kuelimisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Mijadala ya Dini ijikite kuelimisha waamini wa Dini husika, Vitumike vitabu vya Dini husika kukazia maarifa ya Dini husika ndani ya Mafundisho husika.

    Mafundisho ya Dini yenye uwalakini. Kuna Mafundisho ya Dini yamekua na mapungufu. Muislam hufundishwa na kuelimishwa kupitia Quran, Imani ili ijitetee yenyewe hauhitaji kufundisha mapungufu ya Ukristo (Ku ingilia Mafundisho ya Ukristo na misingi ya Iman yake) nikuonesha Imani husika inayo...
  2. Stroke

    Content ya media nyingi sio kwa ajili ya kuelimisha, uchambuzi wa mpira umetamalaki. Kama jamii tunapaswa kubadilika

    Kama wiki mbili hivi sikuwa online kwenye social media hivyo nilipata wasaa wa kusikiliza redio zetu hapa nchini. Katika wiki zote hizo mbili nilikua natune almost radio zote , ila vipindi vingi vya radio zetu vinafanana na sio elimishi, burudani imechukua sehemu kubwa na hasa uchambuzi wa...
  3. M

    Mohamed Janabi, endelea kuelimisha

    Mohamed Janabi umeitendea haki elimu yako kwa kuwaelimisha Watanzania na walimwengu kuhusu magonjwa yasiyoambukiza ambayo mengi yameongezeka kutokana na mwenendo wetu wa Maisha. Pamoja na kejeli na kawaida yetu waswahili kupuuza kila kitu mpaka kikukute alkini hujakata tamaa.Umetumia kila aina...
  4. R

    Kitila Mkumbo: Tunapoendelea kuelimisha suala la maadili kwa vijana wetu tusije tukawaondolea haki yao ya kuwa watoto

    Waziri Kitila Mkumbo akiwa anahitimisha hoja yake, anakubaliana na wabunge wengine kuhusu umuhimu wa kuzingatia maadili kwa watoto lakini tunapoendelea kuwaelimisha vijana wetu kuhusu maadili tusije tukawaondolea haki yao ya kuwa watoto. Ni muhimu watoto wakabaki kuwa watoto kwasabu bila hivyo...
  5. sky soldier

    2pac alifanya harakati za kudai haki na kuelimisha jamii, Notorious Big aliedanganya maisha yake na kuimba uhuni pekee, anamsogelea kwa kipi?

    Huyu alikulia hood mitaa iliyojaa msoto, uhalifu na umasikini, wazazi wake walikuwa kundi la black oanthers wanaharakati wa kupigania haki za wamarekani weusi, ni kundi lililokuwa likisakwa kila kukicha na serikali ,mama yake pekee alikuwa na kesi kama 50 zs uchochezi, kalelewa na ndugu tofauti...
  6. Erythrocyte

    Kyela: Sugu aendelea kuelimisha wananchi kuikataa CCM

    Hii hapa ni Kata ya Kipeta , akishirikiana na Daniel Naftari , kijana aliyeporwa ubunge 2020 kwa mtutu wa bunduki Kinachoogopesha ni umati unaojaa kwenye mikutano yake , yaani huwezi kutofautisha na ile inayoendelea Lindi na Mtwara
  7. Pascal Mayalla

    Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui Haki! Je, Tumsaidie kuelimisha umma Katiba, Sheria na Haki au?

    Wanabodi, Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Nipashe ya leo 5/02/2023 Makala ya leo, ni kuhusu haki za binaadamu, na kwa wale wenye kumbukumbu mzuri ya safu hii, makala za mwanzo kabisa zilikuwa ni makala mfullulizo za “Kilio Cha Haki” ambazo nilizungumzia sana haki jinai. Ukosekanaji wa Haki...
  8. Tanzania Nchi Yetu Sote

    Waraka mfupi wa kuelimisha kuhusu sensa ya watu na makazi 2022

    Ndugu zangu naomba niwataarifu kuwa Sensa ya Watu na Makazi 2022 itahusisha madodoso manne: 1: Dodoso la Jamii 2: Dodoso la Sensa ya Watu na Makazi 3: Dodoso la Makundi Maalum 4: Dodoso la Majengo 1. Dodoso la Jamii litaanza kwa kumuhoji mwenyekiti au mjumbe wa kitongoji au mtaa juu ya uwepo wa...
  9. M

    Wasanii watumike kuelimisha SENSA

    Tafadhali msiwasahau wasanii waliokesha kuwaombea Kura. Asante.
  10. F

    Wananchi wa NMB Bank wanapwaya kwenye kuelimisha wateja kuhusu products zao

    Habari wadau. Kwa zaidi ya mara 1. Nimegundua bank yetu ya makabwela inapwaya sana kwenye training za staff wao. Zamani kidogo Kuna siku nilienda kuprocess refund ya malipo online. Staff wote niliowakuta kila mmoja alikuwa haelewi process zilivyo. Na manager alikuwa ametoka. Ilibidi nimsubiri...
Back
Top Bottom