Logo nzuri kwa ajili ya biashara/ kampuni.
Tafadhali wasiliana nasi kwa baruapepe; pamojalite@gmail.com au tuma ujumbe wa moja kwa moja Jamii Forums...
Watu, salamu kutoka Azma Africa. Uzi huu ni mahsusi kwa yeyote anaehitaji Logo na anaamini tunaweza kufanya nae kazi. Zifuatazo ni hatua ambazo kwa kawaida huwa tunazifuata mpaka kukamilisha zoezi la kutengeneza Logo ya mteja, karibu.
Hatua ya kwanza: Utatupa maelezo ya namna...
Tunaishukuru sana JF na wakuu wote mliomo humu kwani mwaka 2021 mmetusaidia sana kuboresha huduma zetu hasa upande wa kuwasiliana na wateja na kuwaelimisha kuhusu safari za ndege, tiketi na mengineyo.
Mwaka huu 2022 tumeona tuje na maboresho upande wa kiufundi, hivyo tukaanza na kutengeneza...
Wataalam na mabingwa wa kutungeneza Mabango Tanzania, Logo, Posters, Flyers na uchapishaji (Printing).
Wasiliana nasi kwa 0762 399 650 kwa maelezo zaidi.
Kuna tuhuma zinaanza kuenea taratibu, Inasemekana logo ya Kampuni mpya ya Wasafi Bet imefanana sana na logo ya kampuni ya Wily Trchnology Pvt Ltd, inayoshughulika na masuala ya IT nchini India...Baadhi ya wadau wanasema logo ya Wasafi Bet imetengnenezwa kwa kutumia mfumo wa copy & paste kama...
Sijui kwanini facebook alikurupuka kutengeneza logo ambayo kumbe ni ya kampuni nyingine.
Hawa watu wanamsubiria kutambulisha na kumfungulia kesi waje kumfilisi.
Simba na NBC ni kama kiuno na mkanda tangu enzi hizoooo jezi la mnyama simba likiwa limechafuka kama kawaida kitendo ambacho siyo rahisi kukuta kwenye team zinazofanya vibaya kuvutia sponsors wa kuchafua jezi.
Pichani ni Mnyama Pawasa akiwa ametinga uzi wenye twiga mwekundu vilevile ni vyema...
Mapema leo, NBC Bank na TFF zimeingia ubia wa udhamini wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara, NBC wakiweka mezani bilioni 7.5 kwa kipindi cha miaka 3.
Moja kati ya faida anazotarajiwa kupata NBC Bank kama mdhamini ni uwepo wa nembo/chapa yake (Logo Placement), katika jezi za timu shiriki katika Ligi...
Utapata logo kwa ajili ya matumizi yako binafsi, taasisi, biashara, kampuni n.k. kwa Tsh. 30,000/= Tu ndani ya siku 1 hapa hapa jf ama ukipenda whatsapp: 0767 402964.
Logo utatumia kutengenezea business cards, stika, flyers, bango la biashara yako, profile pictures za biashara yako au binafsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.